Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

Ccm tu watutafutie mgombea urais wa kueleweka waachane na huyu bibi. Maana hakuna tena matumaini kupitia Chadema maana Dj akikomaa kutomwachia Lissu chadema inaenda kupoteza wanachawa wengi kuliko wakati mwingine wowote.
 
DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi...
Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa.
Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
Marehemu anawezaje kulaani?
 
"Kifo ni kifo tu" alisikika Bibi ushungi. We umesema kifo cha Mbowe kisiasa(ambacho ni dhahiri) kimetokana na laana ya Magufuli. Ndipo nikakuliza kifo cha Magufuli(kisiasa na kimwili) kilisababishwa na laana ya nani?
Na mimi nakuuliza vifo vya ndugu zako huwa vinatokana na laana ya nani!?
 
Its about time mumfanye awe mungu wenu kabisa, maana kumuabudu huyo magufuli wenu kumezidi🙌🙌
umechelewa kujua tushamfanya mda sana, kama wewe kuweka vimisamiat vya kinge kunavyo kufanya ujione mjanja
 
Ccm tu watutafutie mgombea urais wa kueleweka waachane na huyu bibi. Maana hakuna tena matumaini kupitia Chadema maana Dj akikomaa kutomwachia Lissu chadema inaenda kupoteza wanachawa wengi kuliko wakati mwingine wowote.
Watafanya la maana
 
Back
Top Bottom