Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

Yah right. Ingekuwa imekufa msingehangaika na thread mpya kila saa. Press conference ya Msigwa leo ni kujaribu kufunika habari za Chadema.
Kufa ni mchakato, mgonjwa anaanza kwanza kutema sawa ndio mbowe anachofanya
 
CCM hamjui mnataka kusema nini.
 
Sukuma gang tulioshangilia kifo Cha Cha magufuli tuko wengi na tunadunda tu
 
Magufuli ni mwasisi wa watu wasiojulikana. Magufuli alimtesa mke wake kwa kumbebesha michanga, Magufuli ni hayawani wa kizazi hoki
Muasisi wa haya makundi ni Yule IGP Mahita na Kikwete chini ya Uangalizi wa Wazungu.

Hayat Rais Magufuli hakuanzisha hicho chombo, usitudanganye.
 
Ieleweke, hakuna kundi ama genge la Wasukuma.

Kuna Kabila la Wasukuma.

Komeni na kuigawa ncho yetu kwa Ukabila. Kama mnataka hivyp chagueni CHADEMA kila kavila linaenda kutengewa mkoa wake. Watayaita hayo "Majimbo"

Chagua kwa Umakini 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…