Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

ila hapo nae alikuwa mshamba yaani anashangaa jezi na matairi ya baskeli kweli?! Hapa ndipo wahenga walisema kwamba "tajiri hata akiongea ujinga masikini wanachekelea"
Hatuwezi kuelewa mkuu huenda mrembo ni wa mamtoni, huku rarely sana kuonekana, kwahiyo lazima doh a mambo ganayo nganchenge [emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti wanashangaa sana

Hivi una nini lakini? Na hizo jezi za mpira sasa ndo usiseme
 
Kasie Mahaba matata hebu sogea pande hii umgongee Like mjukuu wangu mtukufu...

Afu my dia mjukuu, paka mkorogo wa kutosha... Hao bagosha wanatoa mahari yoyote kubwa kwa ngozi nyeupe.... Muda wangu wa kuwa tajiri wa ng'ombe hatimaye umefika... Ahsante Maulana kwa uzao huu.
 
Upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Wasukuma nawapenda sana kuna mwanamke wangu wa kisukuma aise ni mpole mkarimu ana pesa ananihonga vibaya mno sikumbuk mara ya mwisho nmelipa kodi ya nyumba lini😃Anasema tuende kwao mwanza tukaishi tuhamie kikazi kule Mungu nilindie huyu mwanamke 😃NB;Kwao kazaliwa peke ake wa kike mama yake ni mnyarwanda baba ake alikua msukuma kwa wazawa wa mwanza lazima watakua walikua wanamjua yule mzee he was famous and rich maeneeo ya nela
 
Babu mjukuu wako ni rangi ya Mtume,labda Nile Sana niwe bonge basii😂😂😂🤣😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti wanashangaa sana

Hivi una nini lakini? Na hizo jezi za mpira sasa ndo usiseme
🤣🤣🤣🤣🤣Na Jana na kulikuwa na mnada nimeona vijana wamevaa sketi za kuchanua,jezi zao,na mabuti ya mvua halafu wamevaa makorokoro mengi wengine wamevaa na vibanio vya kike kwenye pank zao...niliogopa kuwapig picha Kila mtu ana fimbo kavu sana, 🤣🤣🤣
 
ehaha ni saa 7 kasorobho kwahyo tulesalimiana geke mwangaruka bhabhaa! [emoji3] sasa hvi nina machungu na hii lugha mm sio wa kudhalilika kwa mambo madorolo
Wenyewe Sasa😂
 
Kanda ya ziwa tatenga bajeti nikazurure huko!

Ila suala la ukarimu kwa watanzania tuishio vijijini ni suala la kawaida, Kuna kipindi machinga walikua wanakuja kutembeza bidhaa vijijini walikua wanapewa msosi free kbs walikua hawaamini
 
Kwani Joannah uko wapi jmni?
Mbona hayo unoyasema na mm nimeyaona jana
 
Nilikua sijui bhna

Leo nimeamka asubuhi nasikia kispika nje kinatangaza msiba sasa mwenyeji wangu akanambia yani usipohudhuria msiba unapigwa faini

Mfano,faini ya ng'ombe nikasema ohooo wakati kule kwetu msiba wakitokea watu wachache tu inatosha sio lazima nyote muende

Apo vikaanza kutolewa visa vya wale wasohudhuria msibani nikasema hawa watu wapo serious na mila zao
 
Nilikua na pisi moja mkurya alikua na mambo hizo mimi alinichanganya kwakweli nikajua ni aina yake tu ya makasiriko[emoji848]
 
kabila la kishamba kama hilo limwakilishe nani? hadi wamasai wamewazidi ujanja. seriously ningekuwa msukuma ningebadilisha kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…