Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
- Thread starter
- #101
Aaah mpenda mikia Sasa🤣🤣Kuwa tukunyema kwetu ni dalili ya afya njema hususan katika uzazi. Kama hauko kimbaumbau (sana) na kimkia cha kuburuta kipo, hakuna shida bageshi.
View attachment 2641244
Kama ni mweupe halafu tukunyema na kila kitu kipo mahali pake, basi ng'ombe zinaweza kufika hata 70....
Napendekeza uanze tu kujifunza kupika ugali wa kula wanaume kama 8 hivi wa Kisukuma na wakashiba 😁
View attachment 2641245
Kwa kweli jungu la ugali watu 8 sitoweza labda wali jamani