Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

Wabeja kulumba....hakika ng'ombe hamsini zitapatikana Kama kigezo ni hiyo rangi tu,je sio lazima niwe tukunyema?

Kuwa tukunyema kwetu ni dalili ya afya njema hususan katika uzazi. Kama hauko kimbaumbau (sana) na kimkia cha kuburuta kipo, hakuna shida bageshi.

Screenshot_20230401_072455_Instagram.jpg

Kama ni mweupe halafu tukunyema na kila kitu kipo mahali pake, basi ng'ombe zinaweza kufika hata 70....

Napendekeza uanze tu kujifunza kupika ugali wa kula wanaume kama 8 hivi wa Kisukuma na wakashiba 😁

meza.JPG
 
kipindi hcho nipo geita tu mbona
Wapo wengi huko, halafu hata wenye asili ya geita ni wale wanaitwa wasumbwa kitu km hicho hao ni wasukuma wa kuunga unga,,

Wasukuma wanaoongelewa hapa ni wa kutokea mwanza yote, shinyanga geita na simiyu baadhi ya maeneo, Tabora,. Wanyantuzu wasumbwa wapo tofauti kidogo kitabia na wasukuma wengineo
 
Kingine Geita ina asili ya makabila karibia yote ya kanda ya ziwa, hivyo wasukuma wengi Geita ni machotara,

Kuna warundi, wanyarwanda, wajita, wazinza, wasukuma wasumbwa wanajiita wasukuma ila ukiwachungulia tabia ziko tofauti
 
Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Wewe ukarimu wanaakti tu. Nakuambia mimi. Ni wanakuua huku wanakuchekea.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimewasema wapi Nyanda?
Na mimi si nitakuwa najisema sasa...

Poleni jamani..
Afadhali moyo wangu umepoa KIDOGO!

Nipo Misungwi huku kwa muda sasa kama ikitokea ukapita huku pita nikuonyeshe ukarimu wa Kinyantuzu bageshi 🙏🏿
 
Kuna Mnyantuzu mmoja hapa ni matata sana. Ni huyo ndiye unamtumia kama sampuli yako ya kuturundikia Wanyantuzu wote katika "nyodo nyingi, masifa na uchoyo?"

Not fair Kapeace 😁😁
Wanyantuzu nimeishi nao wamezaa na wana familia nawajua vizuri, sasa ujuaji huo wakiongeza na kaujinga mama weeee ukiingia umekwisha
 
Ahsante sana bageshi...
Nitapita...

Nikute Udagala na Kibambala..
Utakuta kila kitu ni wewe tu ushindwe.

Nitakuchinjia ng'ombe bageshi. Siku ya kuondoka tunakubebesha nyama zilizokaushwa (mitanda) na ngozi ya ng'ombe wako.

Karibu sana 🙏🏿
 
Wapo wengi huko, halafu hata wenye asili ya geita ni wale wanaitwa wasumbwa kitu km hicho hao ni wasukuma wa kuunga unga,,

Wasukuma wanaoongelewa hapa ni wa kutokea mwanza yote, shinyanga geita na simiyu baadhi ya maeneo, Tabora,. Wanyantuzu wasumbwa wapo tofauti kidogo kitabia na wasukuma wengineo
wasumbwa wachawi balaa mnisamehe lkn [emoji1732][emoji1732][emoji1732] nipo hapa ushirombo kilima hewa njooni mniroge
 
wasumbwa wachawi balaa mnisamehe lkn [emoji1732][emoji1732][emoji1732] nipo hapa ushirombo kilima hewa njooni mniroge
Uchawi ni sifa ya wasukuma wote, ila ndo uwachokoze ama ujimwambafai utawajua wachawi kinoma
 
Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Embu tumwache marehemu kutajataja mtu kafa nawe utajikuta umeungana naye
 
Back
Top Bottom