Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutokuifungua hivyo hivyo 😅Kwamba nimelewa🤣🤣🤣?Hapana hata sijaonja kabisaa bado sijafungua chupa yangu
Wasukuma ni kabila kubwa kuna wachache wao sijui wanatokea Bariadi au wapi wana changamoto sana. Nimeishi na Wasukuma na ni watani zangu nawapenda ila hata wao wenyewe wanajuana wapi ni wa kuishi nao kwa makini. Ukweli ni kwamba hawatabiriki.Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.
Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Dah kweli hawatabiriki mchana ni wema Sana sijui usiku.Wasukuma ni kabila kubwa kuna wachache wao sijui wanatokea Bariadi au wapi wana changamoto sana. Nimeishi na Wasukuma na ni watani zangu nawapenda ila hata wao wenyewe wanajuana wapi ni wa kuishi nao kwa makini. Ukweli ni kwamba hawatabiriki.
Fanya utafiti mdogo JF, Clouds, EATV na kwingineko wapi taarifa za mauaji ni nyingi. Shinyanga, Geita, Mwanza na Mara, hapo kasoro mkoa wa mwisho ndio Wasukuma sio dominant. Na mikoa yao ndio ilikuwa inaua albino na vikongwe.
Wanawake wao wana rekodi nzuri kasoro mwaka jana ndio kesi kubwa zilikuwa ni zao.
Hakuna kabila ni perfect ila ukijua changamoto zake inakupunguzia matatizo.
Inawezekana ila sijui.Kwa hiyo wanatumia jina la ke ila yeye ni me?
Wana ndumba hao sio ajabu washakufanyia ndio maana unawamwagia sifa zao 😅Maisha tu mdogo wangu ,tunaenda na monsoon winds Kama majahazi ya waarabu nothing special.
Dah umenikumbusha ngosha mmoja kwenye kutongoza alituambiaga: ana njia tatu za kumtongoza demuWana ndumba hao sio ajabu washakufanyia ndio maana unawamwagia sifa zao 😅
Nna jamaa yangu sana ngosha ni mtu na nusu wapewe maua yao
Ndumba ipo sana huko kwao japo wengi n wakarimu hawaitumii mpaka uwachokoze, uwaanze.Dah umenikumbusha ngosha mmoja kwenye kutongoza alituambiaga: ana njia tatu za kumtongoza demu
1. Kuvaa vizuri
2. Kumwaga hela
3. Kumroga demu (hapa ni Kwa njia ya ushirikina) kama njia mbili za mwanzo demu hajamuelewa.
Noma sana wale watu usiingie kwenye 18 yard box zao.
Jamani kwema?
Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa
1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake
2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa
3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu
4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote
5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania
6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku
7.WAKAKA
Sijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
8.MAJI
Jamani bunge la bujeti mwaka hii lielekeze fedha za kutosha kwenye wizara ya maji ndugu zetu wapate maji safi na Salam,kweli huku Kuna maji hayana tofauti na chai ya maziwa.
9.UTANI
Jamani Hawa watu wanataniana jamani ukisikia na Ile lafudhi yao utacheka mpaka machozi
Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hapo juu Sina mtandao
Wabeja kulumba....hakika ng'ombe hamsini zitapatikana Kama kigezo ni hiyo rangi tu,je sio lazima niwe tukunyema?Karibu sana nyumbani bageshi. Kama ni mweupe (kama huyu binti) iambie familia yako ijiandae kupokea ng'ombe 50+
Karibu sana Misungwi kama utapita maeneo haya. Ukifika pale mjini ulizia kwa Mzee Shimba mkulima wa nyanya na dengu utanipata.
Wabeja ❤️
View attachment 2640925
🤣🤣🤣🤣🤣kapeace jamani airfresh ?Ila hawashindwi maana bado Kama wapo miaka ya 70s hawana habari yaani wako na furaha zao tuKiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwa😂 akili zao wanazijua wenyewe hao watu
Aaah wapi ndumba haimpati mwanga,nimefurahia tu lifestyle yao,Wana ndumba hao sio ajabu washakufanyia ndio maana unawamwagia sifa zao 😅
Nna jamaa yangu sana ngosha ni mtu na nusu wapewe maua yao
Aisee ndio maana mdogo wangu umestuka? Half american kumbe kweli ndio michezo yao.Dah umenikumbusha ngosha mmoja kwenye kutongoza alituambiaga: ana njia tatu za kumtongoza demu
1. Kuvaa vizuri
2. Kumwaga hela
3. Kumroga demu (hapa ni Kwa njia ya ushirikina) kama njia mbili za mwanzo demu hajamuelewa.
Noma sana wale watu usiingie kwenye 18 yard box zao.
Utaskia anakuambia unitaki? We goja tuDu
Aisee ndio maana mdogo wangu umestuka? Half american kumbe kweli ndio michezo yao.
Ndio wale wanauliza je utanipenda au nitumie njia za jadi?😂😂😂😂