Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

🤣🤣🤣🤣🤣kapeace jamani airfresh ?Ila hawashindwi maana bado Kama wapo miaka ya 70s hawana habari yaani wako na furaha zao tu
Yani mpaka leo bado wapo wengi tu wenye akili hizo,, natamani ningekutajia duka tena msimu huu wa mavuno ndo balaa wanajazana mijini wanapigwa vitu kwa bei mbaya kinoma,, hawa jamaa akili zao ni nzito sana, wana misimamo mpaka ukambadilishe umetokwa jasho
 
Hayw shemeji naona ulienda tambulishwq ndani ndani huko ...
 
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WAKAKA
Sijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
8.MAJI
Jamani bunge la bujeti mwaka hii lielekeze fedha za kutosha kwenye wizara ya maji ndugu zetu wapate maji safi na Salam,kweli huku Kuna maji hayana tofauti na chai ya maziwa.
9.UTANI
Jamani Hawa watu wanataniana jamani ukisikia na Ile lafudhi yao utacheka mpaka machozi

Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hapo juu Sina mtandao
Masai tumwache wapi🤔.Hajimwambafai,masai akipewa nafasi mwaminifu kweli kweli 🤔.Masai hajawahi onea kwa nafasi yake 🤔
 
Mbona mambo uliyoandika ni kawaida sana ukienda kijijini?

Au ni mara yako ya kwanza kwa safari za namna hiyo?

Kuna vijiji jogoo mkubwa kabisa 7000, kuku wa kawaida mkubwa 3000.

Asubuhi supu ya kuku wa kienyeji kawaida, mchana ni wali kuku migahawani na sio wali nyama au maharage.
 
Ukikutana na msukuma mwenye vituko aiseee utacheka hadi utapike. Mimi kuna m'moja huyo namwita uncle sasa akinipigia simu ile akitamka neno "Ankooo" aiseeee huwa naanza kujiandaa kucheka.

Sasa ukitaka umpende akiwa anakupa story kuhusu mademu dah utacheka balaa.
 
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WAKAKA
Sijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
8.MAJI
Jamani bunge la bujeti mwaka hii lielekeze fedha za kutosha kwenye wizara ya maji ndugu zetu wapate maji safi na Salam,kweli huku Kuna maji hayana tofauti na chai ya maziwa.
9.UTANI
Jamani Hawa watu wanataniana jamani ukisikia na Ile lafudhi yao utacheka mpaka machozi

Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hapo juu Sina mtandao

Haina ubishi
 
Kiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwa😂 akili zao wanazijua wenyewe hao watu
🤣🤣🤣🤣 jamani waacheni mashemeji zangu, kwamba wanajipulizia air freshener 😅
 
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha[emoji849][emoji849][emoji849] mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani [emoji1751][emoji1751][emoji1751]yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WAKAKA
Sijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
8.MAJI
Jamani bunge la bujeti mwaka hii lielekeze fedha za kutosha kwenye wizara ya maji ndugu zetu wapate maji safi na Salam,kweli huku Kuna maji hayana tofauti na chai ya maziwa.
9.UTANI
Jamani Hawa watu wanataniana jamani ukisikia na Ile lafudhi yao utacheka mpaka machozi

Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hapo juu Sina mtandao
Aisee haya uloyaongea ni kweli kabisaaa

Mm kwasasa nipo masumbwe mpk ijumaa hivi ulivovitaja ni vya kweli kabisaaa

Wasukuma ni wakarimu sanaaa

Aliepo masumbwe tujuane jamani
 
Sasa mbona huku mjini wanatuambia ni watu wabaya Sana🤦?
 
Sasa mbona huku mjini wanatuambia ni watu wabaya Sana[emoji1751]?
Ndo vile tunasema

Za kuambiwa changanya na zako

Ukisalimiwa unapigiwa goti ata mtu akiwa ni mkubwa kuliko ww
 
Raha kweli yaani..

Wabeja sana wamayu na wangosha
 
Back
Top Bottom