Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

Kwa hiyo unamaanisha aliwekewa sumu? Tuambie maana Inaelekea unajua mengi
Nnamaanisha wajinga ndio waliwao.

Huku anajidai anafufua wafu huku yeye anaiogopa microphone.

Kuhusu kujua "mengi" hujakosea.
 
Kama unadai Mungu amekuambia hiyo ni uthibitisho kuwa wewe ni zaidi ya tapeli. Bahati mimi ni mkristo tena mfuasi wa kanisa pekee aliloliasisi Kristu mwenyewe sio hayo ya mifukoni au yaliyoanzishwa kutokana na uzinzi au njaa za wanadamu ninauelewa ukristo.
kwa kweli nimepitwa na mengi duniani mojawapo hilo la kuwa kuna kanisa yesu aliasisi ..ni lipi hilo?
 
Gwaji hamna kitu nu usanii tu, kama kuzuriwa si angeogopa hata hela za posho ya vikao vya bunge ambapo mtu anaweza kupaka sumu badala ya kusubiri microphone. Umeshawahi sikia Gwajiboy ameomba abadilishiwe noti wakati anasaini posho.
kwa wamerudisha utaratibu wa kulipa mkononi ? nilidhani wanalipwa kupitia acc No za bank zao
 
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.

Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

========

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.

"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”

"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Hawa bado wana ugomvi
 
Inabidi kamanda ieleweke kuwa watanzania bado wanakumbuka yaliyomkuta Kolimba baada ya kuhojiwa!! Ni kujitoa ufahamu kujifanya kuwa hakuna mazingira ya umafia kwenye mahojiano ya sampuli hiyo hapa bongo! Watu bado wanakumbuka kolimbalization technique!! Sasa kwa jasusi la mbinguni si rahisi kulifanyia kolimbalization!!
 
Kumbe Gwajima aliomba kutumia dawa kabla ya mahojiano kuanza, itakuwa pressure ilipanda, kwanini hakuomba ishuke? kuitwa kule sio kuzuri, ule ujuaji mwisho wake kanisani kwake.

Gwajima ni tapeli asiyemjua Yesu Kristu wala asiefuata mafundisho yake, ni msanii anaecheza na akili za wajinga kupata wafuasi, siwezi kum-support kwa kitu chochote.
Gwajima hushughuliki na Yesu kristu, yeye a nashughulika na Yesu Kristo. Jifunze kutofautisha mambo kwa maana zake
 
Hivi tuwe wakweli kwa nini watu wasio na msongo wa mawazo waogope kufanya mdahalo wa wazi na mtu mwenye usongo wa mawazo (kama kweli wanaamini askofu Gwajima ana msongo wa mawazo)! Nadhani Kover awaulize waliokuwa wanamhoji kama akili yake ilikuwa dull!! Achana na jasusi la mbinguni!! Kover mwenyewe hawezi kuwa na ubavu wa kupambana na Gwajima kwenye mdahalo wowote ule wa wazi!!
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

Umesema kweli! Huyu anayeamini ulinzi wa Mungu na kuwa Mungu atamwepusha, ni wa kuogopa kiti na mic? Kama angekuwa na ukinzi wa Mungu angeweza kuwaambia wabaya wake wameweka nini kwenye kiti ni mic na akavitumia bado na asidhurike!! Imani kwa Mungu haiambatani na hofu ya kudhuriwa!!

Gwajima ni cult leader, akina Kibwetere, Kony na wenzake!
 
Kifo cha kichawi kinafufulika na sio kifo cha sumu.
Tofautisha sumu na uchawi
Nnamaanisha wajinga ndio waliwao.

Huku anajidai anafufua wafu huku yeye anaiogopa microphone.

Kuhusu kujua "mengi" hujakosea.
 
Hivi tuwe wakweli kwa nini watu wasio na msongo wa mawazo waogope kufanya mdahalo wa wazi na mtu mwenye usongo wa mawazo (kama kweli wanaamini askofu Gwajima ana msongo wa mawazo)! Nadhani Kover awaulize waliokuwa wanamhoji kama akili yake ilikuwa dull!! Achana na jasusi la mbinguni!! Kover mwenyewe hawezi kuwa na ubavu wa kupambana na Gwajima kwenye mdahalo wowote ule wa wazi!!
Kova anamuogopa Gwajima.
Waliwahi kutana kwenye supermarket Kova akamkimbia Gwajima
 
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.

Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

========

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.

"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”

"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Chembe chembe za uadilifu wakati wa UIGP, leo hii IGP ni sehemu ya uhalifu wa unyanyasaji!
 
Back
Top Bottom