Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu au kiti Cha mtuhumiwa rangi yake huwa tofauti?Mtu yeyote yule angeweza kupata hisia tofauti na hatimaye kufanya kama vile ambavyo Askofu Gwajima alifanya. Yaani kiti kinaletwa kutoka katika mgahawa kikiwa line rasmi kwa ajili yake huku kikiwa tofauti kabisa na vingine vilivyokuwepo ndani ya kikao!
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Pamoja na muonekano huo wa kitofauti, na kujitokeza kwa hisia hasi kuwa kiti kilitengwa rasmi kwa ajili yake, kwa nini pia kusiwepo kuwa ni hisia kama hizo katika kipaza sauti kilichotengwa pia rasmi kwa sababu ya mahojiano yake!?Ajabu au kiti Cha mtuhumiwa rangi yake huwa tofauti?
Tatizo ukiwa unamshabikia mtu au unapendezewa na anachokifanya inakuwa ngumu kujua endapo huyo mtu akiwa na matatizo ya akili, kuna watu hawawezi kukuelewa ukiwaambia Gwajima hayupo sawa kama ambavyo wengine ukiwaambia Lissu hayupo sawa.Gwajima ana matatizo ya akili ila watu wengi hawajui hilo.
Mijicho yake inahusikaje hapa?Kova ndo akapimwe akili na mijicho yake ile.
Wewe hujui yaliyomkuta Kolimba?au ulikuwa mtoto?Tatizo ukiwa unamshabikia mtu au unapendezewa na anachokifanya inakuwa ngumu kujua endapo huyo mtu akiwa na matatizo ya akili, kuna watu hawawezi kukuelewa ukiwaambia Gwajima hayupo sawa kama ambavyo wengine ukiwaambia Lissu hayupo sawa.
Wee tamu thana 😆Kova ndo akapimwe akili na mijicho yake ile.
Sijui hata unaongelea nini?Wewe hujui yaliyomkuta Kolimba?au ulikuwa mtoto?
Matatizo ya Gwajima Nini Sasa?
Magufuli alisema alinyweshwa sumu na mawaziri wenzake kipi Cha ajabu Gwajima kujilinda?
Mangula si alipewa sumu na haohao?
Mwakyembe wakati ananyonyoka nywele ulikuwa wapi?
Hujuwi figisi za mahojiano wewe! askofu ni mzoefu kwenye hizo kamati fitinishiAskofu tapeli, yaani haogopi Corona lakini anaogopa kiti na microphone!!! Watu wanaomfuata huyu jamaa na kusikiliza pumba zake ni wajinga zaidi yake yeye mwenyewe, serikali imefanya vyema kumpuuza, ukikimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa
Mshirikina tu huyo, hamna lolotehujuwi figisi za mahojiano wewe! askofu ni mzoefu kwenye hizo kamati fitinishi
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa na RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.
Hata shule masuala ya ugaidi kuna failures, watoro sugu, waliofikia lengo kinyume! jua hapa wakufunzi walitaka mshiko wake tu! ili waishi vyema!! hao nao walifuzu shule ya ugaidi! km weye!Hata nawe ukapimwe kama Kova kama kweli unamaanisha. Yeye ameelezea uzoefu wake. Siju wewe unaelezea uzoefu upi. Mie natumia uzoefu wangu kama mtaalamu wa masuala ya Ugaidi.
Watu kama Gwajima ndio wanatakiwa kuitwa Magaidi, cha ajabu samia amemuita gaidi mtu kama Mbowe.Kova akae Kwa kutulia....!!! Aache ngebe!! Tunahitaj watu kama watatu hivi wenye vichwa kama Gwajima walau hii nchi watawala watachangamka
Hao wajinga ni mamillion ya watu. Sababu ndio hao wamemsikiliza hawajachanjaAskofu tapeli, yaani haogopi Corona lakini anaogopa kiti na microphone!!! Watu wanaomfuata huyu jamaa na kusikiliza pumba zake ni wajinga zaidi yake yeye mwenyewe, serikali imefanya vyema kumpuuza, ukikimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa