Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima ana matatizo ya akili ila watu wengi hawajui hilo.Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa na RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.
Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili
========
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.
"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”
"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Unajikuta unaijua sana BibliaSi wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Wewe huelewi maana ya maneno hayo, bali kwenye quran tu, huku ni kwa wasomiSi wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Wanaogopa 💉💉🎤👇👇👇Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
🤣🤣🤣🤣 eti akiona ni Kova anaanguka paap, hiyo maana yake Kova unatisha kwa utesajiSuleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa na RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.
Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili
========
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.
"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”
"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Huyo mnafiki sana na uongozi wake mbovu kwenye Jeshi la polisi na kashmiri kwa madawa ya kulevya hana lolote.Kova akae Kwa kutulia....!!! Aache ngebe!! Tunahitaj watu kama watatu hivi wenye vichwa kama Gwajima walau hii nchi watawala watachangamka
Hujielewi, nakuona una kichwa kikubwa tu, Kanisa aliloanzisha Kristu ni dhehebu gani?Kama unadai Mungu amekuambia hiyo ni uthibitisho kuwa wewe ni zaidi ya tapeli. Bahati mimi ni mkristo tena mfuasi wa kanisa pekee aliloliasisi Kristu mwenyewe sio hayo ya mifukoni au yaliyoanzishwa kutokana na uzinzi au njaa za wanadamu ninauelewa ukristo.
Wewe hata neno hujui unasoma kama unasoma stori za shigongo.Wanaogopa 💉💉🎤👇👇👇
Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Hahahaa hivi ule ugomvi na kamanda mwenzie wa kugombea kiwanja ulishaisha??Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa na RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.
Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili
========
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.
"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”
"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"
Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Jibu swali inamaana mtu asiye kalili hata kifungu kimoja hamfuati yesu?Kama hujui hata mstari mmoja wa biblia huo ujasiri wa kumshambulia Gwajima unautoa wapi? Kati yako na yeye nani walau anaijua biblia?
Wewe unao wafuasi wowote kama Gwajima ambaye miongoni mwa wafuasi wake wako kuanzia PhD holders mlaka darasa la saba tena ndani na nje ya nchi ikiwemo huko western countries. Pengina hata wanafamilia yako tu hawakukubali. Wewe sio size ya Gwajima kwa kila hali.
Mnamkuza sana huyo jamaa, wengine wote walioenda kwenye hiyo kamati wakarudi salama wao hawakuwa watu?Kibibi upo?
Naona unateseka kuona mtego umeteguliwa, rejea kwa Kolimba na Chachage.
Mbona umepanic!😷😷Luka 10.19 inasemaje...Wewe hata neno hujui unasoma kama unasoma stori za shigongo.
Povu la nini hata huyo Mungu hana wafuasi wote ndio itakuwa wewe kutokuwa mfuasi wa Gwajima.Kumbe Gwajima aliomba kutumia dawa kabla ya mahojiano kuanza, itakuwa pressure ilipanda, kwanini hakuomba ishuke? kuitwa kule sio kuzuri, ule ujuaji mwisho wake kanisani kwake.
Gwajima ni tapeli asiyemjua Yesu Kristu wala asiefuata mafundisho yake, ni msanii anaecheza na akili za wajinga kupata wafuasi, siwezi kum-support kwa kitu chochote.
Sa wapi bible imesema kuhusu kiti na micSi wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Ukitafasri Biblia kama hadithi utapotea!Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?