Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam.
Methew atakumbukwa kwa mengi ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema, chama kilichompa Jukwaa la kuwania Ubunge baada ya kutupwa na CCM bila huruma, Chadema ndio iliyomtoa jela baada ya kufungwa kwa njama za Jiwe kwa tuhuma za kufanya Mkutano wa hadhara bila kibali
Pamoja na yote hayo na heshima yote hiyo Methew akaisaliti Chadema na kuhamia CCM na kupokelewa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
APUMZIKE ANAPOSTAHILI KUTOKANA NA MATENDO YAKE HAPA DUNIANI, Amina.
Pia soma