TANZIA Suleiman Methew afariki Dunia

Ujinga wangu ni upi? Tangu lini Wasifu wa Marehemu ukafichwa? Kwa Waislam hata anayemdai Marehemu anapaswa kujitokeza hadharani kabla ya mazishi na kuanika madeni yote hadharani
 
Usaliti ni nini?
Kitendo cha kukosa uaminifu...

Hii tafsiri tukiihusisha na Mbowe inafana sana...

Hajawahi kukihama chama chake ila ndio anaongoza kuwasaliti wanachama wake...

Jamaa si mwaminifu kabisa...

Anaweza kumtukana Samia leo, kesho akiingiziwa senti kidogo msimamo wake unabadilika.
 
Hilo la Mbowe ni porojo tu
 
Mungu ampe amani kiungo fundi wa mpira tukuyu stars,yanga Africans!
 
R.I.P Suleiman Methew Luwongo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…