TANZIA Suleiman Methew afariki Dunia

TANZIA Suleiman Methew afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
1619778820821.png
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.

Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam.

Methew atakumbukwa kwa mengi ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema, chama kilichompa Jukwaa la kuwania Ubunge baada ya kutupwa na CCM bila huruma, Chadema ndio iliyomtoa jela baada ya kufungwa kwa njama za Jiwe kwa tuhuma za kufanya Mkutano wa hadhara bila kibali

Pamoja na yote hayo na heshima yote hiyo Methew akaisaliti Chadema na kuhamia CCM na kupokelewa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

APUMZIKE ANAPOSTAHILI KUTOKANA NA MATENDO YAKE HAPA DUNIANI, Amina.

Pia soma
 
Kiongozi wa zamani wa Chadema aliyewahi kugombea Ubunge Jimbo la Mtama Suleiman Methew Luwongo amefariki Dunia

Methew amewahi kuzichezea timu maarufu nchini Yanga na Simba

Source: Kitenge tv

Rip Suleiman Methew " mkoba"
 
Rest easy Suleiman Methew...

Hii tabia yenu ya kufikiri kila anayehama Chadema ni msaliti muache...

Watu huhama vyama kwa sababu ya kutokubaliana na mambo fulani fulani humo chamani...

Tumeona wana CCM wakihamia Chadema na haikuwa nongwa...

Au chama chenu hakikoseagi?
 
Hatupingi watu kuhama na wala hatudhani pia kwamba tukielezea kwamba wamehama tutakuwa tunatenda makosa
 
Rest easy Suleiman Methew...

Hii tabia yenu ya kufikiri kila anayehama Chadema ni msaliti muache...

Watu huhama vyama kwa sababu ya kutokubaliana na mambo fulani fulani humo chamani...

Tumeona wana CCM wakihamia Chadema na haikuwa nongwa...

Au chama chenu hakikoseagi?
Erythrocyte ni Mjinga fulani Hivi

Methew alikuwa Beki namba 5 pale Yanga na akina Godwin Aswile lakini baadae akahamia Simba na ilikuwa poa tu

Methew alikuwa kijana wa Membe na ile Chadema Kusini wote walikuwa watiifu kwa Membe na hata Wenje, Lema na Zitto ni vijana wa Membe

Methew kuwa CCM au Chadema hakuleti tofauti yoyote kwa sababu Master ni yule yule 😀😀
 
Amewahishwa ama ni mapenzi ya Mungu? Maana Nape haaminiki tena. Tangu atishiwe bastola na Makonda pale Ubungo Plaza amepoteza utu kabisa .
 
Back
Top Bottom