Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
sasa wamebaki kuwapigia magoti ujombani tu ili wapate mikopo hali ni teteMnaangaika na mikopo au kuna mengine
Imeisha hiyo. Uwanja wetu kule mliman umeendaWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman.
View attachment 3519620View attachment 3519621View attachment 3519622
Huyu mama yuko mbioni kuuza maliasili zetu kwa wajomba! Huyo mwenye baibui ni ndugu yake Samia ambae ndio balozi wetu huko Oman ; all the Tanzanian embassies abroad are filled with Zanzibaris!! The woman is stinking with NEPOTISM.Mnaangaika na mikopo au kuna mengine
Mkuu Waarabu hawana Utanaduni wa kukopesha wala kutoa pesa .sasa wamebaki kuwapigia magoti ujombani tu ili wapate mikopo hali ni tete
hahah the clock is ticking ...
Ni matayarisho ya "watanzania" kuhamia huko.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman.
View attachment 3519620View attachment 3519621View attachment 3519622
Chuki zitawaua wagalatia.....baadae mtaambiwa Mapinduzi Daima.