PostGE2025 Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman Apokea Ujumbe wa Rais Samia Suluhu uliowasilishwa na Balozi Kombo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Leo tumefikia stage kiongozi wa serikali akipiga picha na mzungu unaambiwa anajipendekeza anatafuta SIMPATHY ila akiwa muarabu tu nchi inauzwa hao waarabu hawana lolote halafu anakuja kenge mmoja anasema hakuna udini BLADFAKEN...
 
..mzungu kauziwa gesi.

..mchina kauziwa makaa ya mawe.

..mrusi kauziwa uranium.

..muarabu kauziwa bandari.

..kila kitu kinauzwa, bado wananchi.
 
Back
Top Bottom