Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Nmesoma sehemu kwamba hakuwa na mke, watoto wala ndugu, hapo inakua vipi, anyway RIP.
Si kweli alioa bint Ami yake na kuishi naye miaka mitatu kabla ya kumuwacha, inasemekana alikuwa na mke mwingine na haijulikani kama ana mtoto au hana siri itajulikana siku hizi tatu.

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
 
Sultan Qaboos Said Al Said Wa Oman afariki dunia
IMG_20200111_064858.jpeg
Screenshot_20200111-065350.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Alifariki muda mchache baada ya kurudi kutoka Brussels ubelgiji alikoenda kutibiwa maradhi ya saratani.
Alifanya mapinduzi baridi ya kumpindua baba yake na hatimae yeye kushika usultani ameisaidia Oman kuwa moja ya nchi tajiri na amefanya wananchi wa Oman kuwa na maisha mazuri Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ان للاه وان اليه راجعون
Maziko ni leo asubuhi mapema. Na sijui kwa nyakati za Tanzania ambapi tumetofautiana kwa saa moja kama muda huu si keshazikwa.
Kwa taratibu madhubuti za mazishi za Oman zinazoendana na maamrisho ya Uislamu mtu akifa anazikwa mapema.Na makaburi mara nyingi huwa yameshachimbwa kabisa.Hakuna kusubiri mjomba wala shangazi na wala viongozi wa nje waje watoe heshima zao za mwisho.
Babu yangu siku moja alikufa hatimae akazinduka wakati wa kuingizwa kaburini.Lo! aliporejea nyumbani akaaga nchi na kurejea Tanzania alikokulia mpaka alipokufa kiuhakika hakuwa tayari kurejea tena Oman.
 
Si kweli alioa bint Ami yake na kuishi naye miaka mitatu kabla ya kumuwacha, inasemekana alikuwa na mke mwingine na haijulikani kama ana mtoto au hana siri itajulikana siku hizi tatu.

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Binti wa miaka mitatu..tena damu yake??

Haitoshi akatunukwa utukufu..!?

Hii miarabu Mimtu ya ajabu kwelii
 
Back
Top Bottom