Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

mtoa mada bagamoyo historia nzuri sana ila haijaeleza baada ya kupinduliwa bila kumwaga damu baba yake aliishia wapi au yupo wapi,au kwa maana nyingine historia ya baba yake iliishia wapi baada ya kupinduliwa
 
Sijawahi kumsikia Sultani Kwabuzi mpaka wiki iliyopita wakati anaeleke kufa.

Huko kuheshimiwa nchi zote hizo labda wangeongelea pwani za Pemba, Unguja, Mombasa , sio Tanganyika. Nobody in Tanganyika heard of this Sultani Kwabuzi guy much less kumuheshimu. Huku hatuheshimu ma sultani anyhow.

Na Tanganyika haijawahi kuwa chini ya himaya ya Oman wala Sultani Kwabuzi. Straighten up the history.

The guy rules an oil-drenched territory for 49 years and builds no hospital to treat him when dying sick because he can hop on a private jet to a Belgium hospital any moment he needs to. Useless, narcissistic dictators of the third world.
Kweli ama unazingua ?
 
Sasa vipi ile ahadi ya kutusaidia mfuatiliefuatilie ili msaada wetu uje maana waliahidi wao wenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
You dont care and you are here with your hateful diarhea.

Talking about slaves? Just don't forget the first slave to Americas was called Jesus.

Your ignorance of history does not erase the truth that once upon time, your so called "hinterland" was called Sultanate of Zinjbar and Oman.

Erase that if you can.
Moyo wako umejaa chuki
 
Baada ya kifo cha mfalme Qaboos bin Said nchi ya Oman imemchagua mfalme mpya mara baada ya kumzika mfalme wao.

Kifo cha mfalme Qaboos kilitokea hapo jana mara baada ya alasiri na wa mwanzo kujulishwa ilikuwa ni wanajeshi walioitwa makambini mwao huku raia wakitangaziwa alafajiri ya leo kuondokewa na mfalme wao.

Maziko yake yalifanyika mapema asubuhi leo hata kabla ya watu hawajapata kifungua kinywa na baadae kuchaguliwa mflame mpya kutoka ukoo wa kifalme aitwae Haytham ibn Tariq alBusaidy.

Mheshimiwa Haytham ni miongoni mwa yale majina matatu yaliyotarajiwa zaidi kwamba mmoja wao angekuwa ndhiye mrithi wa mfalme alieyatangulia na kuchaguliwa kwake kutaondosha sintofahamu ambayo ingepelekea kufunguliwa kwa wasia wa marehemu mfalme Qaboos juu ya nani alikuwa amempendekeza kurithi kiti chake baada ya yeye kuondoka duniani na kutangulia mbele ya Haki.
 

Attachments

  • 1578728514541.png
    1578728514541.png
    366.5 KB · Views: 2
Mkuu Oman haina mafuta,,,pia kansa haina Cha hospital Kama imeshafika terminal stage

Oman haina mafuta?

WIKIPEDIA
The top exports of Oman are Crude Petroleum($13.6B), Petroleum Gas ($3.29B), Refined Petroleum ($2.81B)

Kumbuka, watu wenyewe ni milioni 4. Kiluvya ya Mbezi kwa Msuguri mpaka Kibugumo kwa Bi Kidawa tupo Milioni 6!

Hawajai Dar es Salaam, wanaogelea kwenye lindi la billions of oil barrels, Sultani katawala miongo 49, kafa hajaacha hospitali.

Eti saratani haina hospitali, hata sisi hatuna mafuta na tuna Ocean Road hospital. Sultan Kwabuzi alikuwa mkwapuzi tu.
 
Hujui uhusiano umeanzia wapi ,mkoloni wewe yule na bingwa wa kuuza watu


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonesha wazi upeo wako ulivyo finyu. Kubishana na watu wajinga kama wewe bi mzigo, sina time hiyo. Huna ulijuwalo na huna zaidi cha kuandika.

Kuna mtandao mwengine wowote zaidi ya JF unaingia toka uhongwe hicho kitekno?
 
Tindikali,
Acha uongo wewe. Hajaacha hospitali? Hivi unsijuwa Oman au unaota tu ndoto za mchana tu.

Sasa wewe kwa takwimu zako hapo juu Una hospitali ngapi za serikali Dar.? Halafu linganisha.

Soma hiyoooo...

There are 59 hospitals in Oman and 897 medical centres, dispensaries and clinics. Only 10 hospitals are private and the rest are Government hospitals.[1]

Soma zaidi...

 
Back
Top Bottom