Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Si kweli alioa bint Ami yake na kuishi naye miaka mitatu kabla ya kumuwacha, inasemekana alikuwa na mke mwingine na haijulikani kama ana mtoto au hana siri itajulikana siku hizi tatu.Nmesoma sehemu kwamba hakuwa na mke, watoto wala ndugu, hapo inakua vipi, anyway RIP.
PH.d
Huyu hakuwa gaidi, alikuwa mtu mzuri, kule wanaongea kiswahili vizuri kama watanzania
Watch your mouth tofautisha uislam na ugaidi.Hata Marekani ni magaidi kiherehere kupigana vita nje ya nchi za wenzao.
Hata nyie wapuuzi mbona mnaisha kwa sasa, maana mlikuja kutuletea jam duniani
Binti wa miaka mitatu..tena damu yake??Si kweli alioa bint Ami yake na kuishi naye miaka mitatu kabla ya kumuwacha, inasemekana alikuwa na mke mwingine na haijulikani kama ana mtoto au hana siri itajulikana siku hizi tatu.
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.