Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Kwabuzi Ibin Mkwapuzi.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 

Hapa ndio wakati wa ujana wake miaka 29 alipompindua baba yake.mwaka 1970
Na hapa chini ndio siku za mwishoni mwa uhai wake


Watu wanaopewa nafasi kubwa kumrithi ni mmoja kati ya watu watatu wa ukoo wa kifalme ambao ni waziri wa utamaduni Haitham bin Tariq Al buSaidy au naibu waziri mkuu Asaad bin Tariq Al buSaidy au Shihab bin Tariq Al buSaidy ambaye aliwahi kuwa kamanda wa kikosi cha majini.
 
Hujui uhusiano umeanzia wapi ,mkoloni wewe yule na bingwa wa kuuza watu


USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Innalillah wainnaillah rajiuun
 
Kwanini hakuwa na mtoto au watoto huyu jamaa!!?
what went wrong!
 


Kiongozi wa Oman Sultan Qaboos Bin Said Al Said amefariki usiku wa kuamkia leo mjini Muscut nchini Oman. Sultan Qaboos Bin Saidi mwenye umri wa miaka 79,alikuwani mgonjwa kipindi kirefu na aliwahi
kutibiwa nchini Ujerumani na nchini Belgiıum kipindi chote alicho kuwa anaumwa na aliporudi nyumbani nchini oman ndio ndipo alipozidiwa maradhi na umauti ulipomfikia Mungu amlaze pema peponi amin.
 
Kifo niwajibu ata ukiwa nakila kitu, Mungu alituficha mengi........RIP liwe fundishwo kawatawala katili kwa raia wao kifo kipo pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Oman haina mafuta,,,pia kansa haina Cha hospital Kama imeshafika terminal stage
 
Hapo mwisho nimekuelewa sana,acha Magufuli ajenge na kuboresha kuepusha aibu ndogo ndogo zisizo za lazima.

macson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…