Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

Umeongea ukweli. Na ile tabia muigizaji anabinua mdomo wakati wa kuongea
 
Enzi hizo movie zilikua zinatamba sana ukifika shule unaanza kuhadithia wenzio
 
Sibezi jitihada za watangulizi ila Mussa Banzi alikuwa na ma filamu ya kishamba. Sultan aliweza sana, visa vyake vilikuwa vikali.

Kuhusu Kanumba he was the best, aliitoa game sehemu moja kwenda nyingine kuanzia story, quality, investment na uwezo binafsi.
Kuhusu kuingiza watu kwa mwonekano alikuwa sahihi, ndio sababu waigizaji wa nje unaona wazuri mpaka unafikiri hakuna mzungu mbaya.

Mpaka leo mwonekano unazingatiwa
 
True
 
Kuigiza sio lazima upikwe huko bhana
 
We filamu inaoneshwa dakika 30-40 umeisha ndio mabadiliko hayo?

Hivi kuna filamu yoyote ya Kanumba ambayo haina part two ,ukiachana na hii filamu ya mwisho aliyoigiza na Irene Paul Ile anamtolea Figo?
Hili sio tatizo ilikuwa mbinu ya kibiashara
 
Shigongo? Ukute huna ujualo wewe[emoji23]
 
Mwijaku alianzia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…