Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena watapata maendeleo harasa snVisiwa vya Unguja na Pemba vikiwa wilaya we unaathirika kivipi?
Mwinyi anatakiwa awe Mkuu wa Mkoa wa ZanzibarTumewapuuza. Hapa dawa ni serikali moja tu. Hako kakatiba kao kanaishia hapohapo kwao. Dunia inajua JMT basi na ZANZIBAR siyo nchi. Mbona mzee Pinda alilisema hili mchana kweupe. Asante p.
Hakuna ugomvi hapaYes upigiwe kura, kabla ya kura maza na watu wake warudi kwao
Ukatili kwa raia ??👁😳Simple Tu.....Tanganyika iikalie Zanzibar kimabavu.
Zanzibar lazima iwe sehemu ya bara Kwa lazima. Kuna wakati ili himaya isimame ukatili lazima uhusike.
Kwanini tujiulize maswali wakati tuna majibu.Ni kweli. Lakini tujiulize. Hivi ni akina nani wanaotaka jambo hili libaki hivi hivi pamoja na kelele zote hizi?. Je, nani ni mnufaika na hili? Tumeambiwa kuwa Jumbe alipotamani kubadi mfumo kwamba walimwita Dodoma akiwa raisi na alirudi akiwa amenyang'anywa uraisi. Je, ccm wananufaikaje na muundo lalamikiwa wa muungano?. Natamani serikali moja, ikishindikana basi serikali tatu.
"Muungano tutaulinda kwa gharama yoyote"! Mnaosema mtaulinda kwa gharama yoyote ni wachache ambao hamuitaki katiba! Na kutoitaka katiba ndiko kunakowafanya akina Mwinyi kuwa marais bila kuwa raia wa nchi husika! Tunaishi kwa kitumia dola badala ya katiba!Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki iliyopita nilisema zimesababishwa na ukosefu wa elimu ya uraia kuhusu Muungano wetu Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?
Kwa wasomaji wapya, wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu kauli za kibaguzi za kunyoosheana vidole vya Utanganyika na Uzanzibari, nikazungumzia kuwa zinasababishwa na ukosefu wa elimu ya uraia, na kuaahidi leo nitaumalizia mjadala huu kwa kuangazia chanzo cha ubaguguzi huu na suluhisho la kudumu la kuutibu ugonjwa huu na kuondoa kabisa kwa kumaliza sumu ya ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari.
Mada ya leo ni historia fupi ya chanzo cha ubaguzi huu wa Utanganyika na Uzanzibari na suluhisho la kudumu la kumaliza kabsa kero zote za Muungano, na suluhisho la kudumu na dawa ya uhakika ya kutibu kabisa hii sumu ya ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari, ambayo kiukweli kabisa ni kidonge kichungu kumeza kwa wahafdhina, ila kidoge kichungu ndicho kinachotibu maradhi. Swali hapa ni jee dawa ni kuwa na serikali moja ya JMT?.
Baada ya Muungano, kwa miongo kadhaa, tumekuwa na muungano wenye maelewana mazuri licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa kwenye kero za muungano, ila moto wa Utanganyika na Uzanzibari, uliwashwa na kitendo cha Zanzibar kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiislamu, OIC, wakati Tanzania imejinasibu ni nchi isiyo na dini, secular state.
Wabunge 55 wa Bunge la JMT, wakaunda kundi la G-55 na kuidai serikali ya Tanganyika, ili iendelee kuwa haina dini na kuiruhusu serikali ya Zanzibar kuendelea kuwa mwanachama wa OIC.
Bunge lilipitisha Azimio la kuanzisha serikali ya Tanganyika, jambo ambalo lilimuibua Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuwakemea wabunge, kwa Bunge kukaa kama kamati ya Chama na kuwaeleza mfumo wa serikali tatu sio sera ya CCM, hivyo hoja hiyo ya kuundwa serikali ya Tanganyika, ikafa kifo cha mende, na kuzikwa jumla.
Zanzibar ikalazimishwa kujitoa OIC, na kuahidiwa, serikali ya JMT itajiunga na OIC, kitu ambacho hakikufanyika mpaka leo. Tuko wakati huo, wahafidhina wa Zanzibar wakawa na dukuduku la chini chini kuwa Zanzibar, haikutendewa haki, hivyo wakaanza vuguvugu za kudai Zanzibar yenye mamlaka zaidi.
Aliyekuwa rais wa Zanzibar, Aboud Jumbe, akapewa ushauri wa kisheria na mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Wolfgang Dourado, wakaandaa hati za kisheria kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili, taarifa zikafika kunakohusika, Aboud Jumbe akaitwa Dodoma, akaenda kama rais wa Zanzibar, akarejea kama rais mstaafu na kusindikizwa nyumbani kwake Mji Mwema mpaka Mungu alipomuita, Dourado aliwekwa mahala salama, taarifa iliyotolewa ilisema kumetokea kuchafuka kwa hewa ya kisiasa Zanzibar kulikopelekea Jumbe kujiuzulu urais wa Zanzibar.
Baada ya Rais Nyerere kutoka Bara, alifuatiwa na Rais Mwinyi kutoka Zanzibar, akaja Mkapa kutoka Bara, akitarajiwa anafuatiwa na rais kutoka Zanzibar, hali haikuwa hivyo, akaingia Rais Kikwete, Wazanzibari wakajiona wako marginalized wakakoleza hoja ya Uzanzibari, baada ya Rais Kikwete kufuatiwa na Rais Magufuli kutoka Bara tena, Uzanzibari ukazidi kukolezwa. Akina sisi tuliuliza Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
Mungu akaingilia kati, kukatokea kilichotokea Machi 17, 2021 kwa Rais wa JMT kuwa ni Rais Samia kutoka Zanzibar, hoja za Utanganyika zikaanza kuibuliwa tena na wanasiasa muflis kuanza tena ubaguzi wa kunyoosheana vidole, vya Utanganyika na Uzanzibari.
Kuungana kwa TANU na ASP
Vyama vya TANU na ASP vilipoungana ile 1977, sii wengi humu walikuwa wamezaliwa!, wengi humu wamezaliwa, wameikuta CCM, hawakuikuta TANU na ASP, hivyo hawajui kwanini TANU na ASP viliungana, na viliungana ili iweje?.
Mimi ni mtu wa 60s, hivyo ile 1977, TANU na ASP zilipoungana nilikuwa darasa la tatu, kijijini Itonjanda, nikikaa kwa bibi mzaa Baba, Bibi Wakawombwe, (RIP) baada ya Baba Mzee Mayalla(RIP) kuhusika na yale mambo fulani ya Mwanza ya 1976!.
Sababu ya TANU na ASP kuungana, ni kuelekea kwenye serikali moja!. Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere alisema huu muungano wa vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa chama kipya, Chama cha Mapinduzi, CCM, ni mwanzo wa safari ya kuondoka kwenye serikali mbili, kuelekea kwenye serikali moja!. Jee ndoto hii ya Mwalimu Nyerere, kwa Tanzania kuwa nchi moja ya JMT yenye serikali moja na rais mmoja, itakuja kutimia?.
Watanzania wanahitaji sana kuelimishwa kuhusu huu muungano wetu adimu na adhimu, tena ni Rais Samia, ndie kiongozi wa kwanza wa juu aliyetoa ruhusa watu waachwe huru kujadili muungano. Baada ya muungano, nchi zote mbili zilitoweka, hakuna nchi ya Tanganyika wala hakuna nchi ya Zanzibar, bali nchi ya Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
Mkanganyiko wa Katiba.
Kama nilivyosema kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna mkanganyiko wowote wa kimataifa kuhusu Tanzania.
Lakini Kitaifa kuna mkanganyiko wa katiba kati ya katiba ya JMT na katiba ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, ya mwaka 1977, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, inaiita Zanzibar ni nchi, ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!. Kitendo cha katiba ya Zanzibar kuuita Zanzibar ni nchi, kinawakanganya Watanzania kudhani kuwa nchi ya Tanganyika ndio pekee iliyokufa ila nchi ya Zanzibar ipo haikufa.
Naomba niwahakikishie Tanzania ni nchi moja ya JMT, ile nchi inayotajwa na katiba ya Zanzibar kuwa ni nchi ya Zanzibar, sii kweli kuwa Zanzibar ni nchi, bali ni jina tuu, hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi, kimuungano ni mabadiko batili, ila, kwa vile mabadiliko hayo ni kwaajili ya Zanzibar tuu, na hayatambuliwi na katiba ya JMT, serikali ya JMT, imeamua kuyapuuza!, lakini kufuatia hizi kelele, tutapuuza mpaka lini?. Si ni bora twende kwenye serikali moja, haya yote yaishe?.
Hitimisho
Kwa vile Rais Samia, anakwenda kutupatia katiba mpya, nashauri hili la mkanganyika wa katiba kati ya katiba ya JMT na Katiba ya Zanzibar, pia litarekebishwa, na kwa maoni yangu, dawa pekee ya uhakika na ya kudumu ambayo ni mwarobaini wa kuzimaliza kero zote za muungano, ni kwenda kwenye serikali moja. Nimalizie na hili swali, je, Tanzania sasa tumefika wakati wa kutimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya uzalendo wa kweli wa JMT, wa kwenda kwenye nchi moja, yenye serikali moja na rais mmoja?
Muungano tutaulinda kwa gharama yoyote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za mwandishi kuhusu serikali moja
- Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!
Mmmh. 👁😳😷"Muungano tutaulinda kwa gharama yoyote"! Mnaosema mtaulinda kwa gharama yoyote ni wachache ambao hamuitaki katiba! Na kutoitaka katiba ndiko kunakowafanya akina Mwinyi kuwa marais bila kuwa raia wa nchi husika! Tunaishi kwa kitumia dola badala ya katiba!
Ila Mzee unajitutumua sana....kutetea kitu Cha hovyo..ambacho kamati zote zilizoundwa ziliukataa..... Tume ya Nyalali ,Kasanga, Warioba ...hata wazanzibar wenyewe hawaitaki ..ila umeshikana nao tu ....Wakukumbuke aseeee....... Kama ni endorsements wakupe mapema kama teuzi pia wakupe Ili angalau upunguze kutujazia server. Mungu akubariki akili zako zile tulizo kufahamu nazo zikurudie.Wanabodi,

kweli na kweli tupu!2. Zanzibar haitapata chochote kipya zaidi ya kutoa karibu vyote kwenda Tanganyika. Kifupi hali ya maisha itakuwa mbaya Zanzibar. (Kumbuka kwa sasa Zanzibar inakula matunda ya kipato kutoka Tanganyika kuliko hata Zanzibar inachokizalisha yenyewe, na hali hiyo itakoma mara moja Zanzibar ikiwa sehemu ya wilaya za Tanzania)
Kwani kwa sasa tuna usalama gani?Hivi wazanzibari wanaamini wao wanaweza kujitegemea, in real sense the moment wakiruhusiwa wawe huru, waarabu watadumbukia na kiusalama we will be finished. Yaani znz is a mess
Sasa hivi sehemu kubwa ya watu wa upande mmoja (Zanzibar) wanaishi, kuendeleza maisha kisiasa na kiuchumi sehemu ya pili, hata kupata nafasi za uongozi hadi ile ya juu kabisa katika utawala.Wakati ule watu wa pande zote mbili hawakuulizwa wanatakaje ,
Sasa ni muhimu watu wa hizo pande mbili wakaulizwa wanataka Muungano wa aina gani 👁😇
Raia yeyote atakayeonekana kutokutii ina maana Yuko tayari kupambana.Ukatili kwa raia ??👁😳
Huu muungano una miaka 60 tumeshindwa kuwa na serekali Moja, Leo ndio mnalazimisha tuwe na serekali 1 wakati kizazi hiki hakiutaki huo muungano? Wanzanzibar ni dhahiri hawautaki muungano na huko mbeleni tutakuja kuingia kwenye uhasama usio na sababu. Huu muungano ni koti la kuuzima, na hapa lilipo limeshatubana, ni wakati wa kuvua.Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki iliyopita nilisema zimesababishwa na ukosefu wa elimu ya uraia kuhusu Muungano wetu Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?
Kwa wasomaji wapya, wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu kauli za kibaguzi za kunyoosheana vidole vya Utanganyika na Uzanzibari, nikazungumzia kuwa zinasababishwa na ukosefu wa elimu ya uraia, na kuaahidi leo nitaumalizia mjadala huu kwa kuangazia chanzo cha ubaguguzi huu na suluhisho la kudumu la kuutibu ugonjwa huu na kuondoa kabisa kwa kumaliza sumu ya ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari.
Mada ya leo ni historia fupi ya chanzo cha ubaguzi huu wa Utanganyika na Uzanzibari na suluhisho la kudumu la kumaliza kabsa kero zote za Muungano, na suluhisho la kudumu na dawa ya uhakika ya kutibu kabisa hii sumu ya ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari, ambayo kiukweli kabisa ni kidonge kichungu kumeza kwa wahafdhina, ila kidoge kichungu ndicho kinachotibu maradhi. Swali hapa ni jee dawa ni kuwa na serikali moja ya JMT?.
Baada ya Muungano, kwa miongo kadhaa, tumekuwa na muungano wenye maelewana mazuri licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa kwenye kero za muungano, ila moto wa Utanganyika na Uzanzibari, uliwashwa na kitendo cha Zanzibar kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiislamu, OIC, wakati Tanzania imejinasibu ni nchi isiyo na dini, secular state.
Wabunge 55 wa Bunge la JMT, wakaunda kundi la G-55 na kuidai serikali ya Tanganyika, ili iendelee kuwa haina dini na kuiruhusu serikali ya Zanzibar kuendelea kuwa mwanachama wa OIC.
Bunge lilipitisha Azimio la kuanzisha serikali ya Tanganyika, jambo ambalo lilimuibua Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuwakemea wabunge, kwa Bunge kukaa kama kamati ya Chama na kuwaeleza mfumo wa serikali tatu sio sera ya CCM, hivyo hoja hiyo ya kuundwa serikali ya Tanganyika, ikafa kifo cha mende, na kuzikwa jumla.
Zanzibar ikalazimishwa kujitoa OIC, na kuahidiwa, serikali ya JMT itajiunga na OIC, kitu ambacho hakikufanyika mpaka leo. Tuko wakati huo, wahafidhina wa Zanzibar wakawa na dukuduku la chini chini kuwa Zanzibar, haikutendewa haki, hivyo wakaanza vuguvugu za kudai Zanzibar yenye mamlaka zaidi.
Aliyekuwa rais wa Zanzibar, Aboud Jumbe, akapewa ushauri wa kisheria na mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Wolfgang Dourado, wakaandaa hati za kisheria kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili, taarifa zikafika kunakohusika, Aboud Jumbe akaitwa Dodoma, akaenda kama rais wa Zanzibar, akarejea kama rais mstaafu na kusindikizwa nyumbani kwake Mji Mwema mpaka Mungu alipomuita, Dourado aliwekwa mahala salama, taarifa iliyotolewa ilisema kumetokea kuchafuka kwa hewa ya kisiasa Zanzibar kulikopelekea Jumbe kujiuzulu urais wa Zanzibar.
Baada ya Rais Nyerere kutoka Bara, alifuatiwa na Rais Mwinyi kutoka Zanzibar, akaja Mkapa kutoka Bara, akitarajiwa anafuatiwa na rais kutoka Zanzibar, hali haikuwa hivyo, akaingia Rais Kikwete, Wazanzibari wakajiona wako marginalized wakakoleza hoja ya Uzanzibari, baada ya Rais Kikwete kufuatiwa na Rais Magufuli kutoka Bara tena, Uzanzibari ukazidi kukolezwa. Akina sisi tuliuliza Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
Mungu akaingilia kati, kukatokea kilichotokea Machi 17, 2021 kwa Rais wa JMT kuwa ni Rais Samia kutoka Zanzibar, hoja za Utanganyika zikaanza kuibuliwa tena na wanasiasa muflis kuanza tena ubaguzi wa kunyoosheana vidole, vya Utanganyika na Uzanzibari.
Kuungana kwa TANU na ASP
Vyama vya TANU na ASP vilipoungana ile 1977, sii wengi humu walikuwa wamezaliwa!, wengi humu wamezaliwa, wameikuta CCM, hawakuikuta TANU na ASP, hivyo hawajui kwanini TANU na ASP viliungana, na viliungana ili iweje?.
Mimi ni mtu wa 60s, hivyo ile 1977, TANU na ASP zilipoungana nilikuwa darasa la tatu, kijijini Itonjanda, nikikaa kwa bibi mzaa Baba, Bibi Wakawombwe, (RIP) baada ya Baba Mzee Mayalla(RIP) kuhusika na yale mambo fulani ya Mwanza ya 1976!.
Sababu ya TANU na ASP kuungana, ni kuelekea kwenye serikali moja!. Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere alisema huu muungano wa vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa chama kipya, Chama cha Mapinduzi, CCM, ni mwanzo wa safari ya kuondoka kwenye serikali mbili, kuelekea kwenye serikali moja!. Jee ndoto hii ya Mwalimu Nyerere, kwa Tanzania kuwa nchi moja ya JMT yenye serikali moja na rais mmoja, itakuja kutimia?.
Watanzania wanahitaji sana kuelimishwa kuhusu huu muungano wetu adimu na adhimu, tena ni Rais Samia, ndie kiongozi wa kwanza wa juu aliyetoa ruhusa watu waachwe huru kujadili muungano. Baada ya muungano, nchi zote mbili zilitoweka, hakuna nchi ya Tanganyika wala hakuna nchi ya Zanzibar, bali nchi ya Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
Mkanganyiko wa Katiba.
Kama nilivyosema kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna mkanganyiko wowote wa kimataifa kuhusu Tanzania.
Lakini Kitaifa kuna mkanganyiko wa katiba kati ya katiba ya JMT na katiba ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, ya mwaka 1977, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, inaiita Zanzibar ni nchi, ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!. Kitendo cha katiba ya Zanzibar kuuita Zanzibar ni nchi, kinawakanganya Watanzania kudhani kuwa nchi ya Tanganyika ndio pekee iliyokufa ila nchi ya Zanzibar ipo haikufa.
Naomba niwahakikishie Tanzania ni nchi moja ya JMT, ile nchi inayotajwa na katiba ya Zanzibar kuwa ni nchi ya Zanzibar, sii kweli kuwa Zanzibar ni nchi, bali ni jina tuu, hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi, kimuungano ni mabadiko batili, ila, kwa vile mabadiliko hayo ni kwaajili ya Zanzibar tuu, na hayatambuliwi na katiba ya JMT, serikali ya JMT, imeamua kuyapuuza!, lakini kufuatia hizi kelele, tutapuuza mpaka lini?. Si ni bora twende kwenye serikali moja, haya yote yaishe?.
Hitimisho
Kwa vile Rais Samia, anakwenda kutupatia katiba mpya, nashauri hili la mkanganyika wa katiba kati ya katiba ya JMT na Katiba ya Zanzibar, pia litarekebishwa, na kwa maoni yangu, dawa pekee ya uhakika na ya kudumu ambayo ni mwarobaini wa kuzimaliza kero zote za muungano, ni kwenda kwenye serikali moja. Nimalizie na hili swali, je, Tanzania sasa tumefika wakati wa kutimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya uzalendo wa kweli wa JMT, wa kwenda kwenye nchi moja, yenye serikali moja na rais mmoja?
Muungano tutaulinda kwa gharama yoyote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za mwandishi kuhusu serikali moja
- Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!
Paskali,unavyong'ang'ania kwamba watu hawana elimu ya uraia,unakosea.Kuna uwezekano wewe ndiye umepewa elimu hiyo lakini haijajihifadhi sehemu njema kichwani mwako.Kwa ufupi haujaelewa kitu.Bado una safari ndefu ya kulishwa kwa nguvu kuhusu demokrasia na uhuru wa maoni.Naishia hapa.Wanabodi,