Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

Jaribu kuwa specific.

Hiyo early 1900's ni mwaka gani, na maeneo gani yaliyokuwa chini ya Zanzibar, na yalihama Toka Zanzibar kwa mkataba au makubaliano yepi?

Eneo kubwa la eneo la Tanganyika lilikuwa linajulikanwa kama eneo la Zanzibar mpaka lilipochukuliwa na Germany na kugeuzwa German East Africa, kwenye 1884-85 baada ya Berlin conference, Kipindi hicho palikuwa na Taifa la Zanzibar tu hapakuwa na Taifa la Tanganyika. Baada ya hapo Zanzibar bado ikabakiwa na ukanda wa pwani wa baadhi ya maeneo ya Dar, Tanga, Mtwara, Lindi mpaka pale Germany walipayachukuwa kwa nguvu kwa mlango wa kuuziwe ule unaoitwa offer you can't refuse. (kwa kifipu walichukuwa kimabavu)
 
Kwenye hili bandiko hujang'ata na kupuliza, bali umeng'ata Moja Kwa moja; you've become genuine and direct.
Huwa sipendi tabia na uandishi wako wa kuzunguka mbuyu (i.e sarcastical presentation ), badala ya kuwa direct. Ila Kwa Leo umenikosha.
Na mwisho niseme Ndg. Mwenyekiti naunga mkono hoja Kwa % zote.
 
uliandika maneno ya kweli kabisa, kama kuna haja ya kuungana basi ni vema kuwe na serikali tatu na kama hakuna haja ya kuendelea kuungana ni vema zanzibari ijitawale kama nchi huru na sio kuwa chini ya kivuli cha tanganyika
 
Better be safer than sorry, huo uandishi wangu wa kuuzunguka mbuyu ndio passport yangu kuendelea ku survive, I'm a survivor Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
 
Watanzania wanaotaka serikali tatu au kuvunja muungano yawezekana wana uelewa hafifu wa kisiasa au wanapigania ajenda wasiyoifahamu hatima yake.

Watanzania bara wanatakiwa kupigania serikali moja na kuua uzanzibar miongoni mwa wazanzibar.

Tanzania imara na salama ni yenye umiliki 100% wa bahari ya Hindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…