Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Ardhi ya Congo ni kwa ajili ya wakongo. Watutsi warudi kwao rwanda.Hapo walipo sasa hivi ndio kwao sasa wanapewa kiasi gani hilo ndio swali la msingi, ila alternative ni hao so called wachache either wabakie hapo (wakati hao so called wengi wanaogopa kwamba ni mamluki) au wawagawie kipandi hicho no matter ni kidogo kiasi gani ili wajitawale)..
Kumbuka hawa kama ukisema waendelee kama kawaida basi wakubalini kama wenzenu (yaani raia wenzenu); alternative kama mnakata kuwafukuza wafukuzeni na hio ardhi. Hao M23 mwisho wa siku hao watu huko north Kivu watakuwa na taifa lao Na sio wao tu bali na jamii nyingine ambazo zipo sasa hivi hapo Kivu; hao M23 watakuwa hawana maana ya kuendelea kuwepo. Yaani itabidi wafe kifo cha kawaida au nchi zote ziwatokomeze (sababu watasema wanamtetea nani)?