killing, especially of a whole group of people or animals.Apo ni Kufanya Extermination tu...Enzi ya Vita kule Yugoslavia ilitumika na kutoa matokeo mazuri tu.
"the near extermination of the buffalo herds"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
killing, especially of a whole group of people or animals.Apo ni Kufanya Extermination tu...Enzi ya Vita kule Yugoslavia ilitumika na kutoa matokeo mazuri tu.
Nope sijasema itakuwa sawa na matatizo yatakwisha sababu alternative ni watu kutambuliwa kama wananchi wa Congo; na kupata nafasi za nchi yao hio ya Congo kama wengine, Je hio unadhani itakuwa rahisi kwa watu ambao wenzao wanawaona kama mamluki ? Binafsi mimi naona hizi mali ni mambo ya kupita ila Amani, Uhuru na Maisha ya Usalama ya wananchi waliopo pale (wote jamii zote ikiwemo Watusi) ni ya maana sana; na mpaka sasa inaonekana Serikali yao Congo (ambayo ipo Kinshasa) wamewaacha kama watoto yatima; na Serikali mbalimbali zimekuwa zikiwatumia tu kama nyezo (mfano Kabila Kuchukua nchi) na Mobutu kuwapa nafasi kwenye Serikali akijua kwamba muda wowote anaweza akawageuka kutokana na hatred ya Jamii nyingine dhidi yao.Unajifunza kuwa tatizo siyo nchi, tatizo ni maslahi binafsi ya viongozi wa pande zisizokubaliana.
Ndiyo maana hata hapa kwetu utasikia Tanganyika iwe nchi na zanzibar iwe nchi kamili then kuwe na federal government, so what??? Yaani imagine mimi niliyezaliwa Tanzania nianze kuidai nchi ya Tanganyika ambayo hata siijui ilikuwa inafananaje. So sad
Mtoa hoja anafikiri, wakipewa kipande cha kile wanachoona ni chao, ndiyo machafuko yatatulia. jambo ambalo sio sahihi ukirejea kesi ya sudan kusini nk
Mimi kwangu hizi zote ni perceptions; haiwezi kuondoa ukweli kuwa suluhisho unalojaribu kuliadvocate ni hatri zaidi ya changamoto iliyopo sasa.Nope sijasema itakuwa sawa na matatizo yatakwisha sababu alternative ni watu kutambuliwa kama wananchi wa Congo; na kupata nafasi za nchi yao hio ya Congo kama wengine, Je hio unadhani itakuwa rahisi kwa watu ambao wenzao wanawaona kama mamluki ? Binafsi mimi naona hizi mali ni mambo ya kupita ila Amani, Uhuru na Maisha ya Usalama ya wananchi waliopo pale (wote jamii zote ikiwemo Watusi) ni ya maana sana; na mpaka sasa inaonekana Serikali yao Congo (ambayo ipo Kinshasa) wamewaacha kama watoto yatima; na Serikali mbalimbali zimekuwa zikiwatumia tu kama nyezo (mfano Kabila Kuchukua nchi) na Mobutu kuwapa nafasi kwenye Serikali akijua kwamba muda wowote anaweza akawageuka kutokana na hatred ya Jamii nyingine dhidi yao.
Epuka Sana kukaribisha wageni kwenye ukoo, wakija ni wapole watazaliana wanaongezeka wataanza kumaliza kizazi Cha wazawa. Warudi walipotokaKwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa kufahamu vizuri ugumu wa mgogoro huu ni vema ukauangalia katika mtizamo (perspective) ya watu Husika;
Watutsi ambao ni Wakongo (Ambao Watu wa Congo wanasema ni Wanyarwanda na warudi Kwao):
- Kumbuka hawa kabla ya wakoloni kuweka mipaka yao baadhi yao walikuwepo hapo, kwahio kuwepo kwao Congo sasa hivi sio kwamba wote walikuja bali walijikuta wamewekwa Congo; Kwahio hawa kwa mtizamo wao ni Wakongo
- Hawa watu wananyanyaswa kwamba sio Wakongo na warudi kwao, Sasa kwao wapi sababu ukiwafukuza je unawafukuza na ardhi ?
- Hawa watu wanachotaka wao ni kuwa na haki sawa kama wakongo na uwezo wa kupiga kura n.k, jambo ambalo wakongo hawataki kuwapa (na wana hoja sababu kwa macho yao hawa ni mamluki)
- Hao askari wa M23 nao wanataka wawe assimilited kwenye jeshi la Congo (jambo ambalo sidhani kama Congo watakubali)
Nchi ya Congo
- Wao wanaona hawa sio raia wala wakongo na kwao wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi kama mapandikizi, na pia wanaona wanatumika kama nyenzo ya kuwaibia na pia kikundi cha M23 ambacho kinasema kinawalinda watutsi hao kwa Congo kundi hili ni magaidi.
- Kwa Rais wa Congo kukubali hawa watu waingizwe nchini na kupewa kila haki hata yeye akikubali kuna watu wa Congo ambao watamuona kama msaliti, na vilevile kwa macho yake hii ni hatari ya kuleta mamluki (watu ambao wewe unaona sio Watu wako katika nchi yako).
- Congo wanaona M23 ni kama nyenzo ya Rwanda kuwaingilia na ukizingatia hata Kabila alivyochukua nchi alipata msaada wa hawa watu na wakitokea Uganda na kumuondoa Mobutu utaona kwamba Rais wa Congo ana hoja za msingi za kutokukubaliana na assimilation ya hawa watu Congo.
Nchi ya Rwanda:
Kumbuka nchi ya Rwanda Kagame alivyochukua nchi kuna wale watu ambao inasemekana ndio walihusika na mauaji ya Kimbari pamoja na Waliokuwa ndio wanaongoza nchi walikimbilia Congo na kupokelewa Congo, na Ufaransa pamoja na Mobutu kuwafundisha zaidi ili waweze kurudi Rwanda na kumpindua Kagame; Ingawa Kagame na yeye kuona hivyo akatumia Watutsi waliopo Congo kuwafundisha ili kuweza kuwakabili hao anaowaona ni waasi (hivyo matatizo ya Rwanda ni kama yakahamia Congo).
Kwahio ni ngumu kwa Kagame kuona kuna Watutsi wanaonyanyaswa Congo wakati yeye aliingia kwenye madaraka kwa kuonyesha kwamba anamaliza manyanyaso hayo; Na Tukisema hao Watutsi warudi Rwanda, je warudi wapi ukizingatia wengine wapo hapo tangia enzi na enzi ? Pia Kagame lazima jicho lake litakuwa Congo sababu anaona kuna uwezekano wa kuvamiwa kutokea Congo
Uganda:
Uganda pia na yeye yupo macho sababu kunaweza kutokea waasi wowote kutokea Congo kuleta machafuko Uganda ukizingatia community hizi kuna watu ambao walikimbia kutoka Congo kwenda Uganda na wanaweza kurudi wakati wowote na vice versa
Tanzania:
Shida yoyote ya jirani yako pia ni ya kwako mfarakano wowote utakaotokea huko lazima na wewe utakufikia; Pia kuna ndugu zetu Wanyarwanda na Warundi wengi zaidi ambao walikuja huko baada ya shida za huko kwao, shida zinazotokea huko huenda zikaanza kupelekea hawa ndugu zetu kutengwa na kunyanyaswa kama vile watusi wa Congo wanavyoonekana ni matatizo na waleta shida.
Hitimisho
Hitimisho pekee na la kudumu, ni hawa watu waliopo sasa hapo North Kivu (Jamii zote) waweze kupata nchi yao hapo hapo na nchi zote za maziwa makuu na kwa kushirikiana zinaweza zikawa na Base ya kuangalia Amani hapo, na kuhakikisha vinatokomeza vikundi vyote vya Kuasi (Magaidi hata kama wanajiita Freedom Fighters) na vya aina yoyote kwa kuwa assimiliate katika nchi yao hii mpya. Na kuhakikisha hakuna masalia ambayo yanaweza kuanzia hapo na kuleta shida yoyote au kutishia Amani katika nchi Jirani.
Suala hili inabidi sisi kama Waafrika tusaidiane kulimaliza na kabla ya Afrika sisi majirani kwanza (Maziwa Makuu)
Je unaona hayo yanaweza kutokea ? Pia kwa kufanya hivyo nadhani ni kufukia moto kwa majani makavu ukifikiri sababu hauonekani basi umeuzima; Hata wewe kwa upande wako unaweza ukawapa fair consideration watu ambao unaona ni mamluki kwako ? Na baadhi wamekuwa wakitumiwa kama Kete ya kubadilisha Uongozi (refer Kabila); Ofcource hayo yangefanyika ya Wacongo wote kushirikiana na kujenga nchi yao ingekuwa ndio bora zaidi ila kinachoonekana ni kama baadhi ya wananchi wao wamegeuka kuwa Yatima na kusahaulika na watu wa mataifa ya mbali na karibu kugeuza hio nchi kama sehemu ya kujichotea na kufanya uharibifu...Hamna cha kujitenga wala nini, hiyo Ardhi ni Congo na ubaki kuwa Congo.Sio wao pekee waliogawanywa makabila mengi Afrika yaligawanya, butvwatu wa-remove on..wao Watusi wana-uspecial gani?
1.Watusi wa Congo waheshimu na kutii mamlaka ya Congo bila kuonekana kama pandikizi
2.Serikali ya Congo iheshimu raiavwake unconditionally
3.Serikali ya Congo iache kuwasaidia FDRL - Waasi wa Rwanda walioko Congo
4.Rwanda waache kuwasaidia M23 - Waasi watusi - Wacongo.
5.Kila nchi iheshimu mipaka yake ma ihakikishe isitengeneze mazingira ya nchi nyingine kushambuliwa kutoka kwao - wasifadhili vikundi vyote vya waasi.
6.Kagane na Rwanda yake atambue kuwa Watusi waliochini ya dhamana yake ni Watusi Wanyarwanda, sio Watusi Wacongo, Watusi Waganda, Watusi Watanzania n.k.
7.Kagame akijiona yeye ndo Messiah wa Watusi basi watangaze programmes za kuwarudisha nyumbani kama Wayahudi au wabadirishe uraia na ijulikane moja kuwa ni Watusi Wanyarwanda.
Mbona hatuskii Wamasai wa Kenya au Tz wakijitambulisha either way, huku kusini kuna makabila kibao yalikatwa katikati lkn wanaendelea na maisha...
What if walipotoka kwa wengine ndio hapo hapo ?; Na hatari zaidi kuna wengine kama wao huko mbali ambao wataendelea kuwatembelea ndugu zao na hivyo kuongezeka. Kwahio kama wote hawawezi kuishi kama binadamu kwa ustaarabu tunafanyaje kuwafukuza ambapo hatuwezi kuwafukuza wote (wengine wapo tangia enzi na enzi) au tunawakaribisha wawe kama sisi (ambapo huenda hatutaki kufanya hivyo sababu tunaona sio wenzetu)...Epuka Sana kukaribisha wageni kwenye ukoo, wakija ni wapole watazaliana wanaongezeka wataanza kumaliza kizazi Cha wazawa. Warudi walipotoka
LohKabla hujafika hapo jiulize hao Jamaa ni asilimia ngapi ya Congo?
Population yao ni laki 4 kwenye watu Million 100 hawafiki hata Asilimia 1 ya nchi.
Ugawe nchi uwape kipande kikubwa Asilimia 0.5 ya watu kilichobakia wapewe Asilimia 99.5? Ni ujinga kiwango cha lami.
Na ukiona matakwa ya M23 ndio utaona hawana time na Amani ni vitu visivyomake sense kabis.
Kweli kabisa.Kama ilivyopatikana South Sudan.
Hapo Kivu waliopo ni Watusi pekee ?Huna unalojua wewe Bwege
Mbona kagame hataki kupatana na Wahutu wanaoishi Congo. Watu wako uhamishoni zaidi ya miaka 30 na nchi Yao ni Rwanda ila hawataki ila anataka watusi ambao ni asili yake wapewe nafasi congo.
Agent wa Kagame yupo kwene INFORMATION WARFAREKwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa kufahamu vizuri ugumu wa mgogoro huu ni vema ukauangalia katika mtizamo (perspective) ya watu Husika;
Watutsi ambao ni Wakongo (Ambao Watu wa Congo wanasema ni Wanyarwanda na warudi Kwao):
- Kumbuka hawa kabla ya wakoloni kuweka mipaka yao baadhi yao walikuwepo hapo, kwahio kuwepo kwao Congo sasa hivi sio kwamba wote walikuja bali walijikuta wamewekwa Congo; Kwahio hawa kwa mtizamo wao ni Wakongo
- Hawa watu wananyanyaswa kwamba sio Wakongo na warudi kwao, Sasa kwao wapi sababu ukiwafukuza je unawafukuza na ardhi ?
- Hawa watu wanachotaka wao ni kuwa na haki sawa kama wakongo na uwezo wa kupiga kura n.k, jambo ambalo wakongo hawataki kuwapa (na wana hoja sababu kwa macho yao hawa ni mamluki)
- Hao askari wa M23 nao wanataka wawe assimilited kwenye jeshi la Congo (jambo ambalo sidhani kama Congo watakubali)
Nchi ya Congo
- Wao wanaona hawa sio raia wala wakongo na kwao wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi kama mapandikizi, na pia wanaona wanatumika kama nyenzo ya kuwaibia na pia kikundi cha M23 ambacho kinasema kinawalinda watutsi hao kwa Congo kundi hili ni magaidi.
- Kwa Rais wa Congo kukubali hawa watu waingizwe nchini na kupewa kila haki hata yeye akikubali kuna watu wa Congo ambao watamuona kama msaliti, na vilevile kwa macho yake hii ni hatari ya kuleta mamluki (watu ambao wewe unaona sio Watu wako katika nchi yako).
- Congo wanaona M23 ni kama nyenzo ya Rwanda kuwaingilia na ukizingatia hata Kabila alivyochukua nchi alipata msaada wa hawa watu na wakitokea Uganda na kumuondoa Mobutu utaona kwamba Rais wa Congo ana hoja za msingi za kutokukubaliana na assimilation ya hawa watu Congo.
Nchi ya Rwanda:
Kumbuka nchi ya Rwanda Kagame alivyochukua nchi kuna wale watu ambao inasemekana ndio walihusika na mauaji ya Kimbari pamoja na Waliokuwa ndio wanaongoza nchi walikimbilia Congo na kupokelewa Congo, na Ufaransa pamoja na Mobutu kuwafundisha zaidi ili waweze kurudi Rwanda na kumpindua Kagame; Ingawa Kagame na yeye kuona hivyo akatumia Watutsi waliopo Congo kuwafundisha ili kuweza kuwakabili hao anaowaona ni waasi (hivyo matatizo ya Rwanda ni kama yakahamia Congo).
Kwahio ni ngumu kwa Kagame kuona kuna Watutsi wanaonyanyaswa Congo wakati yeye aliingia kwenye madaraka kwa kuonyesha kwamba anamaliza manyanyaso hayo; Na Tukisema hao Watutsi warudi Rwanda, je warudi wapi ukizingatia wengine wapo hapo tangia enzi na enzi ? Pia Kagame lazima jicho lake litakuwa Congo sababu anaona kuna uwezekano wa kuvamiwa kutokea Congo
Uganda:
Uganda pia na yeye yupo macho sababu kunaweza kutokea waasi wowote kutokea Congo kuleta machafuko Uganda ukizingatia community hizi kuna watu ambao walikimbia kutoka Congo kwenda Uganda na wanaweza kurudi wakati wowote na vice versa
Tanzania:
Shida yoyote ya jirani yako pia ni ya kwako mfarakano wowote utakaotokea huko lazima na wewe utakufikia; Pia kuna ndugu zetu Wanyarwanda na Warundi wengi zaidi ambao walikuja huko baada ya shida za huko kwao, shida zinazotokea huko huenda zikaanza kupelekea hawa ndugu zetu kutengwa na kunyanyaswa kama vile watusi wa Congo wanavyoonekana ni matatizo na waleta shida.
Hitimisho
Hitimisho pekee na la kudumu, ni hawa watu waliopo sasa hapo North Kivu (Jamii zote) waweze kupata nchi yao hapo hapo na nchi zote za maziwa makuu na kwa kushirikiana zinaweza zikawa na Base ya kuangalia Amani hapo, na kuhakikisha vinatokomeza vikundi vyote vya Kuasi (Magaidi hata kama wanajiita Freedom Fighters) na vya aina yoyote kwa kuwa assimiliate katika nchi yao hii mpya. Na kuhakikisha hakuna masalia ambayo yanaweza kuanzia hapo na kuleta shida yoyote au kutishia Amani katika nchi Jirani.
Suala hili inabidi sisi kama Waafrika tusaidiane kulimaliza na kabla ya Afrika sisi majirani kwanza (Maziwa Makuu)
Sio watusi pekee dunia hii chini ya jua haipaswi binadamu yoyote aishi sehemu kama second citizen kama ana uraia either uwe wa makaratasi (legally) au kuanzia ancestors wake kama walikuwepo hapo; kwahio Congo needs to take a hard look at themselves na kuhakikisha the country is protecting their own..., Na kama hawawezi (no systems in place) maybe wawaachie hao ambao wanapata dhahama wajaribu kutumia rasilimali zao pamoja na kujilinda (Saudi Arabia iliweza kutumia rasilimali zake na kujizatiti kijeshi) if that was a good move or not that's another argument..kilio ni Watutsi kunyimwa haki zao Congo.
Kwa kutumia hoja gani ? angalau Tanzania tungeweza kusema kwamba Rwanda na Burundi zote zilikuwa ni Deutsch-Ostafrik kwahio tunaweza kuwa na Hoja; kuna hao waliopo hapo watusi wao wanasema mipaka iliwakuta kwahio hapo ni Kwao (sio Rwanda)... Mwisho kabisa tusiangalie hili kwa jicho la Rwanda, Uganda na Congo, tuliangalie kwa jicho la raia anayehangaika hapo kila siku kwa vita visivyoisha na nchi yake / makazi kuwa kichaka cha waasi wasiokwisha..., Mtu huyu na sio Mtusi pekee pale makabila yote yaliyopo hapo anahitaji kuangaliwa na kulindwa na nchi yake (Congo) sasa kama inashindwa kufanya hivyo hatuwezi kusema two wrongs makes a right (wote kuanzia M23, waasi wote na wote wanaosababisha sintofahamu waache kufanya hivyo)..basi Rwanda iunganishwe ili kuwa jimbo la Congo.
Kwahio unaona hapo kutakuwa hakuna malalamiko kwamba Congo imechukua Taifa lingine ?; Binafsi naona hata asimilation ya watusi kwenye serikali ya Congo ni jambo gumu sana. Tayari kuna watu wanaona kwamba hawa ni enemy within (sasa unaweza vipi kuwaunganisha)? Ndio maana kuna siku nilisema Hata mgogoro wa ndugu zetu Watusi na Wahutu kwa faida ya vizazi vijavyo waanze kuhakikisha / kuhamasisha intermarriages za kufa mtu.....malalamiko kwamba wanafukuzwa Congo yatakwisha
Huwezi kuzuia baya moja kwa kutafuta baya jingine kama hawa ni wezi wa madini kwanini wasihakikishe wizi huo unakwisha ? Je ni Rwanda na Uganda pekee ndio wanaiba au hilo ni shamba la bibi kila mtu anajizolea hata maitaifa ya mbali..shutuma kwamba wanaiba madini ya Congo zitakuwa hazina nguvu maana sasa watakuwa raia halali wa Congo.
Congo should take care of their own (all of them) kama hawawezi from the centre (Kinshasha) then maybe they need to find an alternative (for the sake of people at the countries vicinities)..hofu kwamba Congo inataka kumegwa au kugawanywa nayo itaondoka.
Hii ndio definition ya Vioja... au naweza kusema Divide and Rule ya Mkoloni bado ipo kwenye fikra zako (kwa kuona wengine ni maadui) by the way nchi ni zaidi ya mtu mmoja (huyu Kagame next 20 years atakuwa hayupo) ila bila ku sort hili jambo litaendelea kututafuna (na hapo nime kututafuna sio kimakosa ni kwamba nchi zote za maziwa makuu zinapata athari na destabilization iliyopo huko)Agent wa Kagame yupo kwene INFORMATION WARFARE
Sio watusi pekee dunia hii chini ya jua haipaswi binadamu yoyote aishi sehemu kama second citizen kama ana uraia either uwe wa makaratasi (legally) au kuanzia ancestors wake kama walikuwepo hapo; kwahio Congo needs to take a hard look at themselves na kuhakikisha the country is protecting their own..., Na kama hawawezi (no systems in place) maybe wawaachie hao ambao wanapata dhahama wajaribu kutumia rasilimali zao pamoja na kujilinda (Saudi Arabia iliweza kutumia rasilimali zake na kujizatiti kijeshi) if that was a good move or not that's another argument
Kwa kutumia hoja gani ? angalau Tanzania tungeweza kusema kwamba Rwanda na Burundi zote zilikuwa ni Deutsch-Ostafrik kwahio tunaweza kuwa na Hoja; kuna hao waliopo hapo watusi wao wanasema mipaka iliwakuta kwahio hapo ni Kwao (sio Rwanda)... Mwisho kabisa tusiangalie hili kwa jicho la Rwanda, Uganda na Congo, tuliangalie kwa jicho la raia anayehangaika hapo kila siku kwa vita visivyoisha na nchi yake / makazi kuwa kichaka cha waasi wasiokwisha..., Mtu huyu na sio Mtusi pekee pale makabila yote yaliyopo hapo anahitaji kuangaliwa na kulindwa na nchi yake (Congo) sasa kama inashindwa kufanya hivyo hatuwezi kusema two wrongs makes a right (wote kuanzia M23, waasi wote na wote wanaosababisha sintofahamu waache kufanya hivyo)
Kwahio unaona hapo kutakuwa hakuna malalamiko kwamba Congo imechukua Taifa lingine ?; Binafsi naona hata asimilation ya watusi kwenye serikali ya Congo ni jambo gumu sana. Tayari kuna watu wanaona kwamba hawa ni enemy within (sasa unaweza vipi kuwaunganisha)? Ndio maana kuna siku nilisema Hata mgogoro wa ndugu zetu Watusi na Wahutu kwa faida ya vizazi vijavyo waanze kuhakikisha / kuhamasisha intermarriages za kufa mtu...
Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao
Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...www.jamiiforums.com
Huwezi kuzuia baya moja kwa kutafuta baya jingine kama hawa ni wezi wa madini kwanini wasihakikishe wizi huo unakwisha ? Je ni Rwanda na Uganda pekee ndio wanaiba au hilo ni shamba la bibi kila mtu anajizolea hata maitaifa ya mbali
Congo should take care of their own (all of them) kama hawawezi from the centre (Kinshasha) then maybe they need to find an alternative (for the sake of people at the countries vicinities)
Which means watu hawa ni vigumu kuendelea kukaa kama ndugu sababu hawana imani na kila upande hivyo sisi kama third party inabidi tuangalie ni vipi tunaweza kuwasaidia ndugu zetu wasiendelee kupigana bali kujenga nchi yao na hio ni pamoja na kuangalia Hoja na Madai kama ni reasonable na workable.....kila upande unawanyooshea wengine kidole na kuwashutumu.
Je kuna ukweli wa hili ? Kama ndio je ni kuna uwezekano wa kuweza kuacha kutengwa na watu wanaokuona wewe sio loyal ? Je Congo haina wajibu ya kuwalinda hawa raia wao ambao ni watusi, pia tukumbuke kwamba hapo Kivu sio kwamba ni watusi pekee kuna makabila mengine..., Pia huenda ikitokea machafuko Rwanda wengi zaidi hata ambao sio wacongo watakimbilia hapo sababu kuna watu wenye tamaduni sawa kama wao (na hili lazima litaleta tension zaidi) Kuna siku nilisema hawa watu Hususan Rwanda na Burundi wangejifunza kutoka Tanzania ingawa wameshachelewa ila sio mbaya kuanza mapema ndio maana kuna siku nilisema watu wajifunze kutoka Tanzania..Watutsi wanalalamika kwamba wanatengwa na kunyimwa haki zao kama Wacongo.
Naam ndio maana nasema ni vigumu sana watusi hawa kuwa assimilated kwenye positions za kubwa kubwa za Congo ingawa wacongo wasio watusi huwa wanawatumia pale wakitaka kupindua Serikali kama Kabila na hata Mobutu aliwatumia kwa kuwapa position akijua hawatamsaliti na aliwafanya nyenzo ya kuwabana wengine...Wacongo nao wanalalamika kwamba Watutsi wanajiona ni Wanyarwanda, na hawako loyal kwa Congo.
Pia kuna mazingira yanayosababisha hao wabaya, wakatili na wauwaji kuweza ku survive na ku nourish..., that place is a failed state na kama Congo haiwezi kuwalinda raia wake wa hapo na kuendelea kusababisha mazao ya waasi maybe its about time wanyanyue mikono, leo ni M23 kesho watakuja wengine, na kila anayetaka madaraka anawatumia hawa watu kama ngazi ya kupanda kwenda kupata ulaji..Kwa hiyo kila upande uangalie umemkosea nini mwenzake ili waweze kuishi pamoja kwa amani, na upendo.
..Kila upande katika huu mgogoro una watu wazuri, na watu wabaya wakatili na wauwaji.
Which means watu hawa ni vigumu kuendelea kukaa kama ndugu sababu hawana imani na kila upande hivyo sisi kama third party inabidi tuangalie ni vipi tunaweza kuwasaidia ndugu zetu wasiendelee kupigana bali kujenga nchi yao na hio ni pamoja na kuangalia Hoja na Madai kama ni reasonable na workable...
Je kuna ukweli wa hili ? Kama ndio je ni kuna uwezekano wa kuweza kuacha kutengwa na watu wanaokuona wewe sio loyal ? Je Congo haina wajibu ya kuwalinda hawa raia wao ambao ni watusi, pia tukumbuke kwamba hapo Kivu sio kwamba ni watusi pekee kuna makabila mengine..., Pia huenda ikitokea machafuko Rwanda wengi zaidi hata ambao sio wacongo watakimbilia hapo sababu kuna watu wenye tamaduni sawa kama wao (na hili lazima litaleta tension zaidi) Kuna siku nilisema hawa watu Hususan Rwanda na Burundi wangejifunza kutoka Tanzania ingawa wameshachelewa ila sio mbaya kuanza mapema ndio maana kuna siku nilisema watu wajifunze kutoka Tanzania
Mfano wa Kuigwa: Mkusanyiko wa Makabila uliotengeneza Taifa Moja (Watanzania)
Wakati majirani huko na kule wanabaguana ni vema wakachungulia huku na kujifunza. Vilevile na sisi tukachungulia kule ili kuona ni vipi tusijefanya makosa kama yao. Sifa za Makabila; (Ili uwe Kabila mara nyingi unahitaji yafuatayo) Lugha yenu Ardhi / Eneo Utamaduni wenu, tofauti na wengine...www.jamiiforums.com
Naam ndio maana nasema ni vigumu sana watusi hawa kuwa assimilated kwenye positions za kubwa kubwa za Congo ingawa wacongo wasio watusi huwa wanawatumia pale wakitaka kupindua Serikali kama Kabila na hata Mobutu aliwatumia kwa kuwapa position akijua hawatamsaliti na aliwafanya nyenzo ya kuwabana wengine.
Kwahio utaona hapo kwa Congo kuwakubali 100 percent kuwa assimilate (watusi) ni vigumu sana, and with good reason (huwezi kuwapa position watu ambao unawaona ni wasaliti); pili kwa Congo kuwatumia wale ambao Rwanda wanadhani wanataka kupindua Serikali ni obvious Rwanda ita support watu wanaopigana nao (hata wasingekuwa watusi)... (that is a good reason; Action and Reaction are equal and opposite)
Kwahio sisi majirani (Big Brothers inabidi tutafute suluhisho la kudumu); what is a long term solution which is practical na sio kuendelea ku postpone the inevitability ? Huyu Kagame tunayesema ni mbaya alitengenezwa na matukio ya 1959 (kwao pangekuwa safe wala asingekuwa mkimbizi).
Pia kuna mazingira yanayosababisha hao wabaya, wakatili na wauwaji kuweza ku survive na ku nourish..., that place is a failed state na kama Congo haiwezi kuwalinda raia wake wa hapo na kuendelea kusababisha mazao ya waasi maybe its about time wanyanyue mikono, leo ni M23 kesho watakuja wengine, na kila anayetaka madaraka anawatumia hawa watu kama ngazi ya kupanda kwenda kupata ulaji
Je unaona hayo yanaweza kutokea ? Pia kwa kufanya hivyo nadhani ni kufukia moto kwa majani makavu ukifikiri sababu hauonekani basi umeuzima; Hata wewe kwa upande wako unaweza ukawapa fair consideration watu ambao unaona ni mamluki kwako ? Na baadhi wamekuwa wakitumiwa kama Kete ya kubadilisha Uongozi (refer Kabila); Ofcource hayo yangefanyika ya Wacongo wote kushirikiana na kujenga nchi yao ingekuwa ndio bora zaidi ila kinachoonekana ni kama baadhi ya wananchi wao wamegeuka kuwa Yatima na kusahaulika na watu wa mataifa ya mbali na karibu kugeuza hio nchi kama sehemu ya kujichotea na kufanya uharibifu...
Nachojaribu kusema Congo ni kubwa sana na hayo mamisitu ni ngumu sana kuweza kuendeshwa from the centre wanahitaji decentralization ya hali ya juu; Na mpaka sasa hakuna mzuri hapo sio Serikali Kinshasha wala hao wanaoibia nchi; Lakini Je hawa raia wanaoendelea kutaabika wakati nchi yao ni tajiri inakuwaje ? What is the easiest immediate alternative.
kwan huu mgogoro si ulianza miaka 1990s je kabla ya hapo walikuwa wanabaguliwa pia maana hawakuwa na agenda zozote , huez baguliwa kama ww ni mwenyej , kuna namna hao ni wageniNani kasema ugawe Ardhi ? Waliopo hapo ndio wataendelea kuwapo hapo, sababu alternative ni kwamba watusi waliopo hapo wanataka haki sawa kama raia ya hapo waliopo sababu kabla wakoloni hawajapagawa walikuwepo hapo hapo.., sasa je unadhani Congo itakubali kuwa assimilate kwenye Taifa lao na kutambulika mpaka Kinshasha na bila kuwanyanyasa (sababu hio ndio alternative) ukisema waondoke Je waondoke na Ardhi iliyopo chini ya Miguu yao ?