Solution ni ku control hayo Madini, tutazunguka kote ila mwisho wa siku hakuna kinachopiganiwa bali ni Madini, kwa namna yoyote ile kuwe kwa mazungumzo ama hata kijeshi. Yakiwa controlled na kuuzwa kwa haki Automatic hivyo vikundi vitapotea.
Ila kutoa Eneo kwa minority, ambao hata hapo Kivu sio majority ni ujinga, kama lengo ni kuisaidia kivu si kuna makabila makubwa ya Kivu? Kwanini hayo makabila hayatajwi kwenye kugawa keki. Ya kivu ila wanatajwa wa tutsi ambao eneo sio lao?
Haya mambo ndio walitumia Wazungu kuleta Mipasuko Middle East na ndio yanaletwa na huku pia, kuna hatari kubwa mno kuwapa minorities Sehemu na mwisho wake siku zote huleta Genocide.