Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

Yani nyie Watusi mnacho taka ule Mkataba wa lemera utimie.
Ili mfaidike na Matunda ya Ardhi ya Wakongomani,mlimsaidia Raisi kabila akawatosa sasa Mishipa ya shingo inawatoka mnakuja kutafuta huruma uku Tz.
“Kwa Mtego huo uwe wa kutumwa au wa bahati mbaya hatutouwingia kamwe”
Na ndio hicho nimekisema tangia mwanzo na hatari kwa Watanzania na nchi nyingine ni kwa kuwaona wanyarwanda wote na warundi wote popote walipo kama virusi fulani ambavyo inapaswa vifukuzwe au kuondolewa.., Je swali kabla ya Kabila kulikuwa hakuna watusi hapo North Kivu ? Na sijasema hilo eneo waachiwe Watusi au Rwanda, bali Jamii zote ambazo zipo hapo sasa hivi ikiwemo na hao watusi; Hamtaki basi walindeni kama raia wengine wa Congo. Sababu chokochoko za huko zinaleta shida na matatizo kwa eneo zima la maziwa makuu na Afrika kwa Ujumla.
 
Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa kufahamu vizuri ugumu wa mgogoro huu ni vema ukauangalia katika mtizamo (perspective) ya watu Husika;

Watutsi ambao ni Wakongo (Ambao Watu wa Congo wanasema ni Wanyarwanda na warudi Kwao):
  • Kumbuka hawa kabla ya wakoloni kuweka mipaka yao baadhi yao walikuwepo hapo, kwahio kuwepo kwao Congo sasa hivi sio kwamba wote walikuja bali walijikuta wamewekwa Congo; Kwahio hawa kwa mtizamo wao ni Wakongo
  • Hawa watu wananyanyaswa kwamba sio Wakongo na warudi kwao, Sasa kwao wapi sababu ukiwafukuza je unawafukuza na ardhi ?
  • Hawa watu wanachotaka wao ni kuwa na haki sawa kama wakongo na uwezo wa kupiga kura n.k, jambo ambalo wakongo hawataki kuwapa (na wana hoja sababu kwa macho yao hawa ni mamluki)
  • Hao askari wa M23 nao wanataka wawe assimilited kwenye jeshi la Congo (jambo ambalo sidhani kama Congo watakubali)

Nchi ya Congo
  • Wao wanaona hawa sio raia wala wakongo na kwao wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi kama mapandikizi, na pia wanaona wanatumika kama nyenzo ya kuwaibia na pia kikundi cha M23 ambacho kinasema kinawalinda watutsi hao kwa Congo kundi hili ni magaidi.
  • Kwa Rais wa Congo kukubali hawa watu waingizwe nchini na kupewa kila haki hata yeye akikubali kuna watu wa Congo ambao watamuona kama msaliti, na vilevile kwa macho yake hii ni hatari ya kuleta mamluki (watu ambao wewe unaona sio Watu wako katika nchi yako).
  • Congo wanaona M23 ni kama nyenzo ya Rwanda kuwaingilia na ukizingatia hata Kabila alivyochukua nchi alipata msaada wa hawa watu na wakitokea Uganda na kumuondoa Mobutu utaona kwamba Rais wa Congo ana hoja za msingi za kutokukubaliana na assimilation ya hawa watu Congo.

Nchi ya Rwanda:
Kumbuka nchi ya Rwanda Kagame alivyochukua nchi kuna wale watu ambao inasemekana ndio walihusika na mauaji ya Kimbari pamoja na Waliokuwa ndio wanaongoza nchi walikimbilia Congo na kupokelewa Congo, na Ufaransa pamoja na Mobutu kuwafundisha zaidi ili waweze kurudi Rwanda na kumpindua Kagame; Ingawa Kagame na yeye kuona hivyo akatumia Watutsi waliopo Congo kuwafundisha ili kuweza kuwakabili hao anaowaona ni waasi (hivyo matatizo ya Rwanda ni kama yakahamia Congo).

Kwahio ni ngumu kwa Kagame kuona kuna Watutsi wanaonyanyaswa Congo wakati yeye aliingia kwenye madaraka kwa kuonyesha kwamba anamaliza manyanyaso hayo; Na Tukisema hao Watutsi warudi Rwanda, je warudi wapi ukizingatia wengine wapo hapo tangia enzi na enzi ? Pia Kagame lazima jicho lake litakuwa Congo sababu anaona kuna uwezekano wa kuvamiwa kutokea Congo

Uganda:
Uganda pia na yeye yupo macho sababu kunaweza kutokea waasi wowote kutokea Congo kuleta machafuko Uganda ukizingatia community hizi kuna watu ambao walikimbia kutoka Congo kwenda Uganda na wanaweza kurudi wakati wowote na vice versa

Tanzania:
Shida yoyote ya jirani yako pia ni ya kwako mfarakano wowote utakaotokea huko lazima na wewe utakufikia; Pia kuna ndugu zetu Wanyarwanda na Warundi wengi zaidi ambao walikuja huko baada ya shida za huko kwao, shida zinazotokea huko huenda zikaanza kupelekea hawa ndugu zetu kutengwa na kunyanyaswa kama vile watusi wa Congo wanavyoonekana ni matatizo na waleta shida.

Hitimisho
Hitimisho pekee na la kudumu, ni hawa watu waliopo sasa hapo North Kivu (Jamii zote) waweze kupata nchi yao hapo hapo na nchi zote za maziwa makuu na kwa kushirikiana zinaweza zikawa na Base ya kuangalia Amani hapo, na kuhakikisha vinatokomeza vikundi vyote vya Kuasi (Magaidi hata kama wanajiita Freedom Fighters) na vya aina yoyote kwa kuwa assimiliate katika nchi yao hii mpya. Na kuhakikisha hakuna masalia ambayo yanaweza kuanzia hapo na kuleta shida yoyote au kutishia Amani katika nchi Jirani.

Suala hili inabidi sisi kama Waafrika tusaidiane kulimaliza na kabla ya Afrika sisi majirani kwanza (Maziwa Makuu)
Two State Solution😅😅
 
Mkuu, mwafrika akili zake anazijua mwenyewe. Sudan walipigana mpaka wakatenga Sudan mbili. Ajabu ile Sudan ya Kusini baada ya kuwa nchi, wakashindwana wao kwa wao na sasa wanapigana.
 
Yani hao wanyamulenge waliokimbia vita Rwanda na kulowea hapo kivu ndo wasababishe nchi igawiwe?? Hiyo hapana.,, kivu ni ya wakongo hao wakishindwa kukaa hapo warudi kwao Rwanda
Mtutsi siyo mtu wa kuishi naye jirani, jiulize kwanini Kagame anawatetea na kulazimisha kuwa ni raia wa Congo? Anawatumia kuiibia Congo. Hao ni wa kuangamizwa. Kagame hana akili wala uwezo wwte wa kijeshi anawategemea mabwana zake walioko Ulaya, ni shoga tu huyo.
 
Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa kufahamu vizuri ugumu wa mgogoro huu ni vema ukauangalia katika mtizamo (perspective) ya watu Husika;

Watutsi ambao ni Wakongo (Ambao Watu wa Congo wanasema ni Wanyarwanda na warudi Kwao):
  • Kumbuka hawa kabla ya wakoloni kuweka mipaka yao baadhi yao walikuwepo hapo, kwahio kuwepo kwao Congo sasa hivi sio kwamba wote walikuja bali walijikuta wamewekwa Congo; Kwahio hawa kwa mtizamo wao ni Wakongo
  • Hawa watu wananyanyaswa kwamba sio Wakongo na warudi kwao, Sasa kwao wapi sababu ukiwafukuza je unawafukuza na ardhi ?
  • Hawa watu wanachotaka wao ni kuwa na haki sawa kama wakongo na uwezo wa kupiga kura n.k, jambo ambalo wakongo hawataki kuwapa (na wana hoja sababu kwa macho yao hawa ni mamluki)
  • Hao askari wa M23 nao wanataka wawe assimilited kwenye jeshi la Congo (jambo ambalo sidhani kama Congo watakubali)

Nchi ya Congo
  • Wao wanaona hawa sio raia wala wakongo na kwao wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi kama mapandikizi, na pia wanaona wanatumika kama nyenzo ya kuwaibia na pia kikundi cha M23 ambacho kinasema kinawalinda watutsi hao kwa Congo kundi hili ni magaidi.
  • Kwa Rais wa Congo kukubali hawa watu waingizwe nchini na kupewa kila haki hata yeye akikubali kuna watu wa Congo ambao watamuona kama msaliti, na vilevile kwa macho yake hii ni hatari ya kuleta mamluki (watu ambao wewe unaona sio Watu wako katika nchi yako).
  • Congo wanaona M23 ni kama nyenzo ya Rwanda kuwaingilia na ukizingatia hata Kabila alivyochukua nchi alipata msaada wa hawa watu na wakitokea Uganda na kumuondoa Mobutu utaona kwamba Rais wa Congo ana hoja za msingi za kutokukubaliana na assimilation ya hawa watu Congo.

Nchi ya Rwanda:
Kumbuka nchi ya Rwanda Kagame alivyochukua nchi kuna wale watu ambao inasemekana ndio walihusika na mauaji ya Kimbari pamoja na Waliokuwa ndio wanaongoza nchi walikimbilia Congo na kupokelewa Congo, na Ufaransa pamoja na Mobutu kuwafundisha zaidi ili waweze kurudi Rwanda na kumpindua Kagame; Ingawa Kagame na yeye kuona hivyo akatumia Watutsi waliopo Congo kuwafundisha ili kuweza kuwakabili hao anaowaona ni waasi (hivyo matatizo ya Rwanda ni kama yakahamia Congo).

Kwahio ni ngumu kwa Kagame kuona kuna Watutsi wanaonyanyaswa Congo wakati yeye aliingia kwenye madaraka kwa kuonyesha kwamba anamaliza manyanyaso hayo; Na Tukisema hao Watutsi warudi Rwanda, je warudi wapi ukizingatia wengine wapo hapo tangia enzi na enzi ? Pia Kagame lazima jicho lake litakuwa Congo sababu anaona kuna uwezekano wa kuvamiwa kutokea Congo

Uganda:
Uganda pia na yeye yupo macho sababu kunaweza kutokea waasi wowote kutokea Congo kuleta machafuko Uganda ukizingatia community hizi kuna watu ambao walikimbia kutoka Congo kwenda Uganda na wanaweza kurudi wakati wowote na vice versa

Tanzania:
Shida yoyote ya jirani yako pia ni ya kwako mfarakano wowote utakaotokea huko lazima na wewe utakufikia; Pia kuna ndugu zetu Wanyarwanda na Warundi wengi zaidi ambao walikuja huko baada ya shida za huko kwao, shida zinazotokea huko huenda zikaanza kupelekea hawa ndugu zetu kutengwa na kunyanyaswa kama vile watusi wa Congo wanavyoonekana ni matatizo na waleta shida.

Hitimisho
Hitimisho pekee na la kudumu, ni hawa watu waliopo sasa hapo North Kivu (Jamii zote) waweze kupata nchi yao hapo hapo na nchi zote za maziwa makuu na kwa kushirikiana zinaweza zikawa na Base ya kuangalia Amani hapo, na kuhakikisha vinatokomeza vikundi vyote vya Kuasi (Magaidi hata kama wanajiita Freedom Fighters) na vya aina yoyote kwa kuwa assimiliate katika nchi yao hii mpya. Na kuhakikisha hakuna masalia ambayo yanaweza kuanzia hapo na kuleta shida yoyote au kutishia Amani katika nchi Jirani.

Suala hili inabidi sisi kama Waafrika tusaidiane kulimaliza na kabla ya Afrika sisi majirani kwanza (Maziwa Makuu)
Ukifanya hivyo kesho wataibuka wengine huko kigoma au karagwe nao watake kujitenga.
 
Hapo walipo sasa hivi ndio kwao sasa wanapewa kiasi gani hilo ndio swali la msingi, ila alternative ni hao so called wachache either wabakie hapo (wakati hao so called wengi wanaogopa kwamba ni mamluki) au wawagawie kipandi hicho no matter ni kidogo kiasi gani ili wajitawale)..

Kumbuka hawa kama ukisema waendelee kama kawaida basi wakubalini kama wenzenu (yaani raia wenzenu); alternative kama mnakata kuwafukuza wafukuzeni na hio ardhi. Hao M23 mwisho wa siku hao watu huko north Kivu watakuwa na taifa lao Na sio wao tu bali na jamii nyingine ambazo zipo sasa hivi hapo Kivu; hao M23 watakuwa hawana maana ya kuendelea kuwepo. Yaani itabidi wafe kifo cha kawaida au nchi zote ziwatokomeze (sababu watasema wanamtetea nani)?
Watakufa siku Madini yakiisha, umesoma Analysis ya kiongozi wa Jeshini wa South Africa? Wana latest weapon zilizotumika vita vya Israel na Palestine ambazo Either wamepewa na Usa ama Israel. Niambie Wametoa wapi hizo silaha.

Watu wote wenye akili wanajua ni vita vya Rasilimali na Madini, ndio maana hata kwenye matakwa yao wanataka wao ndio wawe Askari wa Boda, kunakotoroshewa hayo Madini.

Personally ningekua na influence Congo ningepiga ukuta hio boda.
 
Hawaridhiki wale, wanataka kutwaa nchi nzima ya congo. Hata ukimega nchi ya congo mashariki na kuwapa watataka kujitanua kwenye nchi zingine kama Tanzania, kigoma, katavi, kagera na tabora watataka iwe yao washenzi wale
Kwahio tuwauwe au tufanye kama Hilter alivyowafanya Jews tuwaweke kwenye concentration camps ?

Sababu alternative ni kuwapa haki sawa kama Wakongo wenzao, Je unadhani watu wenye mentality kama yako kwamba wanataka kujitanua na kuiba nchi zote utawakubalia / watawakubalia ?
 
Kwa hio upo tayari kutoa 23% ya Nchi kwa watu wawili?

Assume tu leo waarabu ama wahindi wadai Znz ama Dar ama wairan wadai Kilwa huo mtiti wake utakaotokea hapa,

Hakuna mtu anaekataa watu kudai Haki zao, ila tunajua Fika Kagame na Genge lake wanadai Madini na Sio haki za raia. Kutaka 23% ya nchi igawanywe na viongozi wawe watusi ni demand za kipuuzi.
Jiongeze, unapowasilisha madai yako kudai haki zako kisheria akili ni kuanza na madai ya juu kabisa yanoonkena kama ya kiwendawazimu ili mwisho wa siku upatiwe kile unachostahili. Madai yao ni 23% wakijadiliana wanaweza kuafikiana kwenye 10%. Kama haki yako ni 10% halafu ukadai 10% hiyo hiyo unaweza kujikuta unaishia kupata 5%.
 
Watakufa siku Madini yakiisha, umesoma Analysis ya kiongozi wa Jeshini wa South Africa? Wana latest weapon zilizotumika vita vya Israel na Palestine ambazo Either wamepewa na Usa ama Israel. Niambie Wametoa wapi hizo silaha.

Watu wote wenye akili wanajua ni vita vya Rasilimali na Madini, ndio maana hata kwenye matakwa yao wanataka wao ndio wawe Askari wa Boda, kunakotoroshewa hayo Madini.

Personally ningekua na influence Congo ningepiga ukuta hio boda.
Hivi hapa tunaongelea M23 (ambao kwangu mimi mwisho wa siku wao na vikundi vyote kama hivi inabidi vitokomezwe kwa kushirikiana) au tunaongelea Haki za wakongo waliopo hapo Congo (North Kivu) No matter kama wanaongea Kinyarwanda (Tutsi) au otherwise..., Kwahio kuna alternative mbili (wapewe haki kama raia ya Congo); Je Congo itakubali ?!! Na kama haitakubali what is solution kwa upande wako ?
 
Jiongeze, unapowasilisha madai yako kudai haki zako kisheria akili ni kuanza na madai ya juu kabisa yanoonkena kama ya kiwendawazimu ili mwisho wa siku upatiwe kile unachostahili. Madai yao ni 23% wakijadiliana wanaweza kuafikiana kwenye 10%. Kama haki yako ni 10% halafu ukadai 10% hiyo hiyo unaweza kujikuta unaishia kupata 5%.
Kwanini lakini iwe 10% kwa 0.5 am 1% kwanini 1% ipewe nguvu ya Kuchagua meya na viongozi wengine? Kwanini 1% ipewe nguvu ya kutoa Raisi, kwanini 1% ilinde boda etc, na kwanini sio 99%?

Watu wa Asili wa Kivu ni Batwa, ukitoa wao pia kuna bashi na nande, nikuulize wewe mwana demokrasia feki, kwanini unasuport hawa watu wataliwe na watutsi ambao ni wahamiaji kwenye eneo lao? Kama ni ku gawanya nchi kwanini hawa Indigenous people wasipewe wao eneo lao? Tumeanza lini kushabikia minorities wapewe nguvu kukandamiza majority?
 
Mkuu, mwafrika akili zake anazijua mwenyewe. Sudan walipigana mpaka wakatenga Sudan mbili. Ajabu ile Sudan ya Kusini baada ya kuwa nchi, wakashindwana wao kwa wao na sasa wanapigana.
Mataifa yote duniani nje ya Africa ndivyo yalivyopatikana, sisi wazungu walikuja kuchora mipaka yao wakatuharakisha kuwa mataifa ambayo hayakujitafuta yenyewe ndio sababu ya hizo shida. Sudan Kaskazini ya Waarabu na wenyewe pia wanatandikana sasa hivi.
 
Kwanini lakini iwe 10% kwa 0.5 am 1% kwanini 1% ipewe nguvu ya Kuchagua meya na viongozi wengine? Kwanini 1% ipewe nguvu ya kutoa Raisi, kwanini 1% ilinde boda etc, na kwanini sio 99%?

Watu wa Asili wa Kivu ni Batwa, ukitoa wao pia kuna bashi na nande, nikuulize wewe mwana demokrasia feki, kwanini unasuport hawa watu wataliwe na watutsi ambao ni wahamiaji kwenye eneo lao? Kama ni ku gawanya nchi kwanini hawa Indigenous people wasipewe wao eneo lao? Tumeanza lini kushabikia minorities wapewe nguvu kukandamiza majority?
Ni hivi, Congo haijafanya sensa kwa zaidi miaka 40 sasa kwa hiyo Banyamulenge kuwa laki tano ni porojo tu, halafu kwenye ardhi sio jambo la ajabu wachache wakamiliki ardhi kubwa , duniani kote kwenye tawala za majimbo utakuta kuna majimbo yenye watu wachache wanamiliki ardhi kubwa wakati kuna jamii zenye watu wengi wakiwa na ardhi ndogo.

Hayo mengine ya kutoa rais ni uongo. Kuwa "placed in presidency" haimaanishi watatoa rais. Presidency ni taasisi kwa maana ya Rais, makamu, mawaziri, washauri, wafanyakazi Ikulu na intelligence.
 
Hivi hapa tunaongelea M23 (ambao kwangu mimi mwisho wa siku wao na vikundi vyote kama hivi inabidi vitokomezwe kwa kushirikiana) au tunaongelea Haki za wakongo waliopo hapo Congo (North Kivu) No matter kama wanaongea Kinyarwanda (Tutsi) au otherwise..., Kwahio kuna alternative mbili (wapewe haki kama raia ya Congo); Je Congo itakubali ?!! Na kama haitakubali what is solution kwa upande wako ?
Solution ni ku control hayo Madini, tutazunguka kote ila mwisho wa siku hakuna kinachopiganiwa bali ni Madini, kwa namna yoyote ile kuwe kwa mazungumzo ama hata kijeshi. Yakiwa controlled na kuuzwa kwa haki Automatic hivyo vikundi vitapotea.

Ila kutoa Eneo kwa minority, ambao hata hapo Kivu sio majority ni ujinga, kama lengo ni kuisaidia kivu si kuna makabila makubwa ya Kivu? Kwanini hayo makabila hayatajwi kwenye kugawa keki. Ya kivu ila wanatajwa wa tutsi ambao eneo sio lao?

Haya mambo ndio walitumia Wazungu kuleta Mipasuko Middle East na ndio yanaletwa na huku pia, kuna hatari kubwa mno kuwapa minorities Sehemu na mwisho wake siku zote huleta Genocide.
 
Wamsai Wana demand ya kupewa nusu ama robo ya nchi? Hawana so mfano sio sahihi.
Je na sisi au Kenya tumesema kwamba Wamasai wote sio watanzania wala wakenya na hawaruhusiwi kupiga kura au kuwa na representative yoyote ?

Under the rule of Mobutu Sese Seko, the Banyarwanda were not considered citizens of Congo despite many of them having lived in Kivu since long before Congoan independence, and even colonization. In 1972, they were granted citizenship rights. However, this was rescinded in 1981, though it was never made into law. In practice, they have had no voting rights and no representation. Since the takeover of Congo by Laurent Kabila in May 1997, there has been no formal change of policy. As of 2003, the issue of citizenship for the Bayarwnada has been left to the Transitional Government, created in June of 2003.
 
Ni hivi, Congo haijafanya sensa kwa zaidi miaka ya 40 sasa kwa hiyo Banyamulenge kuwa laki tano ni porojo tu, halafu kwenye ardhi sio jambo la ajabu wachache wakamiliki ardhi kubwa , duniani kote kwenye tawala za majimbo utakuta kuna majimbo yenye watu wachache wanamiliki ardhi kubwa wakati kuna jamii zenye watu wengi wakiwa na ardhi ndogo.

Hayo mengine ya kutoa rais ni uongo.
Kwanini wamiliki eneo la watu? Batwa wapo hapo eneo ni lao, nande wapo, Bashi wapi etc wote population zao ni kubwa zaidi ya mara kumi ya hao wanyarandwA, why wapewe wao uongozi?
 
Kongo unatakiwa kuimarisha jeshi lake,kwenye hayo maeneo wawe na base kubwa ya kijeshi.wanatakiwa wawe na vifaa kama drones vya kumonitor mpaka wao wa mAshariki wajue ni nini kinachoingia kwenye ardhi yao.pia wanatakiwa kuimarisha mfumo wao wa kiintelijensia kwa kuongeza idadi ya watu kwenye idara hizo.na kama wataweza basi wahamishe watu kwenye hayo maeneo
Na hao ndugu zao ambao ni watusi waende wapi ? Wawauwe, wawafukuze au waishi nao kama ndugu (sababu ndicho wanachodai na kutaka baadhi ya hao ambao ni ndugu zao) na hao ndugu wanavyogombana hata sisi majirani wanatuletea kero na sintofahamu. Sababu kusema unalinda mipaka huku unabagua baadhi ya raia wako sidhani kama ni ubinadamu
 
Kwanini wamiliki eneo la watu? Batwa wapo hapo eneo ni lao, nande wapo, Bashi wapi etc wote population zao ni kubwa zaidi ya mara kumi ya hao wanyarandwA, why wapewe wao uongozi?
Ukisema hivyo unamaanisha kwamba wao sio watu au hawana haki kama hao wengine ? Je na hao wengine wanatengwa kwamba sio raia ? Kwenye nchi yao mpya hao wote basi waendelee kuishi kama ndugu pamoja wote kwenye nchi yao, alternatively Congo Kinshasa ianze kuwakubali na kulinda raia wake wote ikiwemo hawa watusi wa Kivu.
 
Je na sisi au Kenya tumesema kwamba Wamasai wote sio watanzania wala wakenya na hawaruhusiwi kupiga kura au kuwa na representative yoyote ?

Under the rule of Mobutu Sese Seko, the Banyarwanda were not considered citizens of Congo despite many of them having lived in Kivu since long before Congoan independence, and even colonization. In 1972, they were granted citizenship rights. However, this was rescinded in 1981, though it was never made into law. In practice, they have had no voting rights and no representation. Since the takeover of Congo by Laurent Kabila in May 1997, there has been no formal change of policy. As of 2003, the issue of citizenship for the Bayarwnada has been left to the Transitional Government, created in June of 2003.
Banyarwanda ni kitu kimoja? Kwa uelewa wangu kutumia Banyarwanda ni kupotosha, kwenye Banyarwanda ndani kuna Ethinicities tofauti na sio kitu kimoja, Banyamulenge ni part ya Banyarwanda ila wapo Against M23 na most of time wanaunga mkono serikali ya Congo. Na issue ya kupiga kura si imesha kua resolved kwenye Katiba mpya Chini ya Kabila?
 
Back
Top Bottom