Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Taasisi zingine pale TPA zinaongeza foleni tu for sure.Kwamba kwa akili yako Taasisi zote za serikali zinazofanya kazi bandarini hazitoshi, Waziri(Mwanasiasa) ndo ataweza? Yan kwamba TPA yenyewe, TASAC, TRA, TBS, TISS, JWATZ, Police, Suma JKT....hawatoshi, Waziri wa Bandari(Tuseme mtu kama Joseph Musukuma, au Lusinde, au Gwajima, au Deo Sanga) ndo wataweza?
No wonder huyu ni mbunge hivyo anashauri akiwaza ikiundwa atateuliwa kuwa waziri ili apate ulaji! inasikitisha sanaWewe ndiye uliyeshauri kuundwa kwa wizara ya machinga?
Hapana. Kuunda wizara ya machinga ni sawa na kuubariki ujinga na umaskini.Wewe ndiye uliyeshauri kwenye mjadala mmoja clubhouse kuundwe wizara ya machinga ili kukabiliana na changamoto za wamachinga nchini!