Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

Hapo CCM au viongozi wake watauchukua, hata wakisema ni mwekezaji toka nje utakuwa uongo ni wao.
 
Kila kukiwa na mchezo, haiwezekani kuweka Askari kuhakikisha hakufanyiki uharibifu vyooni, mlangoni na sehemu wanaokaa watazamaji? Lingewekwa fungu kulinda hizi Mali, hasa kama washabiki hawana busara.
Hali kadhalika kuhudumia sehemu ya uwanja wanapochezea au suala la umeme/maji. Ni mjinga tu asiyejua jinsi ya kuendesha biashara, ndio ataacha chanzo kikubwa cha kipato chake kiathirike ilhali anajua mchezo mmoja tu unaingiza milioni ya pesa. Anashindwa vipi kuweka asilimia kadhaa kuwekeza katika umeme na maji ya uhakika?
 
Wameacha waendeshe kienyeji enyeji ili wapate mianya ya kupiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…