Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa na nguvu za kiume

Joined
Jul 30, 2019
Posts
69
Reaction score
32
Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii
mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko mpaka uishe Utakuja kunishukuru baadae....

Ukifanya hivi mkeo atakuuliza mme wangu umezaliwa upya nini
 
kama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.
 
Hivi tatizo la homoni linatibiwaje au dawa zake nizipi mkuu
 
kama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.
Aje atoe maelekezo vizuri. Labda huo mchanganyiko unatumika siku saba 7 sio siku moja.
 
Hakuna iko kitu wewe unaweza kutumia mayai mwaka mzima lakini tatizo lipo pale pale ,upungufu wa nguvu za kijinsia unatibiwa kutokana na ilivyosababishwa haiwezekani mtu ana matatizo ya DM au stress wew unakazana kumpa mayai tu.
 
Mwanamke haridhishwi kwa nguvu za kiume na dushe imara. Mwanamke anaridhishwa na PESA, MONEY, MIKWANJA , MAPENE na MAHELA. Naposema mahela ni mahela kwelikweli siyo tuhela ambato hatujai hata kwenye vyumba viwili kama zikichenjiwa kwa hela ya misimbazi ya kibongo
 
mkuu nilios3mamayai 7 ya kuku WA kienyeji na haabat sauda vijiko 7 sio kwa siku ...ni Unakula vijiko viwili Asubuhi na viwili jioni mpaka mchanyato wako unapoisha keenye bakuli na huu ni kwa wale WALIO na kisukari, au hormonal imbalances n.k Kwani wale 2enye spinal injuries au nerve damages wanaweza kupata uchunguzi zaidi hospitali lakini hata wakila Hakuna madhara yoyote kiafya Ila ni DAWA inatibu maradhi mengi Sana hasa Hii Mbegu ya habbat sauda au kwa jina LA kigeni (black seeds) ni mti uliotumika kutibu illments nyingi Sana tangu enzi Zach wagreek na Mimi pia Nina kilo zangu Zach black seeds nimeweka hapa ndani natumia Kwani afya. Asante. Ila kama unaina nimekosea Im verry sorry.
 
kama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.

Unahitaji ukae chini nikufundishe mkuu Ila ninauhakika Ansonia Kwani ni wengi nimewaona wakipina hasa inategemea na chanzo cha tatizo hapa nilikuwa nazungumzia wale ambao tatizo lao sio kubwa Sana au wanataka kuimarisha... lakini mayai ni chakula kizuri Sana katika mwili WA binaadamu hasa mayai mabichi na habbat soda au black seeds ni Tiba mujarab Sana kwa afya zetu otherwise kama nimekwenda rong nakubali unisahihishe.
 
mkuu nilios3mamayai 7 ya kuku WA kienyeji na haabat sauda vijiko 7 sio kwa siku ...ni Unakula vijiko viwili Asubuhi na viwili jioni mpaka mchanyato wako unapoisha keenye bakuli na huu ni kwa wale WALIO na kisukari, au hormonal imbalances n.k Kwani wale 2enye spinal injuries au nerve damages wanaweza kupata uchunguzi zaidi hospitali lakini hata wakila Hakuna madhara yoyote kiafya Ila ni DAWA inatibu maradhi mengi Sana hasa Hii Mbegu ya habbat sauda au kwa jina LA kigeni (black seeds) ni mti uliotumika kutibu illments nyingi Sana tangu enzi Zach wagreek na Mimi pia Nina kilo zangu Zach black seeds nimeweka hapa ndani natumia Kwani afya. Asante. Ila kama unaina nimekosea Im verry sorry.
Mkuu kuna kitu watu wahajui tu mfano izo dawa za kubalance homoni huwa na composition ya vyakula ivo ulivimention apo.
 
Back
Top Bottom