jabulani jabulani
Member
- Jul 30, 2019
- 69
- 32
una utan na waimba kaswida eeh?Nasubiri atakaesema tu kitimoto imegundulika inaongeza nguvu za kiume
Hivi tatizo la homoni linatibiwaje au dawa zake nizipi mkuukama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.
Aje atoe maelekezo vizuri. Labda huo mchanganyiko unatumika siku saba 7 sio siku moja.kama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.
Hivi tatizo la homoni linatibiwaje au dawa zake nizipi mkuu
Aje atoe maelekezo vizuri. Labda huo mchanganyiko unatumika siku saba 7 sio siku moja.
No sijafanya vipimoUmeshafanya vipimo hospital ukaambiwa una ilo tatizo?
Dawa huwa hazitolewi bila kujua tatizo
hahahahaha utafanya kitimoto aliwe mpaka mavi yakeNasubiri atakaesema tu kitimoto imegundulika inaongeza nguvu za kiume
kama mtu ana kisukari au spinal injury, msongo wa mawazo, hormonal imbalance, nerves damage kwahiyo akitumia mayai na habbat soda ndio anapona?
Ebu kuweni serious jamani acheni story za vijiweni.
Kiafya kwa siku mtu anatakiwa atumie mayai 2 au 3 akizidisha zaidi ya hapo ni tatizo sasa unataka mtu ale mayai 7 kweli???
Kama unajijua una tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia nenda hospital ukafanyiwe vipimo vyote, usianze kufakamia madawa ovyo ovyo.
Mkuu kuna kitu watu wahajui tu mfano izo dawa za kubalance homoni huwa na composition ya vyakula ivo ulivimention apo.mkuu nilios3mamayai 7 ya kuku WA kienyeji na haabat sauda vijiko 7 sio kwa siku ...ni Unakula vijiko viwili Asubuhi na viwili jioni mpaka mchanyato wako unapoisha keenye bakuli na huu ni kwa wale WALIO na kisukari, au hormonal imbalances n.k Kwani wale 2enye spinal injuries au nerve damages wanaweza kupata uchunguzi zaidi hospitali lakini hata wakila Hakuna madhara yoyote kiafya Ila ni DAWA inatibu maradhi mengi Sana hasa Hii Mbegu ya habbat sauda au kwa jina LA kigeni (black seeds) ni mti uliotumika kutibu illments nyingi Sana tangu enzi Zach wagreek na Mimi pia Nina kilo zangu Zach black seeds nimeweka hapa ndani natumia Kwani afya. Asante. Ila kama unaina nimekosea Im verry sorry.
kitimoto mbona gharama. igundulike hata mchichaNasubiri atakaesema tu kitimoto imegundulika inaongeza nguvu za kiume