Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Punguza hisia kali, jitahidi kucontrol hisia zako ili usimalize haraka hakikisha unamfikisha mlengwa kitonga.
Ukisikia zinakuja waza mavitu mabaya mabaya zinarudi hlf unaanza upya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lalahe!
 
Jjamani vidume wenzangu naomba mnisaidie ni nini tatizo la kuwahi kumaliza fasta kwenye game. Je ni usongo anaokuwa nao mtu ama nini?
Punguza kiherehere maana hii pia ni KAZI..cha muhimu muandae au Kama unaweza Mpe doz y kumpetpet ad agoo kimoja cha fasta alaf nipm
 
Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?

My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
 
Wewe ni he/she??
Una umri gani??

Tuanzie hapo kwanza...
 
Hutegemea unachukua dk ngapi unaweza kupiga moja ila for a very long time kama dk 40 hivi. mm nadhani mapenzi sio kupiga bao nyingi ndy kumfikisha mwenza rahasha...! Mapenzi ni maandalizi tu sio kukurupuka take it from me......!!!
 
Utakua na stress za kukatwa 15% za loan board wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…