Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,962
- Thread starter
- #61
Hahahahahahaaa.. inhiinhiinhiiiiiiiiii... aisee mkuu BAK you made my day.... wanasuka nini bhana? hahahahahahaaaa
Nashukuru mkuu kutukumbusha juu ya USAFI, USAFI wa mwili na kinywa specifiacally. Kwa wale wanaokunywa pia juu ya kuwa na KIASI. sigara umemaliza yote mkuu watu tu wafunguke waone hatari ilio mbele yao.
Nikiwa kwa mkoloni mmoja hivi, akaja mtaalamu wa kikenya kwa training, ni mvutaji sana wa sigara tukawa tumezoeana kiasi.. nikamuuliza tu ''you seem to enjoy smoking very much, are you not worried of your health may be?'' ...... ''Wewe wachanganga muneno yako, nimekuwanga navuta hii maneno kwa thirty three years now? First how old are you?'' khaaaa!!! Japo ukimuangalia unaona alivyodhoofu na kila saa anavyokohoa kohoa lakini bado anajivunia uzoefu kwa kuwa ameona yupo kawaida.... so kuna wengine mkuu kwa kuwa bado hawajapata madhara makubwa bado wataona you aint making sense on smoking.. lakini ni hatarii hii kitu.
Pia hii kula kula hovyo na kunenepeana hovyo ni chngamoto sana... nina jamaa yangu mmoja alikua mnene kuliko Komba wa ToT at mid 20's... tumepambana nae lakini wapi... mwaka jana kaenda club mwisho wa mwaka (Arusha uko) kacheza cheza mziki hapa na pale hali imembadilikia ghafla mara presha, tukampoteza jamaa yetu hivi hivi masikini, very painful.. (Mungu azidi kumrehemu huko aliko).
Tuamkeni wakuu!!!

Mie naomba nisisitizie kula vizuri, kufanya mazoezi, usafi wa mwanaume na kujiepusha na uvutaji sigara na ulevi wa kupindukia. Kama walivyozungumzia wachangiaji wengine kula vizuri na mazoezi ni muhimu sana katika kuboresha tendo la ndoa. Usafi wa mwanaume nao ni muhimu sana sio unaacha vuzi limekaa miaka chungu nzima hata kuweza kulisuka rasta. Kuoga na usafi wa kinywa ni mgogoro, hivi havifanywi mpaka siku ya sikukuu. Ulevi wa kupindukia na uvutaji wa sigara ni adui mkubwa wa nguvu za kiume na wanaume wengi sijui kama wanalijua hili na kwa kutaka waonekane na wao ni wa MUJINI huvuta sigara pakiti hata moja kwa siku au zaidi na kilevi cha kutosha bila kujua hii life style inawapunguzia kwa kiasi kikubwa na kasi ya kutisha nguvu zao za kiume.