Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Tatizo la nguvu za kiume linasababishwa ma mambo mengi kadiri binadamu wanavyotofautiana, baadhi husababishwa na matatizo ya muda mfupi kimawazo na wengine kimwili, na kwa wengine ni matatizo ya kuzaliwa nayo na jinsi miili yao ilivyoumbika.
Binafsi mimi sio mlaji wa vyakula sana wala sifanyi mazoezi ila huwa naamua nimalize au nisubiri mpaka mwanamke afike. Akisema bado naendelea bila kufika mshindo. Pia inategemea nafanya tendo na aina gani ya mwanamke; akinivutia sana huwa nawahi au tunamaliza wote na akiwa hana mvuto sana hasa usafi naweza kuchukua hata masaa mawili bila kumaliza.
 
huu uzi watu wakiusoma na kufuata elimu iliyopo huku wanaweza kupiga hatua katika maswala ya mapenzi purposely kufanya tendo la ndoa..
tuacheni kujidanganya kwamba hatuwezi..
tuache kuwaamini hawa madaktari wa siku hizi kwamba watkurudishia nguvu zako za kiume.. (hawa ndo huwa wanawapoteza watu zaidi na kuwaongezea hofu kitu ambacho ni kibaya, sana since most of these doctors wanatoa dalili ambazo kwa vyovyote vile mtu yyt lazima ujione umepungukiwa)
if seriously umepungukiwa waweza kujaribu hayo madawa yao...
tufuate maelekezo tunayoyadiscuss.. tusiwe wa kulalamika tu wakt ushauri hatuufuati...
hatufanyi mazoezi..
hatuli vyakula vya asili (mtu hata kula nyama za kuchemsha tu anaona michemsho ni kwa ajili ya watu masikini) kumbe tunajichinja wenyewe

TUACHE LAWAMA TUCHUKUE HATUA..
 
Uangaliaji wa pornography pia una madhara makubwa katika performance ya mwanaume on bed....mara nyingi inaathiri saikolojia ya kujiona,kwamba maumbile yako hayatoshi....au kudhani,na kuiga performance ya kwenye pono ndio uhalisia.....mazoezi...vyakula...maandalizi na,mengine mengi ...kiufupi matatizo ya nguvu za kiume asilimia kubwa ni ya kisaikolojia
 
Kabisa kaka. Madaktari wengi siku hizi wanatumia uoga na ujinga wetu kujitajirisha kirahisi sana.

Umenifurahisha kwenye michemsho.. Michemsho ndio dili kaka sema wengi tu hawajui au hawaipendi. vitu vya kukaangaangiza kaangiza na mafuta mafuta sio vyakula vya kuzoea. Michemsho, choma choma, na nafaka asilia (hazijakobolewa) ndio vyenyewe kwa wanaume

huu uzi watu wakiusoma na kufuata elimu iliyopo huku wanaweza kupiga hatua katika maswala ya mapenzi purposely kufanya tendo la ndoa..
tuacheni kujidanganya kwamba hatuwezi..
tuache kuwaamini hawa madaktari wa siku hizi kwamba watkurudishia nguvu zako za kiume.. (hawa ndo huwa wanawapoteza watu zaidi na kuwaongezea hofu kitu ambacho ni kibaya, sana since most of these doctors wanatoa dalili ambazo kwa vyovyote vile mtu yyt lazima ujione umepungukiwa)
if seriously umepungukiwa waweza kujaribu hayo madawa yao...
tufuate maelekezo tunayoyadiscuss.. tusiwe wa kulalamika tu wakt ushauri hatuufuati...
hatufanyi mazoezi..
hatuli vyakula vya asili (mtu hata kula nyama za kuchemsha tu anaona michemsho ni kwa ajili ya watu masikini) kumbe tunajichinja wenyewe

TUACHE LAWAMA TUCHUKUE HATUA..
 
Hii nayo ni njia kubwa sana kaka, maana watu wanataka kuleta hayo maigizo kwenye uhalisia, na wakishindwa ndio tabu inaanzia apo na konfo linapotea pole pole!
Uangaliaji wa pornography pia una madhara makubwa katika performance ya mwanaume on bed....mara nyingi inaathiri saikolojia ya kujiona,kwamba maumbile yako hayatoshi....au kudhani,na kuiga performance ya kwenye pono ndio uhalisia.....mazoezi...vyakula...maandalizi na,mengine mengi ...kiufupi matatizo ya nguvu za kiume asilimia kubwa ni ya kisaikolojia
 
Haya ngoja nichangie kidogo,ila mambo mengi karibu yote mkuu Tized na Watu 8 wamemaliza.

Kuna jambo dogo sana lakini wengi wanalipuuzia na linawaathiri wanaume wengi bila kujua nalo ni maneno ya vijiweni,kumekuwa na maneno mengi kwamba mwanaume aliyekamilika lazima aende sijui raundi 3 na kuendelea,mara aliyekamilika lazima awe na inch 6,mara sijui style hii mwanaume akifanya lazima mwanamke akuheshimu.

Sasa basi mwanaume anapokutana na mwanamke kimwili anakuwa na matarajio meng kichwani pake kutokana na yale maneno ya vijiweni alosikia anaposhindwa kutimiliza hayo huanza kujiona yeye hafai au labda ana tatizo,hofu hujengeka moyoni mwake tayar hapo ndo mwanzo wa tatizo,hana ujasiri anapokutana na mpenzi wake unakuta hata mshindo mmoja tu inakuwa tabu sana.

La muhimu kila mmoja ajielewe ana uwezo gani,wote hatujaumbwa kulingana,kama wewe uwezo wako ni kimoja kisha ndo upite muda ndo uendelee kubali hali yako boresha hiyo hali yako na mtu wako naye afurahi,yaweza kuwa single but heavy,kama wewe sijui inch 4 jikubali ulivyo boresha hali yako utaona mambo ni mazuri,jua style unazozimudu usisikie maneno ya mtaani,wote hatulingani kuna anayekimbia mita 100,200,400 na wengine marathon lakini siye wote ni wanariadha,kila mmoja aridhike na uumbaji aliopewa aboreshe mazingira yake atafurahia maisha.

Lingine la mwisho naona hapa mmekazia swala la usafi kwa mwanamke ni kweli kabisa ke anahusika sana,ila hata nyie baadhi yenu me ni wavivu sana kuoga,unakuta mwanaume katoka kwenye shughuli zake za mchana kutwa anafikia kukutana na mwanamke hata haogi moja kwa moja kwenye makamuzi,mwili hujapata hata refreshment hapo game likiwa mbaya anajiona mpungufu kumbe tu hajaruhusu mwili nao upate ahueni.

asante sana kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa.. basi bwana madogo wameshajifunza hao kaka. hawakombi tena.... hahahahhaha

Mkuu nakushukuru kwa niaba ya wengi kwa ufafanuzi wako yakinifu na ulioenda shule. Asante sana. Binafsi hii habari ya kupoteza protein na madini zinc ilikuaga haijakaa sawa, nimejifunza kitu kipya. Asante sana.

NB: Upotevu wa hivyo vitu kwa wingi ni nini madhara yake kwa sasa na kwa baadae mkuu? Asante sana mkuu 1st AID

Mkuu Tized nikushukuru kwa kuendelea kuufanya uzi huu maridhawa kuwa hai, ni jambo zuri hasa ukiangalia unyeti wake.

Umetaka kujua nini athari za kufikia mshindo kwa mara nyingi, hasa tukilenga wale wenzetu ambao wamekua na mahusiano yasiyo rasmi kwa idadi ya KE na kwa idadi kubwa ya magoli.
Kwanza niseme manii kwa kiasi kikubwa ni maji na kuna protien kidogo na madini ya zinc pamoja na magnesium.

Inaelezwa na watafiti kwamba kila mshindo 1 hupoteza mg 5 za ZMA (zinc+magnesium), ZMA huengeza homoni ya testosterone ambayo hutusaidia katika kupata usingizi mzuri na kuzuia Metabolic Syndrome and heart disease. Hapa kama nilivyo sema awali nimewalenga watu ambao hutupia nyavu tatu ndani ya masaa yasiyo pungua 24.

Somo hili ni pana na zuri nini kifanyike walau wasije kumbwa na madhara tunarudi kwenye aina ya vyakula kuna ulaji wa mihogo mibichi karanga mbichi na asali mbichi katika hivi tunacho jaribu kuongeza ni ZMA pia kuna shellfish kama oyster au pweza ambao huongeza sana ZMA na kuchochea msukumo wa damu. Tukizingatia hili na mengine mengi yaliyo semwa basi tutaongeza ufanisi. Tukumbuke kila kitu ni kwa kipimo sahihi ndio tunapata ubora wa kilichokusudiwa.
Execessive than required is illegal.

Ushauri wangu tusome vitabu na tutumie utandawazi kuongeza maarifa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kweli wewe ni 1st AID kwa maana yake. Nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako yakinifu Mkuu, Umetoa elimu ya maana sana apa, Haina budi kila asomaye atendee kazi haya uliyasema na kuendelea kujifunza zaidi na zaidi.

Tunakushukuru sana mkuu @1 Aid. Nikirudi kwenye hio habari ya 3 in 24, Are there recommended intervals per week/month au inategemea na afya/ ulaji wa mhusika especially kwa wanandoa? (tendo kwa afya na starehe)

Mkuu Tized nikushukuru kwa kuendelea kuufanya uzi huu maridhawa kuwa hai, ni jambo zuri hasa ukiangalia unyeti wake.

Umetaka kujua nini athari za kufikia mshindo kwa mara nyingi, hasa tukilenga wale wenzetu ambao wamekua na mahusiano yasiyo rasmi kwa idadi ya KE na kwa idadi kubwa ya magoli.
Kwanza niseme manii kwa kiasi kikubwa ni maji na kuna protien kidogo na madini ya zinc pamoja na magnesium.

Inaelezwa na watafiti kwamba kila mshindo 1 hupoteza mg 5 za ZMA (zinc+magnesium), ZMA huengeza homoni ya testosterone ambayo hutusaidia katika kupata usingizi mzuri na kuzuia Metabolic Syndrome and heart disease. Hapa kama nilivyo sema awali nimewalenga watu ambao hutupia nyavu tatu ndani ya masaa yasiyo pungua 24.

Somo hili ni pana na zuri nini kifanyike walau wasije kumbwa na madhara tunarudi kwenye aina ya vyakula kuna ulaji wa mihogo mibichi karanga mbichi na asali mbichi katika hivi tunacho jaribu kuongeza ni ZMA pia kuna shellfish kama oyster au pweza ambao huongeza sana ZMA na kuchochea msukumo wa damu. Tukizingatia hili na mengine mengi yaliyo semwa basi tutaongeza ufanisi. Tukumbuke kila kitu ni kwa kipimo sahihi ndio tunapata ubora wa kilichokusudiwa.
Execessive than required is illegal.

Ushauri wangu tusome vitabu na tutumie utandawazi kuongeza maarifa.
 
Kuwahi (au kuchelewa) kufika

Nilishaandika kwenye threads nyingine kuwa kuwahi kufika inaweza kuwa na faida zaidi kuliko kuchelewa kufika. Kwa nini? Kwa sababu mwanaume anaweza kuji-control na hivyo kutofika mapema lakini ni vigumu kujilazimisha kufika mapema. Of course, kuwahi au kuchelewa kufika kuna faida na hasara zake kulingana na wahusika, madhumuni ya kungonoka, nk.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa baadhi ya wanaume wanaochukuwa muda mrefu kufika kileleni huwa wanapata shida kumpa mwanamke ujauzito.
Tofauti na kuwahi kufika, kuchelewa kufika ni ngumu kutibika kulingana na sababu zilizosababisha tatizo hizo. Kuchelewa kufika kunaweza kusababishwa na vitu mbalimbali kama ilivyo kuwahi kufika. Mojawapo ni stress, anxiety na kutokuwa na sexual confidence pale mwanaume anapokutana na mwanamke. Pia inadaiwa kuwa malezi yanachangia kwa kiasi fulani hasa kama mwanamume alikuwa na makuzi ya "geti kali". Kuna wanaume wengine wana "controlling personalities" siyo tuu kwenye maisha ya kawaida bali pia kwenye kungonoka.

Baadhi ya wanaume wanaochelewa kufika wanaweza kuwa pia na tatizo la kutoonyesha emotions na kujiachia aka "letting it go" wanapokuwa kwenye 6X6. Sababu nyingine ni kuogopa kumpa mwanamke ujauzito, kuwa na hisia kuwa kikokojoleo cha mwanamke ni kichafu, kulelewa katika maisha yanayofuata dini au utamaduni wa aina fulani, ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya, majereha ya ndani kwenye kwenye spinal cordial au kuonyesha dalili za mwanzo kabisa za ushoga.

Kama bado ni kijana unaweza usione kuchelewa kufika kama ni tatizo. In fact, unaweza kuwa maarufu sana kwa wadada wa mujini. Akina dada watafurahia ile mbaya kwa mwanaume kuchukua masaa mawili hadi matatu kufika kileleni huku wao wakiwa tayari wameshafika na kurudi mara sita na nusu! Tatizo linakuja pale mwanaume anapokuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na ya kudumu na mwanamke halafu ukute anataka mtoto. Weeeeeeee!!!

Wapo baadhi ya wanawake ambao hawawezi kuhimili kwa muda wote huo maana wote mnaweza kuishia kuchubuka na kuwa frustrated. Mwanamke atajisikia mnyonge, kudharauliwa kisa mwanaume kuchukuwa masaa kufika aendako.
Pia wapo baadhi ya wanawake ambao mwanaume akichelewa sana kufika wanakuwa na wasiwasi sana kama kweli anampenda na akiwahi kufika hasa wanapongonoka kwa mara ya kwanza wanaamini kuwa wamemfikisha mwanaume mpaka ameshindwa kuji-control na kufika aendako fasta. Lakini ikiwa too much inaweza kuwa ni tatizo.

Mwanaume anaweza kuachwa na mwanamke kwa kuchelewa sana kufika na kutaka kuwa na mwanaume who can "come". Kuna baadhi ya watu huwa wanahusisha tatizo tatizo la kuchelewa kufika na umri kwenda mbele lakini ikumbukwe kuwa kwa kawaida wahusika huwa wanaanza kutafuta msaada wa kitaalam wakati wakitaka kupata mtoto kwa udi na uvumba.

Ukipima kati ya kufika mapema na kuchelewa sana kufika ni heri kuwahi kufika, kwa sababu tatizo la kuchelewa kufika linaweza kutibika au mwanaume anaweza kutumia njia nyinge ili mwanamke afike kwanza na yeye kumalizia. Wanaume wanaofika mapema wanaweza kutumia ulimi na vidole vyao. Ulimi ni mgumu sana kuliko mfupa na lazima utamfanya mwanamke afike kabla au hata zaidi yako. Wanasema "a tongue is hard than a double-edged sword". Ulimi ndiyo msuli pekee kwenye mwili unaofanya kazi kupita hata moyo na hata vikojoleo vikiunganishwa pamoja.

Bahati mbaya hakuna matibabu au njia mbadala ya mwanaume anayechelewa kufika. Inadaiwa kuwa hakuna dawa ambayo inaweza kumfanya mwanaume anayechelewa kufika mapema. Madhara ya kuchelewa kufika yanaweza kuwa makubwa na painful kuliko hata yale ya kuwahi kufika.

Kuna mdau mmoja alieleza hapa JF tatizo lake la kuchelewa kufika na jinsi lilivyokuwa linamletea shida kila anapokutana na mwanamke. Kwa maelezo yake inaonekana lilikuwa ni tatizo kubwa sana kwake kuliko hata wale wanaoanzisha threads wakilalamika kuwahi kufika.Kwa hiyo, wale wanaodhani kuwa kufika kileleni mpema ni tatizo, pia kuchelewa kufika nako ni tatizo tena ambalo linaweza lisiwe na tiba.

Back
Top Bottom