Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Mkuu 1st AID nashukuru nimejifunza mengi mno kuliko ambavo nilifikiri wakati naandika huu uzi. nimefunguka pia kuhusu hizo siku tano kabla ya ovulation, ni kitu kipya kabisa kwangu mkuu. thanks

Tunakushukuru sana mkuu kwa kujitoa kwako.

Mkuu tafadhali hapo kwenye bold n red, tusaidie tafadhali yaliyomo apo kwa msaada zaidi kwenye ishu ya HAMU ya TENDO.
Tunatanguliza shukrani kaka.

Mkuu Tized ...naomba nikushukuru sana kwa kuipokea michango ya watu kwa uzito wake.
Niliposema unaweza pata athari kwa kufikia mshindo mara tatu au zaidi ndani ya masaa 24 nikusudia upoteaji wa ZMA kwa wingi na hivyo kuleta madhara katika mfumo mwili kama nilivyo elezea hapo juu.

Sasa turudi kwenye kiini, swali je nitawezaje kula tunda na nisiathirike kiafya ....yaani mara ngapi kwa siku, wiki au mwezi? Na ipi ni idadi isiyo na madhara kwenye kula tunda?. Kwanza naomba niweke sawa hapa kwamba ulaji huu unamaana zaidi ya kupata watoto (naongelea walio na mahusiano rasmi) kupiga papuchi kuna unganisha wenza na kunaondoa msongo wa mawazo.

Je nitapata athari gani kupiga match nyingi zaidi, kwanza kama unasaka mwana tunashauriwa kula papuchi mara kadhaa kabla ya mama kufikia upevushaji. Hii inasemwa kwa kufanya hivyo ubora wa mbege katika manii huboreka na hivyo chance ya mama kunasa mimba ni kubwa (kumbe manii zikikaa muda mrefu kwenye korodani huathirika). Lini hasa kama nasaka mtoto siku sahihi? Siku tano kabla ukianza mpaka siku ya upevushaji ni jambo sahihi ingawa idadi ya mbegu itapungua na maji kuongezeka katika manii (manii kuwa epesi) .......angalizo hii haithiri ubora wa mimba.

Uwezo wa ulaji unategemea na mtu na mtu, ingawa tafiti huonyesha wanandoa hucheza mechi 112 kwa mwaka sawa na mara mbili kwa wiki, lakini hii inategemeana na umri. Katika hili swali taasisi ya Kinsey imejibu As just one example, 18-29 year olds have sex an average 112 times per year, 30-39 year olds an average of 86 times per year, and 40-49year olds an average of 69 times per year. Still, averages mean that there are some people above and some people below given number. Averages don’t help decide the question of what is right for an individual person.

Tuangalie ukifanya ngono sana nini pia athari zake, hii iko wazi umri unaongea kama utakuwa umesoma vizuri kwamba kadri unavyo kuwa vipaumbele vinabadilika. Stress zinaweza kupungua na kuna wakati walio na umri mkubwa sana hukutana mara moja tu kwa mwaka ua hakuna kabisa.

Kama nilivyo sema awali somo hili ni pana, kuna msawala mengi mfano kwanini mtu hupoteza hamu ya tendo la ndoa na hii ni tofauti na uwezo wa uume kusimama, na tumejikuta tunahangaikia uume kumbe tatizo ni hamu. Somo ni pana na litaendelea kuza mjadala ila ili tusitoke nje ya maudhui ya uzi naomba niishie hapa.
 
Karibu sana Mkuu Mokoyo... natumai shemeji yangu ICHANA anafurahia maisha biyebiye!!!

Mawazo yako ni muhimu sana mkuu kama unachakuongeza karibu sana kaka.

Mkuu Tized asante sana kwa hii mada nimejifunza mengi...nafurahia maisha kwa Mokoyo.he know wat i need.

hii mda ni ndefu na mengi wadau wameshasema
watu wengi tumekuwa WATUMWA wa maneno ya watu..kwanza tujikubali wenyewe kuwa wenye vibamia emolo or mguu wa mtoto wote ni saawa kwenye tendo la ndoa na wanauwezo wa kumfikish mtu kilelen

huu utamaduni wa coppy n paste eti wmwanaume lijali lazima agonge goli sijui tatu or saba achan nazo..tunatakiwa tuangalie SATISFACTION...Mapenzi ni utundu wa kujua mwenzio anatka nni na sio kukariri eti lazima umshike hapa kila siku na nimp three goals nani kakuambia magoli ndo kumtosheleza..watu wanapiga one shout heavy na mtu anakuwa ameridhika wengine saba watu wanaishia kuchubuka tu,.msome mwenzio anataka goli ngapi kwa muda gan...anapenda uunganishe two in one or vipi.MFANNYE MPENZIO RAFIKI

kuna jambo dogo ila lina maana sana baada ya tendo kuzungumza kwa upole na kushukuru..mpe pongezi kama kakukuna palipo.hasa wasichana sie tunapenda hyo,.human being unapompa sifa unamwongezea confidence zaid...kuna watu wakializa hawaongei na wala hajui mwenzie anapenda style ipi

usafi wa mwili na eneo husika huongeza hamu ya tendo.watu tujiswafi hasa wanawake ili kuleta raha kweye tendo ..kitanda...na nguo pia

suala la MUDA hasa kwa ambao hawako kwenye ndoa una mihadi na mwenzio be on time sio mwenzio anafika wewe uanampa sound or nakuja mara folen mara niikuwa na kazi unakuwa tayari ushamwndolea mwenzio hamu na hta kam unaona upo far to excuse mapema...tujitahid kutumia sweet word kwa maana mwanaume most of tyme yupo ready kwa sex ila mwanamke mwandae kiakili may be by chating pia akifika eneo husika msiwe na papara kuku wako manati ya nni..mwandae kimwili hadi unone dalili zote za yey kuwa na utayari

kauli zetu nazo zinachangia watu kutokufika kileleni.mwanaume anahitaji utulivu wa kiakili kauli za madharau tuache jaman.ulimi mwenye sukari na saut hutoa nyoka pangoni.lazima mtu ajiachie na awe huru ili aweze kufika kilele
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa... my dear everlenk uwanja wenu, Karibuni sana wapendwa wetu. Itakua ni faraja sana kuona mtu mmoja mahali anasidika kwa namna moja au nyingine.

Michango ya mawazo yenu wenu ni ya thamani na sana, Tafadahli karibuni na wadada wenzio . Most welcomed!!!!!
Many Thanks
cc Fixed Point, miss chagga, ICHANA, miss neddy, mwallu, Heaven on Earth, Karucee, @Howty Lady, Kongosho, lara 1 na wengineo wote
binafsi naamini tendo la ndoa linahitajika akili iwe imetulia na kutengenezewa mazingira mazuri na tulivu..kunapokua na mvurugano wa akili hata tendo nalo linakua halina raha ila mnapokua mmetulia wote na kujijenga kiakili lazima tu mambo yawe safi unless otherwise kuwepo na tatizo la kiafya..
 
Ukiona kama gemu inakataa ndani jaribu mara moja out upime kama inatokana na kuzoeana au charge kweli majanga.
 
Best yangu umechelewa wapi na mapoint yote haya!!!! Mokoyo usimbane ivo bhana... hahahahaaaa.

Asante kwa mchango wako, umetukumbusha vitu muhimu sana ambavyo tulikua hatujaviangalia mwanzoni. ie kujikubali, shukrani, kujali ahadi na wakati etc.

You are a little tigger.. aren't you?
Mkuu Tized asante sana kwa hii mada nimejifunza mengi...nafurahia maisha kwa Mokoyo.he know wat i need.

hii mda ni ndefu na mengi wadau wameshasema
watu wengi tumekuwa WATUMWA wa maneno ya watu..kwanza tujikubali wenyewe kuwa wenye vibamia emolo or mguu wa mtoto wote ni saawa kwenye tendo la ndoa na wanauwezo wa kumfikish mtu kilelen

huu utamaduni wa coppy n paste eti wmwanaume lijali lazima agonge goli sijui tatu or saba achan nazo..tunatakiwa tuangalie SATISFACTION...Mapenzi ni utundu wa kujua mwenzio anatka nni na sio kukariri eti lazima umshike hapa kila siku na nimp three goals nani kakuambia magoli ndo kumtosheleza..watu wanapiga one shout heavy na mtu anakuwa ameridhika wengine saba watu wanaishia kuchubuka tu,.msome mwenzio anataka goli ngapi kwa muda gan...anapenda uunganishe two in one or vipi.MFANNYE MPENZIO RAFIKI

kuna jambo dogo ila lina maana sana baada ya tendo kuzungumza kwa upole na kushukuru..mpe pongezi kama kakukuna palipo.hasa wasichana sie tunapenda hyo,.human being unapompa sifa unamwongezea confidence zaid...kuna watu wakializa hawaongei na wala hajui mwenzie anapenda style ipi

usafi wa mwili na eneo husika huongeza hamu ya tendo.watu tujiswafi hasa wanawake ili kuleta raha kweye tendo ..kitanda...na nguo pia

suala la MUDA hasa kwa ambao hawako kwenye ndoa una mihadi na mwenzio be on time sio mwenzio anafika wewe uanampa sound or nakuja mara folen mara niikuwa na kazi unakuwa tayari ushamwndolea mwenzio hamu na hta kam unaona upo far to excuse mapema...tujitahid kutumia sweet word kwa maana mwanaume most of tyme yupo ready kwa sex ila mwanamke mwandae kiakili may be by chating pia akifika eneo husika msiwe na papara kuku wako manati ya nni..mwandae kimwili hadi unone dalili zote za yey kuwa na utayari

kauli zetu nazo zinachangia watu kutokufika kileleni.mwanaume anahitaji utulivu wa kiakili kauli za madharau tuache jaman.ulimi mwenye sukari na saut hutoa nyoka pangoni.lazima mtu ajiachie na awe huru ili aweze kufika kilele
 
Last edited by a moderator:
Thanks Jawilat, nakubaliana na wewe dadaangu.

Ishu ipo kwenye kutambua hamjatulia na kutafuta kutulia. maana wengi wanaanza lawama na tuhuma kabla ya tafakari yakinifu. kama ni mume ndio ataambiwa ana vimada ndio maana kiwango kinashuka au sijui nini nini... akishatuhumiwa hivyo ndio even tatizo linaongezeka zaidi na zaidi na mtu kweli anaweza enda kuchepuka (kutegemea na akili ya mtu mwenyewe)

Tuhuma ni mbaya sana kwa kweli... Tujitahidi kudadisi na kuzungumza juu ya yanayowasibu wenzetu ili tuweze kujiweka vizuri kiakili kama alivyoshauru Jawilat... labda kuna ishu inayomsumbua kazini, kwenye familia, kwenye biashara etc, you never know.

binafsi naamini tendo la ndoa linahitajika akili iwe imetulia na kutengenezewa mazingira mazuri na tulivu..kunapokua na mvurugano wa akili hata tendo nalo linakua halina raha ila mnapokua mmetulia wote na kujijenga kiakili lazima tu mambo yawe safi unless otherwise kuwepo na tatizo la kiafya..
 
Last edited by a moderator:
Mku nadhani apa utakuwa unajitafutia matatizo zaidi.... pia mtu anakuwa hajatumia vizuri resources zake katika kufikiri na kuamua. Kwa sababu lazima mtu ujijue. pia ujue ulikotoka, ulipo na unakoelekea.. huhitaji kuchepuka ujue ulipo, tafakari yako mwenyewe inatosha kukuonesha yote hayo mkubwa.
Ukiona kama gemu inakataa ndani jaribu mara moja out upime kama inatokana na kuzoeana au charge kweli majanga.
 
Nilijua tu as usual watu watasema mazoezi na kula vizuri..but hawajiulizi mbona wapo watu wanafanya mazoezi but hawa gain chochote?

true true mkuu , kuna watu labda wamezaliwa na afya zao....... hawazingatii hizo hapo lakini wanapeleka mashine hatari kabisa.
japo nakiri kuwa afya ya Mwili na Akili vinahusika sana kwenye haya mambo.
 
Mkuu unafikiri strength ya hawa wadau inatokana na nini mkuu? kwa sababu kuna wengine kazi zao za kila siku au pilika pilika zao ndio mazoezi yao.

Hebu tuangalie hawa wadau ambao anaamka asubuhi -garini, kazini, garini, nymbani,garini, bia mbili tatu garini-kulala.. day in day out....weekends bata kwa wingi n.k.... mtu kama huyu ambaye yuko vizuri sana kwenye hio sector unafikiri nini kinachangia mkuu? (just for learning)

Tized ukweli ni kwamba nilishawahi kuweka uzi hapa kuzungumzia jambo hilo wakati fulani.
Mtindo wa maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula, kujipweteka bila kufanya mazoezi kuiga mikanda ya porn wakati yale ni maigizo tu, na kutumia madawa makali ya hospitali bila kuwa muangalifu. nina maana kwamba Tusiwaamini sana wataalamu wetu wa afya kwani sekta ya afya imevamiwa na wafanyabiashara ambao kwao wanachojali ni fedha kwa hiyo kuandikiwa madawa makali bila kujali afya ya mtumiaji ni jambo la kawaida. Madawa makali yana mchango mkubwa katika kuathiri afya zetu na huwezi kufanya tendo kwa ufanisi kama afya yako ina mgogoro.

Binafsi nachagua vyakula, nafanya mazoezi ya kawaida, ya kutembea kilomita tano kila siku za kazi, natumia tiba mbadala, yaani isiyohusisha madawa ya hospitali na kama nitalazimika kutumia madawa ya hospitali, basi nitahakikisha nimefanya udadisi kwa wataalamu Zaidi ya wawili ili kuwa na uhakika sitaudhuru mwili wangu, SICHEPUKI, lakini pia tendo la ndoa mimi na mama ngina tunalifanya kama sehemu ya burudani na siyo la upande mmoja............

Asprin hujaalikwa pitia mbali hii maneno............

mkuu Mtambuzi kwa hii post yako naomba niseme kwamba hapa umepotoka na huu upotoshaji wako unajaribu kuutapakaza kwa watu wengine.
Ni kweli kuna Magonjwa ya mwili ambayo yanapunguza ufanisi katika tendo la ndoa (kwa mfano kisukari , shinikizo la damu, kansa mbalimbali n.k).
Na ni kweli kunabaadhi ya Madawa hushusha libido za watumiaji (kwa mfano Tricyclic antidepressants ,Proscar,Antihistamines n.k) ila kusema kiujumla jumla kuwa watu watilie mkazo tiba mbadala na kuacha kuwaamini sana wataalamu wa Afya ni hatari sana kwa afya za Wagonjwa.

Nalizungumza hili kwa experience za baadhi ya wagonjwa waliozidiwa sana na kufikia hatua za mwisho za magonjwa mara tu walipoacha kutumia matibabu yao ya hospitali kwa upotoshaji kama huu wako ulioutoa hapa.( samahani kama natumia maneno makali)

Tiba nyingi mbadala za sasa hivi ndiyo zimejaa sana upotoshaji na utapeli , kuna siku namsikia bwana mmoja kwenye TV kipindi chake anasema ukitumia dawa yake basi hata presha yako ikipanda mpaka 200 haitaweza kudhuru mifumo ya mwili au hata sukari yako mwilini ipande mpaka 30 haiwezi kuleta madhara mwilini na akajitolea mfano kuwa toka aanza kutumia yeye hiyo dawa sukari yake haijawahi kushuka chini ya 16 na hajawahi kupata madhara.(kwa hiyo mifano miwili , huo ni upotoshaji dhahiri kwani kitaalamu madhara ya sukari ni ya miaka mingi na hata hilo shinikizo la damu ambalo halijadhibitiwa vizuri linakuwa na madhara huko mbeleni ikiwemo uwezekano wa mtu kupata kiharusi)...... wewe google to effects of uncontrolled diabets mellitus na hypertension disease.

Mimi ushauri wangu ni kuwa wale wanaotumia tiba mbadala watumie kama nutrients , ila wanaopaswa kutumia dawa za kisasa wasiache kutumia kwani hizi tiba mbadala nyingi ni uongo/utapeli na zingine ni supportive nutrients.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unafikiri strength ya hawa wadau inatokana na nini mkuu? kwa sababu kuna wengine kazi zao za kila siku au pilika pilika zao ndio mazoezi yao.

Hebu tuangalie hawa wadau ambao anaamka asubuhi -garini, kazini, garini, nymbani,garini, bia mbili tatu garini-kulala.. day in day out....weekends bata kwa wingi n.k.... mtu kama huyu ambaye yuko vizuri sana kwenye hio sector unafikiri nini kinachangia mkuu? (just for learning)

Many Thanks

mkuu Tized unachozungumza ni kweli kabisa ila amini usiamini sex ORGAN kubwa kuliko zote mwilini ni BRAIN (it all started from the brain) if you mess up with your BRAIN especially psychological utakuwa umeshaliharibu tendo lote.( hujawahi kuona mtu na mkewe wanafanya chini ya kiwango mno , lakini mtu huyo huyo kwa mchepuko wake anakuwa yupo vizuri sana .... think about it.

halafu being physique ndiyo inakuja ili kukupa pumzi na kukuepusha wewe kuchoka mapema na haraka , kama unavyosema mazoezi yanayohitajika siyo lazima yawe ya kuvaa nguo za mazoezi na kwenda uwanjani wakati mwingine hata Daily routine zetu zinatosha kabisa kukujenga kiafya ukawa na nguvu za mwili na pumzi za kukuwezesha kufanya vizuri....

kuna mazoezi maalumu yanaitwa kergel's exercise , ndiyo yapo maalumu kuimarisha misuli ya sehemu za siri (tena hii ni kwa jinsia zote)........

halafu inakuja chakula ambayo zenyewe zipo za kutia mwili nguvu kukupa ile nguvu za kubiringishana kitandani na kuna vyakula ambavyo vina-boost ile hamu ya tendo (aphrodisiac foods)

mchango wangu ni huo tu , kama hujajitayarisha Kiakili hata ule nini na hata ufanye mazoezi gani ..... itakuwa bure kabisa.
 
Last edited by a moderator:
I couldn't agree more Mkuu.

Umezungumza kwa undani na kwa ufahamu mkubwa sana mkuu asakuta same ..... I must admit kwenye huu uzi nimejifunza vitu vingi na kwa undani sana....

What does it take mkuu apo kwenye red ''kusema mtu amejitayarisha kiakili'' na tukio?

Pia mkuu kama unaweza kutusaidia kwenye hii habari ya vyakula, kama ulivyogusia apo chini (Aina gani ya vyakula vinavyofaa kuliwa wakati gani na kwa nini..... maana wengi hapa tuna shida mkuu asakuta same)

Again many thanks for your valuable inputs Mkuu.

Aksante mkuu Tized hilo la kujitayarisha kwa akili ni kama hayo wakuu waliyoyaelekeza humo juu mazingira ya akili yako kuwa imetulia na ipo tayari kwaajili ya tendo kwa muhusika unayefanya naye , siyo kabla hata hujaanza unakuwa tayari upo dissapointed na mtu........ ila cha muhimu baada ya kuweka akili sawa basi uwe na uwezo wa kucoordinate brain yako na kiungo chako cha chini (hapa kwa wale wanaoelewa/ au waliowahi kufanya kuna kipindi mtu unafanya tendo , ile action ya afanyaji is more exciting zaidi ya ile kwamba sasa umeshusha mzigo kwahiyo unajikuta unaendelea kwa muda mrefu mpaka utakapoaamua sasa nishushe mzigo au kuna wale wanaaojitayarisha kiakili na kujiamini kuwa anaweza na hata anaweza kuendelea hapo hapo hata baada ya kushusha mzigo anacoordinate akili yake na kiungo chake na mwishowe game linaendelea hata mara tatu bila kupumzika katikati ya hizo kilele).....

kwenye vyakula wadau walishavizungumzia kwenye thread nyingi humu ndani , hasa hasa hivi vya kuongeza hamu (aphrodisiac)- mfano Parachichi-hili ni balaa mkuu, supu ya samaki(wakiongozwa na pweza), asali , chocolate , kahawa , ndizi mbivu , pilipili , tangawizi, samli ya ng'ombe n.k (hivi unaweza ukawa unakula karibia kila siku , ila siku za makutano unazitilia mkazo)

vyakula vya kutia nguvu ni hivi vyakula vyetu tunavyokula kila siku ya maisha yetu ikiwemo chips(japo watu wanaponda), ugali , wali n.k.

sasa mkuu baada ya kula vyakula vyetu na kunywa vinywaji vyetu kuna aina fulani ya vyakula ni muhimu sana kwani yenyewe huondoa mwilini free radical( hizi free radicals huwa ni sumu zitokanazo na michakato mbalimbali ndani ya miili yetu)...... sasa ili tupambane kirahisi na hizi sumu tunahitaji Anti-oxidants. hizi ni kama vile VITAMINI E , C ,D na B.( hapa ndipo linapoingia suala la matunda na baadhi ya mboga za majani).

sijui kama nitakuwa nimejaribu kujieleza vizuri Tized ?
 
Last edited by a moderator:
Case yangu imehappen today wadau I need support .Two week I met wit certain girl akaja gheto Tukashikanashikana mzee akasimama katika kumuingiza mzee akalala ntukaishia hapo.Nikaonana na dada mmoja ambae hyu nimeshawai onana nae kama mara 5 hivi nikaweza kupiga goli moja vizuri but la pili likazingua kiaina but nilikojoa.Sasa leo nimeonana na mpenzi wangu nimpendae mzee kasimama poa kabisa katika kumuingiza mzee kwa pachupachu ya my sweethrt mzee akalala ghafla akasimama tena fresh nataka kumuingiza kalala tena sijui tatizo ninj kabisa wadau.BUT NIKISEMA NIJARIBU KUPIGA MASTERBRATION MAMWAGA POA HII NINI JAMANI.
 
Many thanks Mkuu asakuta same.

Umenijibu kaka, Nakushukuru sana kwa elimu yako, Watu wakipitia hizi comments nzito humu hakika watafunguka sana kuhusu haya maswala. Natafuta muda nikae na diary yangu niusome huu uzi tena mwanzo hadi mwisho... naamini ntapata vitu vingi zaidi maana wakuu mmetoa nondo za uhakika sana.

Once again nikushukuru sana kaka.
Aksante mkuu Tized hilo la kujitayarisha kwa akili ni kama hayo wakuu waliyoyaelekeza humo juu mazingira ya akili yako kuwa imetulia na ipo tayari kwaajili ya tendo kwa muhusika unayefanya naye , siyo kabla hata hujaanza unakuwa tayari upo dissapointed na mtu........ ila cha muhimu baada ya kuweka akili sawa basi uwe na uwezo wa kucoordinate brain yako na kiungo chako cha chini (hapa kwa wale wanaoelewa/ au waliowahi kufanya kuna kipindi mtu unafanya tendo , ile action ya afanyaji is more exciting zaidi ya ile kwamba sasa umeshusha mzigo kwahiyo unajikuta unaendelea kwa muda mrefu mpaka utakapoaamua sasa nishushe mzigo au kuna wale wanaaojitayarisha kiakili na kujiamini kuwa anaweza na hata anaweza kuendelea hapo hapo hata baada ya kushusha mzigo anacoordinate akili yake na kiungo chake na mwishowe game linaendelea hata mara tatu bila kupumzika katikati ya hizo kilele).....

kwenye vyakula wadau walishavizungumzia kwenye thread nyingi humu ndani , hasa hasa hivi vya kuongeza hamu (aphrodisiac)- mfano Parachichi-hili ni balaa mkuu, supu ya samaki(wakiongozwa na pweza), asali , chocolate , kahawa , ndizi mbivu , pilipili , tangawizi, samli ya ng'ombe n.k (hivi unaweza ukawa unakula karibia kila siku , ila siku za makutano unazitilia mkazo)

vyakula vya kutia nguvu ni hivi vyakula vyetu tunavyokula kila siku ya maisha yetu ikiwemo chips(japo watu wanaponda), ugali , wali n.k.

sasa mkuu baada ya kula vyakula vyetu na kunywa vinywaji vyetu kuna aina fulani ya vyakula ni muhimu sana kwani yenyewe huondoa mwilini free radical( hizi free radicals huwa ni sumu zitokanazo na michakato mbalimbali ndani ya miili yetu)...... sasa ili tupambane kirahisi na hizi sumu tunahitaji Anti-oxidants. hizi ni kama vile VITAMINI E , C ,D na B.( hapa ndipo linapoingia suala la matunda na baadhi ya mboga za majani).

sijui kama nitakuwa nimejaribu kujieleza vizuri Tized ?
 
Last edited by a moderator:
naona kila kitu kishajadiliwa cha kuongezea ni kwamba baadhi ya wanaume huwa na inferiority complex baada ya kuona x videos na kumuona mwenzake yupo kwenye game 40 mins na yeye anataka iwe hvyohvyo ieleweke :wazi kwamba mule kuna editing inafanyiwa na pia matumiz ya dawa za kuongeza uwezo otherwise not very likely though its possible mshndo wa kwanza kudumu more than30 mins
 
i miss u much....

ha ha ha mtakuafa 45 minutes karaha sasa sio raha tna
ivi kwann watu tumekuwa watumwa wa haya mambo ya maneno ya vijiwen??kwenye tendo siku hzi linapoteza mwelekeo cos ya wtu kuwa watumwa wa maneno.hasa nyie wanaume na kauli ya ulijali
 
Nasikia hata nyie huwa mnalalamika juu ya quickies (kijiweni kijiweni)

Back
Top Bottom