Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Asanteh
 
skip eat all type of meats , Drink more water. Fanya Fasting atleast kwa siku mbili au tatu kwa wiki, Fasting nayoongelea ni ile ya ku skip kula chakula chochote kigumu badala yake kunywa soft drinks na more water. Fanya hivi kwa wiki 3. utaona notable changes
 
Nenda hospitali tu,utakunywa sana tangawizi , garlic,tende nk ila bila kupimwa na kujua chanzo cha tatizo lako itakua kazi bure. Hospitali watajua kama ni hormonal imbalance, nerves problem au ni psychological problem wakusaidie vipi. Usione aibu just go and see a specialist.
 
Kwakweli mkuu umeandika andiko zuri sana na lenye maana kubwa sana.wengi wanapotosha Sana juu ya mapungufu nguvu za kiume.ila mimi naongezea hapo nguvu ya kiume ni kujiweka wewe mwenyewe katika FIKRA za tendo la ndoa.ukiwa na mawazo hata kama umekunywa dawa GANI wewe hutaweza kuwa sawa kwenye tendo la ndoa.
Akili kama imelala au unadaiwa na watu au kazini kwako mambo hayaendi sawa unategemea kweli utaweza kuwa n hisia KWA mwenzako?mwisho wa siku utajitahidi utafunga goli MOJA hamu ya kuendelea tena huna.
 
VITU BAADHI VYA KUZINGATIA:
1. Acha kuangalia picha na mikanda ya ngono(pornography) na kujichua au punyeto. Hii husababisha akili yako kuwa stimulated na picha hizi tu. Ukikutana na mwanamke halisia physically inakuwa ngumu kupata hisia kutoka kwake na ngumu sana kufanya tendo.
2. Epuka kuwa na msongo wa mawazo pindi unataka kufanya tendo la ndoa (mimi binafsi imenitokea mara moja, kuna vitu vilikua vinanipa mawazo sana kiasi kwamba tukiwa tunaandaana na mwenza wangu, ikulu husimama vizuri kabisa ila nikitaka kuanza show basi ikulu inalala, kama uchawi hivi [emoji2]. Nikaja kugundua ishu ilikua ni mawazo yangu hayakua hapo muda ule)
3. Mazoezi pia ni ya msingi sana, kwenye mazoezi haya usisahau KEGEL EXERCISES.
4. Epuka kutumia madawa ya kuongeza nguvu kama viagra na vumbi la kongo. Ni kweli dawa hizi zitakupa heshima lakini zitafanya uwe tegemezi, siku utakutana na mazingira ambayo huwezi kupata hzo dawa na hapo ndipo utashindea kujiamini na kuanza kuogopa..mwisho wa siku aibu inakukuta.
5. Hakikisha unakula vizuri, matunda na maji mengi ni muhimu sana. Hata kabla ya kufanya tendo hakikisha huna njaa, yani uwe kawaida au umeshiba.
 
Kimsingi na weza sema umejitahidi Sana kuelezea critically natanguliza pongezi.

Vijana wengi Sana wametawaliwa na hofu kubwa linapokuja suala LA nguvu za kiume na kusahau kuwa jambo hili ni psychological problem tuu.

Finally wanajikuta wanaanza kutumia madawa ya kuboost something which is terrible
But wanasahau kuwa solution ni kufuata ushauri Kama uliotolewa hapo na changamoto inakuwa imekwishaa kabisa
 
Haya ndio maisha ya mtanzania fasting ally months.
 
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...
vyakula na kazi/ mazoezi ni muhimu sana
 
Nguvu za kiume zipo bank buddah, nyenyee zisiwe mingi.
 
tatizo lipo
 
mkuu, nimeathiriwa sana na namba moja hiyo. nifanyeje ili niweze kuwa kawaida tena?
 
Vip mzee havikufanyi kuwa dependant wa vitunguu?? Yan bila hivyo jogoo hawiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…