Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Nyeto haina uhusiano na upungufuwa wa nguvu za kiume tuache kudanganya watu....mchawi uzito mkubwa na kutofanya mazoezi na kuto kunywa maji ya kutosha...mtu akizingatia haya anakuwa sawa kabisa kama alivyokuwa zaman....ukiruhusu uzito mkubwa kuliko umbo lako umekwisha.Ukiacha nyeto baaas mtu unapona chap