Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

kama mtu ana chini ya miaka 40 na ana tatizo la nguvu za kiume, anahitaji special attention
kuna umri wa chini ya 40 hata iweje stress ,sijui mazingira gani haviwezi kukutoa kwenye reli, ni muda wowote mnara unasoma
sisi wa 50+ ndo tuna changamoto za nguvu. na sababu kubwa ni umri na tumebweteka hatushughulishi miili yetu na ulaji pia
 
Kama ningekuwa Natoa mimi Tuzo ningekupa Mkuu ,Kuna Muda Wanaume tunatakiwa Kusimama kwa Pamoja hali ya Afya zetu ni mtihani sana kuanzia kwenye vyakula vingi vya kisasa sukari nyingi,kemikali,mafuta Ukija matunda pia ni Kama vile kuku wa kisasa tu week mbili tu Tayari yapo sokoni bado wanapiga madawa ili yasiharibike mapema ,Vinywaji vya viwandani doooh ....Tuamke kwa kweli mazoezi, vyakula vya Asili ,maji mengi na muda wa kumpumzika tuzingatie
 
Hicho kitabu kinfurahisha kmenipa mahono tofaut san..thanks mreta nyuzi y pdf
 
Hii mambo ni ngumu ila nilichogundua ni aina ya mwanamke tu uliye naye ndio anaweza kufanya ukainjoy ngono na kuwa shababi.

Kama mwanamke hajachangamka na sio mtamu sipigi zaidi ya kimoja. Ila anayenihamasisha tunawekana hata vitano.
Hili jambo naona nkweli nmejaribu mara kadhaa
Hii mambo ni ngumu ila nilichogundua ni aina ya mwanamke tu uliye naye ndio anaweza kufanya ukainjoy ngono na kuwa shababi.

Kama mwanamke hajachangamka na sio mtamu sipigi zaidi ya kimoja. Ila anayenihamasisha tunawekana hata vitano.
N kweli🤔
 
mayai matatu mabichi changanya na Vanilla shake , usiku mmoja kabla ya Zoezi!
Mambo mengine chukua mzigo huo chini hapo.

Huwa natoa mambo mazuri na mafunzo tu....... Mtanishukuru baadae

Mhh hii kali mjomba🙄
 
Kuna mdau alinisaidia kupata dawa za asili, kiukweli sitomsahau kwa kuniokoa,nishatumiaga ujana sijui Dr mwaka kote sikufanikiwa,ila jamaa alinipa dawa tena kwa elfu thelathini tu daah watu noma,ila washenzi wengi matapeli
 
Nikwel mm hata sielew tatizo mkuu
 
Ni kwery lakn mimi naona apo tu chakula tunachokura ndio zinaleta changamoto kubwa lakini ayo yotee yanawezekana Kwa kufuta taratibu chache kama kufanya mazoezi na kupunguza ulaji wa mafuta sana hii apa inaweza punguza kemikali mwilini na kuiweka mwili sawa
 
Wakuu mimi Nina mawazo tofauti tatizo la nguvu za kiume ni kutokana na wanawake wengi kutojistiri na kuonyesha sana maungo yao yanatufanya kupoteza mhemko wa asili maisha yamebadilika tofauti na Zamani kwa sababu kumuona mwanamke ili kuwa ni kitu cha thamani tofauti na sasa.
 
Hili nalo wazo mkuu. Kuona sana viungo kunasababisha mtu uvizoee kiasi kwamba hata mnapokuwa faragha unaona kawaida, hivyo hata mashine haioni jiipya.
 
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...
Umeandika vyema kabisa
 
Suala la kufanya mazoezi au kwenda gym inabidi uwe makini Sana kwa sababu Kuna wengine baada ya mazoezi hayo ndo huishiwa nguvu kabisaaa na hawawezi kufanya Hilo tendo kwa ufasaha ko Bora wafanye mazoezi mepesi mepesi
 
Suala la kufanya mazoezi au kwenda gym inabidi uwe makini Sana kwa sababu Kuna wengine baada ya mazoezi hayo ndo huishiwa nguvu kabisaaa na hawawezi kufanya Hilo tendo kwa ufasaha ko Bora wafanye mazoezi mepesi mepesi
Hivi ukifanya mazoezi mazito stamina inapotea eeh?
 
Tatizo hili liko fueled zaidi na porn video, watu wanafikiri kuwa na nguvu za kiume ni hadi ukae juu ya mwanamke dk 30 had lisaa na nusu kumbe hawajui hizi porn video ni muvi na kinachofanyika pale it's just acting na wanashoot vipande vipande kama kwenye muvi za kawaida, hii inapelekea kuharibu mindset ya watu na kuona kama yy ana reach ejaculation within 5 min basi anaona hana nguvu which is not true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…