Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Ukubwa Dawa.. Tunakushukuru sana Mkuu MziziMkavu.

Kuna kitu kipya nimekiona hapa juu ya kutokula kitu masaa sita kabla. Nakubaliana na wewe kiuzoefu ila sikuwa nafahamu kama huo wepesi na nguvu unatokana na kutokula hayo masaa. Kitaalamu likoje hili Mkuu, ukila kwenye huo muda na kutokula kunalink kivipi na perfprmance. Ntashukuru sana kujifunza zaidi hapo mkuu.

Asante sana.

Nijuavyo mimi ukitaka kuchelewa kuwahi kufika mapema wewe kama mwenzako inabidi uwe unafanya mapenzi kwa wiki japo mara 3 au mara 4 hiyo itakusaidia wewe mwanamme kuchelewa

kuwahi kufika mapema golini kabla ya mwenzako. Mbinu ya pili ukitaka uwe na nguvu kwenye tendo la ndoa usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya tendo la ndoa utakuwa na nguvu za kiume imara. Kwani kula chakula kunasababisha wewe

Mwanamme ufike haraka golini na kufunga goli mapema kabla ya mwenzako naye hajamaliza utakuwa wewe umekwisha maliza.

Ushauri wangu: Kama ni Mlevi acha kunywa pombe, kama ni mvutaji sigara acha kuvuta Sigara,kama ni Mlaji wa mirungi acha kula mirungi, kama ni mpigaji wa Punyeto acha

kupiga Punyeto, kama ni muangaliaji wa video chafu za matusi acha kuangalia hizo video pia zinasababisha mtu kupiga Punyeto. Ukitaka Dawa kuchelewa kuwahi na dawa ya kuongeza au kurudisha nguvu zako za kiume uwasiliane na mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako pia mkuu!!

Unaonekana kwenye maandishi yako una kitu cha nyongeza cha kusaidia wengi wetu hapa, Tunakualika utushirikishe uzoefu wako mkuu Meizon. Tutaulink na mwanzo wa stread hii ili uzidi kufikiwa na kusaidia wasomaji wengi zaidi.

Shukrani mkuu!!!!

Ok! heshima kwa wakubwa kwanza, I think ninaweza toa mchango katika hili swala la premature ejaculation/kuwahi kufika kileleni.Guys this is out of my own experience,nasema kitu ambacho nina uhakika nacho vinginevyo ninge tulia kimya.....Ukweli wengi tunalijua tatizo la P.E japo tunatofautiana viwango ila nadhani kufika kileleni chini ya dakika 7 sio normal kama tunavyo fikiri. Japo sex is not only about how long but how good ila bado uhalisia ni huo. Nitajaribu kuandika thread vizuri juu ya njia niliyo itumia mimi kuongeza my sex stamina,no stress! rahisi sana..I promise...kwasasa ninachoweza kusema ni kwamba kufika kileleni mapema kwa wengi wetu sio tatizo bali ni TABIA! kwahiyo ni swala la kuelewa njia zitazo rudisha stamina yako...Hakuna dawa,ndani ya wiki moja tu unatoka katika kumwaga ndani ya dakika 5 hadi 15 au zaidi!!! Nime experience,with a hard erection I dicide when to ejaculate! Penye nia pana njia..kwa wenye maswali kabla sijaja na Thread nzima juu ya hii kitu just PM me> pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu hata nami kitu cha masaa 6 kabla kimenishangaza sana,swali la nyongeza kwa yale alouliza Tized je hii kitu ni applicable kwa wanawake pia au ni wanaume tu?
 
Meizon una kitu muhimu sana ambacho kitasaidia wengi humu ndani ukiwa tayari tafadhali usisite kutuletea somo maridhawa kwa wakati maalum.

asante.
 
Last edited by a moderator:
Nijuavyo mimi ukitaka kuchelewa kuwahi kufika mapema wewe kama mwenzako inabidi uwe unafanya mapenzi kwa wiki japo mara 3 au mara 4 hiyo itakusaidia wewe mwanamme kuchelewa kuwahi kufika mapema golini kabla ya mwenzako.

This may make sense because the more sexual sexual intercourse you have the less the urge to have it and vice versa. Ni sawa na kusema kuwa one can control premature ejaculation kwa ku-ejaculate muda mfupi kabla ya tendo la kujahimiana.

Mbinu ya pili ukitaka uwe na nguvu kwenye tendo la ndoa usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya tendo la ndoa utakuwa na nguvu za kiume imara. Kwani kula chakula kunasababisha wewe Mwanamme ufike haraka golini na kufunga goli mapema kabla ya mwenzako naye hajamaliza utakuwa wewe umekwisha maliza.

This needs a little bit of explanation. Kuna mchangiaji mwingine alisema hivi hivi bila kufafanua why and how. Ukweli utabakia kwenye sayansi maana kama ni hivyo wanaofika mapema wange-sort out tatizo hilo kwa kufanya mapenzi mida ya asubuhi kabla ya kifungua kinywa.

Najua kwenye kufanya mazoezi kuna myth moja inayosema kuwa usile kabla ya kuanza mazoezi kwa sababu tumbo tupu litakusaidia ku-burn fat nyingi zaidi. Probably, ndo maana wengine wanashauri ufanye mazoezi asubuhi. Lakini kisayansi wapo wanaosema kuwa kuna umuhimu wa kula chochote kabla ya kuanza kufanya mazoezi. Vinginevyo ni sawa na kuwasha gari bila mafuta ya kutosha kwenye tanki.

Mwili unahitaji sukari ili ufanye mazoezi vizuri. Kama hakuna sukari, mwili utabadilisha misuli kuwa energy. Kwa maana nyingine mwili unapata nguvu kwa ku-burn calories kutoka kwenye protein. This is not healthy. Lakini nadhani at the end of the day itategemea unataka ku-achieve nini. Kama unataka kuimarisha misuli then, hutapenda protein iliyoko kwenye misuli itumike kama source ya energy unapofanya mazoezi.

Sasa tukija kwenye suala la kujahimiana, hii formula ya mazoezi na kula huwa ina-apply and, if so, kama ilivyo? Probably, kuna vyakula ambayo wanashauri usile kabla ya kujahimiana lakini hivi vyakula siyo kwa ajili ya kuzuia kutofika mapema. Mfano, if you are going to kiss a lot, then wapo ambao hawapendi harufu ya garlic au mwingine unakuta katoka kula kachumbari iliyojaa pilipili kichaa halafu ghafla anataka kwenda down town.

Of course, kula starchy foods kwa muda mfupi kunaweza kukufanya ujisikie siyo active na mchovu lakini athari zake siyo tuu kwenye kujahimiana. Nakumbuka boarding school, baada ya kula ugali na maharage mchana yaani vile vipindi vya kuanzia saa nane mchana watu tulikuwa tunasinzia darasani kumbe kisa ilikuwa kubugia ugali mkubwa kwa muda mfupi.

Lakini kama mtu unakula light foods kama vyakula vinavyoongeza protein na mboga za majani muda mfupi kabla ya kujahimiana sidhani kama zitasababisha premature ejaculation, provided that they didn't made you to feel tired and exhausted.

Otherwise, kwamba premature ejaculation inaweza kuwa controlled kwa kutokula masaa 6 kabla ya kujahimiana bado inahitaji ufafanuzi wa kina na wa kisayansi.
 
Nimekupa Home work kaka fanyia kazi wewe.
 
Mkuu MziziMkavu hata nami kitu cha masaa 6 kabla kimenishangaza sana,swali la nyongeza kwa yale alouliza Tized je hii kitu ni applicable kwa wanawake pia au ni wanaume tu?

Hahahaaa. Angalia usije ukafa njaa.

Wengine hasa wanawake like having sexual intercourse with foods to keep the mood sexual and sensual.

But never try this: "My guy was cooking and I pulled him away from the kitchen to get it on. He had been cutting up peppers and in the heat of the moment didn't think about it and touched my ‘hot' spot. Then I actually started to feel a lot of burning - I was wondering if it could cause any damage" - Doin' It With Dr. V: Can You Have Sex With Food?
 
Hahahaaa. Angalia usije ukafa njaa.

Wengine hasa wanawake like having sexual intercourse with foods to keep the mood sexual and sensual.

But never try this: "My guy was cooking and I pulled him away from the kitchen to get it on. He had been cutting up peppers and in the heat of the moment didn’t think about it and touched my ‘hot’ spot. Then I actually started to feel a lot of burning — I was wondering if it could cause any damage” - Doin’ It With Dr. V: Can You Have Sex With Food?

Hahahaha!! EMT umenichekesha sana,kweli uangalifu Mkubwa unahitajika,asante kwa elimu hii.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu tunatambua sana utaalamu na ukongwe wako kwenye haya maswala, Tunaomba huo ufahamu juu ya hili swala la kutokula masaa 6 kabla mkuu.... Litatufungua wengi sana Mkuu!!!
Nimekupa Home work kaka fanyia kazi wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu tunatambua sana utaalamu na ukongwe wako kwenye haya maswala, Tunaomba huo ufahamu juu ya hili swala la kutokula masaa 6 kabla mkuu.... Litatufungua wengi sana Mkuu!!!
Kutokula kunasaidia wewe kuwa na Stamina ya nguvu za kiume na kutomwaga mapema. Ukiwa umeshiba kisha unafanya tendo la ndoa unakuwa hauchelewi kumwaga mapema na unakuwa huna nguvu za kiume. Na ukiwa unafanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 3 au mara 4 itakusaidia kuweza kuchelewa pia kumwaga mapema na kukufanya uweze kulizoea tendo la ndoa . Na itapendeza wewe wakati upo kwenye uwanja wa tendo la ndoa mawazo yako usiweke hapo kwenye tendo la ndoa mawazo yako yaweke mbali pia itakusaidia kuchelewa kumwaga mapema.
 
Point taken......hapo mwanzo umesema kuacha pombe ,sigara...lakini kwa wengine hii ni kichocheo kizuri.Mkuu nikitupia pegi mbili,tatu Gin&tonic..aaah mama ngina wangu asubuhi inabidi nimuandalie maji ya kuoga....hii kitaalamu imakaaje mkuu...?
 
Sigara pombe na uvutaji wa mirungi inapunguza nguvu za kiume amini au usiamini kazi kwako.
 
Hahahaaa... my dear everlenk uwanja wenu, Karibuni sana wapendwa wetu. Itakua ni faraja sana kuona mtu mmoja mahali anasidika kwa namna moja au nyingine.

Michango ya mawazo yenu wenu ni ya thamani na sana, Tafadahli karibuni na wadada wenzio . Most welcomed!!!!!
Many Thanks
cc Fixed Point, miss chagga, ICHANA, miss neddy, mwallu, Heaven on Earth, Karucee, @Howty Lady, Kongosho, lara 1 na wengineo wote
Hii mada ilikuwa nzuri sana, hongera rafiki.....
Naona watu wametiririka almost kila kitu
 
Many thanks Mkuu MziziMkavu!!!

Kwa wale wanakanganyikiwa kutofautisha nguvu ya mwili na nguvu za kiume watakua wana maswali bado.... ila kwa namna ulivyoelezea hapo anaejua hizo tofauti mbili anaweza kuunganisha dots kuwa hio stamina inakuaje na nguvu za kiume inakuwaje. !!! Pia uhusiano wa stamina ya mwili na nguvu za kiume

Tunakushukuru sana Mkuu kwa elimu yako.

Back
Top Bottom