Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nina swali kwa EMT,
Kuchelewa kufika kileleni kunasababishaje tatizo la kutopata mtoto?
 
Last edited by a moderator:
Mada hiiyo iliyowekwa mezani ni mada muhimu sana,Kama wanajukwaa walivojalibu kudadavua kwa kina zaidi hapo juu, naona kama kwamba kila kitu wamejalibu kukiweka bayana wapi penye makosa na wapi panaitaji kufanyiwa uboreshaji au kupakosoa,
Binafsi ningependa kuongezea hapo kwa mwenzetu aliye toa mawazo/mchango wa mawazo ya kujalibu kutokomeza janga hili Ndg EMT; juu ya umuhimu na unavoweza kupata NITRIC OXIDE.
from some website, pass through this msg.
Category > Supplements > Nitric Oxide
What is nitric oxide and how does it work?
by Jason Clark, BSc, MSc
What Is nitric oxide and how does it work?
Some people think it's the gas that makes us laugh at the dentist office. Some think it's the fuel racecar drivers use to speed up their cars. But it's neither. Nitric oxide is a molecule that our body produces to help its 50 trillion cells communicate with each other by transmitting signals throughout the entire body.
Nitric oxide has been shown to be important in the following cellular activities:

• help memory and behavior by transmitting information between nerve cells in the brain
• assist the immune system at fighting off bacteria and defending against tumors
• regulate blood pressure by dilating arteries
• reduce inflammation
• improve sleep quality
• increase your recognition of sense (i.e. smell)
• increase endurance and strength
• assist in gastric motility
There have been over 60,000 studies done on nitric oxide in the last 20 years and in 1998, The Nobel Prize for Medicine was given to three scientists that discovered the signaling role of nitric oxide.

Nitric oxide and heart disease
Nitric oxide has gotten the most attention due to its cardiovascular benefits. Alfred Nobel, the founder of the Nobel Prize, was prescribed nitroglycerin over 100 years ago by his doctor to help with his heart problems. He was skeptical, knowing nitroglycerin was used in dynamite, but this chemical helped with his heart condition. Little did he know nitroglycerin acts by releasing nitric oxide which relaxes narrowed blood vessels, increasing oxygen and blood flow.
The interior surface (endothelium) of your arteries produce nitric oxide. When plaque builds up in your arteries, called atherosclerosis, you reduce your capacity to produce nitric oxide, which is why physicians prescribe nitroglycerin for heart and stroke patients.

Nitric oxide and erectile dysfunction
Viagra and other impotence medications work due to their action on the nitric oxide pathway. One cause of impotence is unhealthy and aged arteries that feed blood to the sexual organs. Viagra works by influencing enzymes in the nitric oxide pathway, causing a cascade of enzymatic reactions that enhance nitric oxide, causing more blood flow and better erections.

How to increase nitric oxide in your body
The most common way to increase nitric oxide is through exercise. When you run or lift weights, your muscles need more oxygen which is supplied by the blood. As the heart pumps with more pressure to supply the muscles with blood, the lining in your arteries releases nitric oxide into the blood, which relaxes and widens the vessel wall, allowing for more blood to pass though. As we age, our blood vessels and nitric oxide system become less efficient due to free radical damage, inactivity, and poor diet, causing our veins and arteries to deteriorate. Think of a fire hose as water rushes through it to put out a fire - it needs to expand enough to handle the pressure, still keeping enough force to put out the fire. Athletes and youth have the most optimal nitric oxide systems, reflecting their energy and resilience.

Another way to increase nitric oxide is through diet, most notably by consuming the amino acids L-arginine and L-citrulline. Arginine, which can be found in nuts, fruits, meats and dairy, directly creates nitric oxide and citrulline inside the cell (diagram 1).(6) Citrulline is then recycled back into arginine, making even more nitric oxide. Enzymes that convert arginine to citrulline, and citrulline to arginine need to function optimally for efficient nitric oxide production. We can protect those enzymes and nitric oxide by consuming healthy foods and antioxidants, like fruit, garlic, soy, vitamins C and E, Co-Q10, and alpha lipoic acid, allowing you to produce more nitric oxide. Nitric oxide only lasts a few seconds in the body, so the more antioxidant protection we provide, the more stable it will be and the longer it will last. Doctors are utilizing this science by coating stents (mesh tubes that prop open arteries after surgery) with drugs that produce nitric oxide.

Nitric oxide for athletes and bodybuilders
Increasing nitric oxide has become the new secret weapon for athletes and bodybuilders. Athletes are now taking supplements with L-arginine and L-citrulline to support the flow of blood and oxygen to the skeletal muscle. They also use them to facilitate the removal of exercise-induced lactic acid build-up which reduces fatigue and recovery time. Since arginine levels become depleted during exercise, the entire arginine-nitric oxide - citrulline loop can lose efficiency, causing less-than-ideal nitric oxide levels and higher lactate levels. Supplements can help restore this loop allowing for better workouts and faster recovery from workouts.
With nitric oxide deficiencies due to aging, inactivity, smoking, high cholesterol, fatty diets, and lack of healthy foods, increasing your nitric oxide levels can help increase your energy, vitality and overall wellness. The basic adage of eating well and staying active all makes sense now.
 
Nina swali kwa EMT,
Kuchelewa kufika kileleni kunasababishaje tatizo la kutopata mtoto?

The most sexual problems in men are (1) premature ejaculation, (2) importance and (3) delayed ejaculation. Delayed ejaculation linaweza lisiwe tatizo baina ya wapendanao hadi pale wanapotaka mtoto.

Baadhi ya malalamiko ya wanawake: Anyone experience Delayed Ejaculation? | Mumsnet Discussion

Kuna aina mbili za delayed ejaculation: primary and secondary. Primary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume kutowahi kabisa ku-ejaculate wakati wa kujahimiana.

Secondary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume ku-ejaculate mara moja au zaidi katika kipindi fulani cha maisha yale lakini hawezi tena ku-ejaculate au huwa ana-ejaculate lakini kwa shida sana.

So, wawezakuta wakati mwanaume amebahatika ku-ejaculate, mwanamke hayupo kwenye zile siku za kupata ujauzito.

Ni jinsi gani kuchelewa kufika kileleni kunasababisha tatizo la kutopata mtoto inatagemeana na sababu za kuchelewa kufika.

Sababu zinaweza kuwa za kibaologia, kisaikolojia, kimahusiano na hata za kijamii.

Zinaweza kuwepo sababu za kisayansi, lakini pia hebu fikiria zaidi ya saa moja bado hajafika, huyo mwanamke si ataishia kusepa, let alone kuzaa nae?
 
Naunga mkono jibu!
 
Je? Kupiga masturbution {punyeto}kunaweza kusababisha kuishiwa nguvu za kiume?

Hii ni debatable kwa sababu karibu kila mtu huwa anajifanya ni mtaalamu kwenye hili suala.

Hoja za watu wengi zime-base kwenye myths. Inawezakana labda masturbation inaweza kupunguza nguvu za kiume kwa maana ya idadi ya mbegu za kiume na wingi wa shahawa.

Hata hivyo, mwanaume ana kiwanda cha kutengeneza mbegu za kiume na sidhani kama masturbation itasababisha kiwanda hicho kufa.

Kitaalamu, inadaiwa kuwa masturbation haina madhara. Inakuwa na madhara tuu pale inapokuwa ni addiction au inapoingiliana na maisha yako ya kila siku au kama inatumika kama mbadala wa kujahimiana.

Otherwise, masturbation haiathiri uwezo wa mwanaume kuzalisha mbegu za kiume. Kwa kawaida, mwanaume hawawezi kuishiwa na mbegu za kiume kwa sababu mbegu hizo huwa zinazalishwa 24 hours a day, 7 days a week.

Baada ya mwanaume kufika kileleni, itamchukua muda kabla ya kufika tena kileleni. Hii ni kawaida na haina maana kuwa kuna kitu chochote kibaya na mbegu zake za kiume.

Tafadhalali tofautisha hili na ubora/afya ya mbegu za kiume ambalo ni suala tofauti kabisa na halina uhusiano wa moja kwa moja na kupiga punyeto.
 
Kutokula kunasaidia wewe kuwa na Stamina ya nguvu za kiume na kutomwaga mapema. Ukiwa umeshiba kisha unafanya tendo la ndoa unakuwa hauchelewi kumwaga mapema na unakuwa huna nguvu za kiume. Na ukiwa unafanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 3 au mara 4 itakusaidia kuweza kuchelewa pia kumwaga mapema na kukufanya uweze kulizoea tendo la ndoa . Na itapendeza wewe wakati upo kwenye uwanja wa tendo la ndoa mawazo yako usiweke hapo kwenye tendo la ndoa mawazo yako yaweke mbali pia itakusaidia kuchelewa kumwaga mapema.
wooo MziziMkavu i personally agree with this 100%
 
I salute you Brother EMT. Aisee Pokea PhD ya heshima. By the power vested in Me by the URT, I Tz declare you Dr. EMT PhD.

Tunashukuru sana kwa michango yako ya kitaalamu sana Mkuu. Heshima kwako kaka.
The most sexual problems in men are (1) premature ejaculation, (2) importance and (3) delayed ejaculation. Delayed ejaculation linaweza lisiwe tatizo baina ya wapendanao hadi pale wanapotaka mtoto.

Baadhi ya malalamiko ya wanawake: Anyone experience Delayed Ejaculation? | Mumsnet Discussion

Kuna aina mbili za delayed ejaculation: primary and secondary. Primary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume kutowahi kabisa ku-ejaculate wakati wa kujahimiana.

Secondary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume ku-ejaculate mara moja au zaidi katika kipindi fulani cha maisha yale lakini hawezi tena ku-ejaculate au huwa ana-ejaculate lakini kwa shida sana.

So, wawezakuta wakati mwanaume amebahatika ku-ejaculate, mwanamke hayupo kwenye zile siku za kupata ujauzito.

Ni jinsi gani kuchelewa kufika kileleni kunasababisha tatizo la kutopata mtoto inatagemeana na sababu za kuchelewa kufika.

Sababu zinaweza kuwa za kibaologia, kisaikolojia, kimahusiano na hata za kijamii.

Zinaweza kuwepo sababu za kisayansi, lakini pia hebu fikiria zaidi ya saa moja bado hajafika, huyo mwanamke si ataishia kusepa, let alone kuzaa nae?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu kwa maelezo yako yakinifu.
Kwa mantiki hio ni upi mchango wa punyeto kwa mwanaume kupungua nguvu za kiume kwa maana ya uwezo wa kufanya, kurudia, na muda wa kufanya tendo (kuwahi sana au kuchelewa sana)? tukiiacha habari ya ubora na wingi wa mbegu pembeni?

Umekuwa msaada sana Mkuu EMT na umeifanya huu uzi uwe wa manufaa sana kwa wengi.

Hii ni debatable kwa sababu karibu kila mtu huwa anajifanya ni mtaalamu kwenye hili suala.

Hoja za watu wengi zime-base kwenye myths. Inawezakana labda masturbation inaweza kupunguza nguvu za kiume kwa maana ya idadi ya mbegu za kiume na wingi wa shahawa.

Hata hivyo, mwanaume ana kiwanda cha kutengeneza mbegu za kiume na sidhani kama masturbation itasababisha kiwanda hicho kufa.

Kitaalamu, inadaiwa kuwa masturbation haina madhara. Inakuwa na madhara tuu pale inapokuwa ni addiction au inapoingiliana na maisha yako ya kila siku au kama inatumika kama mbadala wa kujahimiana.

Otherwise, masturbation haiathiri uwezo wa mwanaume kuzalisha mbegu za kiume. Kwa kawaida, mwanaume hawawezi kuishiwa na mbegu za kiume kwa sababu mbegu hizo huwa zinazalishwa 24 hours a day, 7 days a week.

Baada ya mwanaume kufika kileleni, itamchukua muda kabla ya kufika tena kileleni. Hii ni kawaida na haina maana kuwa kuna kitu chochote kibaya na mbegu zake za kiume.

Tafadhalali tofautisha hili na ubora/afya ya mbegu za kiume ambalo ni suala tofauti kabisa na halina uhusiano wa moja kwa moja na kupiga punyeto.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mantiki hio ni upi mchango wa punyeto kwa mwanaume kupungua nguvu za kiume kwa maana ya uwezo wa kufanya, kurudia, na muda wa kufanya tendo (kuwahi sana au kuchelewa sana)? tukiiacha habari ya ubora na wingi wa mbegu pembeni?

Kama nilivyosema hapo awali, punyeto haina uhusiano na mwanaume kupungukiwa na nguvu za kiume. Provided kuwa hujaifanya kuwa addiction, punyeto ni harmless and healthy, ispokuwa tuu kama unataka kumpa ujauzito mwanamke. Hapo itakubidi kuepuka kufanya punyeto ili ikifika wakati wa kujahimiana na mhusika uwe na mbegu nyingi, imara na zenye afya kwenye shahawa.

In fact, hii haina tofauti na wale wanaotaka mtoto. Baadhi ya watu, kama wanataka mtoto, huwa hawajamiani kwa muda fulani ili kumfanya mwanaume awe na mbegu nyingi, imara na zenye afya. Mbegu za kiume zinaweza kurutubisha yai la mwanamke kama ziko katika afya nzuri, zina nguvu za kutosha na ni nyingi.

Kwa mfano, kama uki-withhold sex au punyeto kwa muda halafu ukaja kujahimiana na mwanamke aliye-ovulate utakuwa na uwezo mkubwa wa kuzalisha "super sperms" kama katika kipindi hicho uliacha kunywa pombe na kuvuta sigara, uliongeza kula vyakula vyenye nutrients fulani kama madini ya zinc, calcium, Vitamini C na D. Hivi na vingine vinasaidia kuwa na mbegu nyingi, imara na zenye afya.

Mbegu za kiume zinachukua muda kukua, hivyo inashauriwa kuwa kama unataka kuwa na mbegu nzuri za kutunga mimba yenye afya fanya hayo hapo juu na mengineyo kwa muda wa miezi mitatu kabla ya kujahimiana na mwanamke kwa minajili ya kutunga mimba. Lakini kama umekuwa ukizingatia hayo hapo juu na mengineyo you will always have strong and healthy sperms.

Baada ya kusema hayo, baadhi ya watu wamejaribu kuonyeresha faida na hasara za kupiga punyeto.

Baadhi ya faida ya kupiga punyeto ni pamoja na zifuatazo:
  • Punyeto inaweza kumsadia mtu kuujua mwili wake, hasa kwa mwanamke.
  • Punyeto inaweza kukuondolea stress na pengine kukusadia kulala vizuri, though wengine wakiamka asubuhi wanajisikia wamechoka kutokana na punyeto waliofanya usiku wa jana yake.
  • Punyeto inaweza kukusadia kuepukana na prostate cancer. Hii inatokana na tafiti zinazodai kuwa ku-ejaculate zaidi ya mara tano kwa wiki kunamsaidia mwanaume kuepukana na prostrate cancer. Kutokana na maradhi inaweza kuwa vigumu baadhi ya wanaume ku-ejaculate na mara tano kwa wiki kwa njia ya kujahimiana, so punyeto inaweza kuwa alternative.
  • Punyeto inaweza kukusadia ku-deal na tatizo la kufika mapema. Unaweza kutumia punyeto wewe mwenyewe au na mwenzio kwa kujifundisha jinsi ya kuchelewa kufika. Wengine wanadai kuwa kama mwanaume anataka kuchelewa kufika, anaweza kupiga punyeto saa mojo kabla ya kujahimiana.
  • Kuna uwezekano kwa mwanamke kufika kileleni mapema kwa ku-masturbate kuliko kupitia oral sex au penetration. Tena akifanya mbele yako utajifunza mengi kuhusu nini kinamfanya ajisikie vizuri na mtulivu.
Baadhi ya hasara za kupiga kupunyeto ni pamoja na zifuatazo:
  • Kupiga sana punyeto inaweza kuingiliana na mahusiano ya kijinsia. Kama una mwenzio badala ya kujahimiana nae unaweza kujikuta unajiridhisha kwa kupiga punyeto. Kama huna mwenzio, badala ya kumtafuta unaishia kujiridhisha mwenyewe kwa kupiga punyeto. Kisaikologia, inaweza kukufanya usifurahie kujahimiana na kuendekeza zaidi punyeto.
  • Kuna baadhi huwa wanajisikia vibaya kama wakipiga punyeto. Mfano, wapo wanaoamini kuwa vitabu vya dini vinakataza punyeto, hivyo wakipiga punyeto wanakuwa na anxiety na hatia kwa kuvunja amri za muumba wao. Hii inaweza kukuathiri kiafya, kisaikologia na pengine kimahusiano.
  • Msuguano unaotokana na punyeto bila kutumia lubrication unaweza kusababisha uume kuwa na scratches.
  • Kuzoea kupiga punyeto (addiction) inaweza kuathiri maisha yako ya kila siku hasa kwa kutumia muda mwingi kujiandaa kupiga punyeto kama kuangalia porn nk.
  • Wapo wanaosema kuwa punyeto inasababisha kupungua kwa memory yako, kutokuaona vuzuri lakini inaweza kuwa debatable.
 
Hoja zenu ni nzuri lkn napinga hoja kwamba kufanya mapenzi mara 112 jwa mwaka ndo kiwango kizuri kwa afya kwani babu zetu walioa hadi wanawake saba na wote wamezaa nao watoto tena wengi tu wengune hadi watoto12 mke mmoja na bado hao wazee waliishi muda mrefu hata miaka zaidi ya tisini hadi mia mojatofauti na tulivyo sasa mke mmoja watoto watatu umri wa kuishi ni miaka arubaini na tano, kwahyo cha kuzingatia ni ulaji ukila mlo mzuri hata uende mara tano 24 hrs ni bora tu kwa kuwa unakula chakula cha maana sio chipsi kuku na ugali wa semba na dagaa mchele hapo ni shiiiiiiidaa.
 
Dah!!! Haya maufundi mm nayatamani xana thnx kwa kuwajulisha vijana wanaotaman yale maswala kila wakat laiti wangependa kazi kama mm wqngefika mbali kwa muda wanaoutumia kujadili haya!!!!
 
Nakubaliana na wewe hapo kwenye bold mkuu. Lakini pia tujitahidi kuwa na KIASI (balance) kwenye kila kitu.

Ukichukulia mazingira ya Babu zetu na sasa yamebadilika sana kaka (kuwa mabaya na hatari) kwa hiyo tukitaka kuendeleza walikoachia lazima tujitahidi sana kurudi kwenye uasilia na kufanya kazi kwa bidii (na kwa wale wanaofanya kazi za akili) wajitume kufanya mazoezi na kuzingatia mlo. Tupunguze kula vitu vya kukaangiza kaangiza pia.
Hoja zenu ni nzuri lkn napinga hoja kwamba kufanya mapenzi mara 112 jwa mwaka ndo kiwango kizuri kwa afya kwani babu zetu walioa hadi wanawake saba na wote wamezaa nao watoto tena wengi tu wengune hadi watoto12 mke mmoja na bado hao wazee waliishi muda mrefu hata miaka zaidi ya tisini hadi mia mojatofauti na tulivyo sasa mke mmoja watoto watatu umri wa kuishi ni miaka arubaini na tano, kwa hiyo cha kuzingatia ni ulaji ukila mlo mzuri hata uende mara tano 24 hrs ni bora tu kwa kuwa unakula chakula cha maana sio chipsi kuku na ugali wa semba na dagaa mchele hapo ni shiiiiiiidaa.
 
Back
Top Bottom