Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina swali kwa EMT,
Kuchelewa kufika kileleni kunasababishaje tatizo la kutopata mtoto?
The most sexual problems in men are (1) premature ejaculation, (2) importance and (3) delayed ejaculation. Delayed ejaculation linaweza lisiwe tatizo baina ya wapendanao hadi pale wanapotaka mtoto.
Baadhi ya malalamiko ya wanawake: Anyone experience Delayed Ejaculation? | Mumsnet Discussion
Kuna aina mbili za delayed ejaculation: primary and secondary. Primary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume kutowahi kabisa ku-ejaculate wakati wa kujahimiana.
Secondary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume ku-ejaculate mara moja au zaidi katika kipindi fulani cha maisha yale lakini hawezi tena ku-ejaculate au huwa ana-ejaculate lakini kwa shida sana.
So, wawezakuta wakati mwanaume amebahatika ku-ejaculate, mwanamke hayupo kwenye zile siku za kupata ujauzito.
Ni jinsi gani kuchelewa kufika kileleni kunasababisha tatizo la kutopata mtoto inatagemeana na sababu za kuchelewa kufika.
Sababu zinaweza kuwa za kibaologia, kisaikolojia, kimahusiano na hata za kijamii.
Zinaweza kuwepo sababu za kisayansi, lakini pia hebu fikiria zaidi ya saa moja bado hajafika, huyo mwanamke si ataishia kusepa, let alone kuzaa nae?
Je? Kupiga masturbution {punyeto}kunaweza kusababisha kuishiwa nguvu za kiume?
wooo MziziMkavu i personally agree with this 100%Kutokula kunasaidia wewe kuwa na Stamina ya nguvu za kiume na kutomwaga mapema. Ukiwa umeshiba kisha unafanya tendo la ndoa unakuwa hauchelewi kumwaga mapema na unakuwa huna nguvu za kiume. Na ukiwa unafanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 3 au mara 4 itakusaidia kuweza kuchelewa pia kumwaga mapema na kukufanya uweze kulizoea tendo la ndoa . Na itapendeza wewe wakati upo kwenye uwanja wa tendo la ndoa mawazo yako usiweke hapo kwenye tendo la ndoa mawazo yako yaweke mbali pia itakusaidia kuchelewa kumwaga mapema.
The most sexual problems in men are (1) premature ejaculation, (2) importance and (3) delayed ejaculation. Delayed ejaculation linaweza lisiwe tatizo baina ya wapendanao hadi pale wanapotaka mtoto.
Baadhi ya malalamiko ya wanawake: Anyone experience Delayed Ejaculation? | Mumsnet Discussion
Kuna aina mbili za delayed ejaculation: primary and secondary. Primary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume kutowahi kabisa ku-ejaculate wakati wa kujahimiana.
Secondary delayed ejaculation ni ile hali ya mwanaume ku-ejaculate mara moja au zaidi katika kipindi fulani cha maisha yale lakini hawezi tena ku-ejaculate au huwa ana-ejaculate lakini kwa shida sana.
So, wawezakuta wakati mwanaume amebahatika ku-ejaculate, mwanamke hayupo kwenye zile siku za kupata ujauzito.
Ni jinsi gani kuchelewa kufika kileleni kunasababisha tatizo la kutopata mtoto inatagemeana na sababu za kuchelewa kufika.
Sababu zinaweza kuwa za kibaologia, kisaikolojia, kimahusiano na hata za kijamii.
Zinaweza kuwepo sababu za kisayansi, lakini pia hebu fikiria zaidi ya saa moja bado hajafika, huyo mwanamke si ataishia kusepa, let alone kuzaa nae?
Hii ni debatable kwa sababu karibu kila mtu huwa anajifanya ni mtaalamu kwenye hili suala.
Hoja za watu wengi zime-base kwenye myths. Inawezakana labda masturbation inaweza kupunguza nguvu za kiume kwa maana ya idadi ya mbegu za kiume na wingi wa shahawa.
Hata hivyo, mwanaume ana kiwanda cha kutengeneza mbegu za kiume na sidhani kama masturbation itasababisha kiwanda hicho kufa.
Kitaalamu, inadaiwa kuwa masturbation haina madhara. Inakuwa na madhara tuu pale inapokuwa ni addiction au inapoingiliana na maisha yako ya kila siku au kama inatumika kama mbadala wa kujahimiana.
Otherwise, masturbation haiathiri uwezo wa mwanaume kuzalisha mbegu za kiume. Kwa kawaida, mwanaume hawawezi kuishiwa na mbegu za kiume kwa sababu mbegu hizo huwa zinazalishwa 24 hours a day, 7 days a week.
Baada ya mwanaume kufika kileleni, itamchukua muda kabla ya kufika tena kileleni. Hii ni kawaida na haina maana kuwa kuna kitu chochote kibaya na mbegu zake za kiume.
Tafadhalali tofautisha hili na ubora/afya ya mbegu za kiume ambalo ni suala tofauti kabisa na halina uhusiano wa moja kwa moja na kupiga punyeto.
Kwa mantiki hio ni upi mchango wa punyeto kwa mwanaume kupungua nguvu za kiume kwa maana ya uwezo wa kufanya, kurudia, na muda wa kufanya tendo (kuwahi sana au kuchelewa sana)? tukiiacha habari ya ubora na wingi wa mbegu pembeni?
Hoja zenu ni nzuri lkn napinga hoja kwamba kufanya mapenzi mara 112 jwa mwaka ndo kiwango kizuri kwa afya kwani babu zetu walioa hadi wanawake saba na wote wamezaa nao watoto tena wengi tu wengune hadi watoto12 mke mmoja na bado hao wazee waliishi muda mrefu hata miaka zaidi ya tisini hadi mia mojatofauti na tulivyo sasa mke mmoja watoto watatu umri wa kuishi ni miaka arubaini na tano, kwa hiyo cha kuzingatia ni ulaji ukila mlo mzuri hata uende mara tano 24 hrs ni bora tu kwa kuwa unakula chakula cha maana sio chipsi kuku na ugali wa semba na dagaa mchele hapo ni shiiiiiiidaa.