MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hizoo meguu za mlongee zikojee wadau??
Fuatilia huu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...begu-za-mlonge-huongeza-nguvu-za-mapenzi.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizoo meguu za mlongee zikojee wadau??
oi inakuaje kama mtu anashindwa kuhimil tendo la ndo yan anapiga kimoja tu then ngoma inalala kabsa mtu unashndwa kuendelea help pls ...?
Hii imeelezwa vizuri hapo juu. Soma tena kwa utulivu. Ikiwa haijajibu haja yako, waweza uliza tena
Hapo mkubwa ndo sielewi nifanyeje
ndugu zetu wameongea mengi na vilivyo ni gusa ni vingi ila amenisaidi zaid kugundua kitu kilichokuwa kinanimaliza .kupoteza kumbukumbu na kutokuona vizur kulikokuwa kunaongezeka kwa kasi nimegundua kunasababishwa na ngono in excess kwa kuwa kila kitu kinapo zidi kina madhara