Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Viongozi wa serikali pia waache kutumia magari ya anasa, wapunguze misafala mingimingi isiyo na tija wapunguze gharama za matumizi ya serikali.Wakati ya crisis ya COVID, Mafuta yalishuka bei na supply ikawa kuubwa sana kiasi cha baadhi ya mataifa kukosa storage na kuyagawa bure au kwa bei bwerere.
INAMAANA WATU WETU MLISHINDWA KUFORECAST NA KUYACHUKUA HAYO MAFUTA HATA KWA KUNUNUA TANKERS aka meli na kuyaweka storage mahala, tulishindwa hata kupump hela na kuwa na large underground storage tanks na other facilities for our future benefits- JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala US.
Nchi iachane na Siasa za kuwapendezesha wakubwa iingie kwenye siasa za maslahi, sasa hivi tunachoshuhudia ni shift ya siasa za kichawachawa na kujikombakomba ni vita sasa, Hakuna anayemjali mwingine, BRICS Wanataka kuwa watawala wakubwa, NATO na US Bado wanang'ang'ania usukani sasa nchi yetu itumie fursa hii kutojiegesha kokote ifanye Biashara za maskahi kwenye GAS na Makaa ya mawe.