Suluhu kwenye mafuta - ushauri wa bure

Viongozi wa serikali pia waache kutumia magari ya anasa, wapunguze misafala mingimingi isiyo na tija wapunguze gharama za matumizi ya serikali.
Nchi iachane na Siasa za kuwapendezesha wakubwa iingie kwenye siasa za maslahi, sasa hivi tunachoshuhudia ni shift ya siasa za kichawachawa na kujikombakomba ni vita sasa, Hakuna anayemjali mwingine, BRICS Wanataka kuwa watawala wakubwa, NATO na US Bado wanang'ang'ania usukani sasa nchi yetu itumie fursa hii kutojiegesha kokote ifanye Biashara za maskahi kwenye GAS na Makaa ya mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…