Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kasome kwanza uelimike kabla hujawa balaa kwa familia yakoMatatizo makubwa tunayopitia duniani yanatokana na kudharau matumizi ya sheria za Kiislamu badala yake kutumia sheria za kibabeli
Nimesema sheria za Kiislamu Mkuu ambazo chanzo chake ni MunguMbona zipo nchi zinazofuata hizo sheria lakini bado kuna conflicts za ndani kwa ndani baina ya raia na serikali mfano Iran. Unless labda kama dunia nzima iwe Sunni au Shia. Tofauti na hapo bado kutakuwa na mvutano baina ya nani yuko sawa katika Uislamu wenyewe. Kinachofanya msuguano huo usiwe mkubwa ni kwamba wote wana common enemy wa kupambana naye kwa sasa, akiondoka basi tofauti zao zitaleta ugomvi mkubwa.
Hivyo siyo hoja iliyopo mezani MkuuUkinilipa hata 100 Million niwe mwislam sitakubali
Sharia mkuu, kwani Iran si inaongozwa na Sharia? Lakini bado kuna migogoro ya ndani. Mbona waislamu wanahama penye sheria wanahaam nchi za scandianvia mpaka canada mkuu. Na pia nachosema hizo sheria labda ziambatane na kwamba dunia nzima watu ni masunni, au mashia otherwise utatokea mvutano.Nimesema sheria za Kiislamu Mkuu ambazo chanzo chake ni Mungu
Wakifata sheria za Kiislamu amani itapatikanaKama washia na wasuni wote hawaelewani na wote ni waislamu, hiyo amani itapatikanaje?