SUMA G jamani yuko wapi mwenye ufahamu atujuze!

Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako maridhiwa na wenye mashiko ila kama kosa nikuhisi aibuu kurudi nakuwapigia magoti mapresenter wa sasa, basi naomba alifikirie hili swala marambili mbili ili tuipate ile ladha ya mziki mzuri

Duu kizungu cha vituko uswahilini..ebwana wee uswahilini kuna vituko!

Duuh! Kumbe kizungu nilichokua najipapadua nacho hapa ni kibovuu basi sawa, ila nisamehe kidogo mkuu Kama nitakua nimeidhalilisha lugha yako
 
Natania, kuna mtu anauza ream main campus wanafanana mbaya

Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm
 
Yeah huyo huyo enzi nasoma class letu tulikia tunamwita Suma G... yuko miaka mingi yule tumekuja tukamkuta na tumemuacha pale
 
Daah! Kweli aisee ila kwa upande wa Suma G huna nyepesinyepsi zake angalau kidogo utujuzee??
 
Hahahahaaa! Mwana we kweli bado msanii, japo ulichukuwa njia ya chuo kikuu. Hiyo 'punch' nimeiona.
 
Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm

yule jamaa inasemekana ni spy.
 
Huyo jamaa nasikia ni mwanazuoni kwa sasa na zile mbwembwe kwenye radio ameacha dah !
Hahahahaaa! Mwana we kweli bado msanii, japo ulichukuwa njia ya chuo kikuu. Hiyo 'punch' nimeiona.
 
Hivi aliyeimba wimbo wa Chungwa nalimenya kama chenza ni Sumalee au Suma G? Hapa nimesahau kidogo wandugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…