SUMA G jamani yuko wapi mwenye ufahamu atujuze!

tunaishi separate bit these days lakini ukiongea naye na kumuuliza whatsup mbona kimya atakwambia ana mistari mingi na amerekodi tracks kadhaa,tatizo linabaki ni kwamba washikaji ambao walishakuwa mainstream hawako tayari kumbeleza dj apige joint yake na hawa presenters ni njaa na ukichukulia kile ni kizazi cha madj kama dj jdambao hawakuwa na longolongo....kimsingi mshikaji anasimama kwenye misingi ya kwamba kama you are talented sio tena kuanza kupita njia za kubembelezana na kupigiana magoti kama underground if you know what i mean.

Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako maridhiwa na wenye mashiko ila kama kosa nikuhisi aibuu kurudi nakuwapigia magoti mapresenter wa sasa, basi naomba alifikirie hili swala marambili mbili ili tuipate ile ladha ya mziki mzuri

tunaishi separate bit these days lakini ukiongea naye na kumuuliza whatsup mbona kimya atakwambia ana mistari mingi na amerekodi tracks kadhaa,tatizo linabaki ni kwamba washikaji ambao walishakuwa mainstream hawako tayari kumbeleza dj apige joint yake na hawa presenters ni njaa na ukichukulia kile ni kizazi cha madj kama dj jdambao hawakuwa na longolongo....kimsingi mshikaji anasimama kwenye misingi ya kwamba kama you are talented sio tena kuanza kupita njia za kubembelezana na kupigiana magoti kama underground if you know what i mean.
 
Duu kizungu cha vituko uswahilini..ebwana wee uswahilini kuna vituko!

Duuh! Kumbe kizungu nilichokua najipapadua nacho hapa ni kibovuu basi sawa, ila nisamehe kidogo mkuu Kama nitakua nimeidhalilisha lugha yako
 
Natania, kuna mtu anauza ream main campus wanafanana mbaya

Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm
 
Yeah huyo huyo enzi nasoma class letu tulikia tunamwita Suma G... yuko miaka mingi yule tumekuja tukamkuta na tumemuacha pale
 
Daah! Kweli aisee ila kwa upande wa Suma G huna nyepesinyepsi zake angalau kidogo utujuzee??
 
nisamehe bure mkuu nimejikuta nimekuwa emotional all of a sudden baada ya kuona uzi wa childhood homie..nimejaribu kumuelezea mshikaji hapo juu ninachojua kuhusu suma kiasi flani,kuhusu umarekani weusi hayo ni mawazo yako mi nimechanganya english ya kawaida kabisa..sijawahi kukaa tandale mkuu unless mwembechai kwako wewe ni tandale...upo mkoa gani mkuu?

Hahahahaaa! Mwana we kweli bado msanii, japo ulichukuwa njia ya chuo kikuu. Hiyo 'punch' nimeiona.
 
Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm

yule jamaa inasemekana ni spy.
 
Huyo jamaa nasikia ni mwanazuoni kwa sasa na zile mbwembwe kwenye radio ameacha dah !
Hahahahaaa! Mwana we kweli bado msanii, japo ulichukuwa njia ya chuo kikuu. Hiyo 'punch' nimeiona.
 
Hivi aliyeimba wimbo wa Chungwa nalimenya kama chenza ni Sumalee au Suma G? Hapa nimesahau kidogo wandugu...
 
Back
Top Bottom