Suma Lee atoa elimu nzito katika post yake ya msiba wa msanii Jebby

Kama ni kweli ndivyo ilivyo inatafakarisha sana,lakini hakuna uhakika kama ndivyo au laa! Maana dini na imani zina maelezo yanayotofautiana kuhusu jambo hilo therefore hatujui yupi yupo sahihi.
 
How!!!hiyo idea ya kifo kaitoa wapi?usikute milungi imemlevya sasa ile stim yake akahisi inafanana na kifo!
 
Reactions: PNC
Pumzika kwa amani Jebby

Tutakukumbuka kwa ngoma zako za kuelimisha

Swahiba feat selle
Marehemu kaacha orodha
Hype yangu (iliyokutoa)
Kabinti kamoja

Na shukurani za dhati kwa chorus nzuri uliyoipiga kwenye ngoma ya inspector haroun(pamba nyepesi).

Wote tupo njiani.
 
Kweli uswahilini kuna vituko
 
Na wale wanaochomwa moto roho inarudishwa kwenye mwili gani??
 
Soud tu hizo.. Yaani anaelezea as if amewahi kupitia hizo hatua. Hii ni siri nzito ambayo mpaka ufe ndo utajua nini kitakutokea. Sasa hamna aliekufa halafu akarudi na kusimulia aliyoyapitia.
 
je ikiwa umedondoka tu porini na hujafukiwa ukirudishiwa roho na kuamka vipi ukipiga kelele?? maana porini huzikwi utaoza had kuisha kabisa na kusalia mifupa.

Nadhani hii ni nadharia kifo ni siri nzito sana.
 
Duh kumbe kwenye pamba nyepesi corpus ni yeye

Ndio mama inspecta kaimba pale

Jebby inspecta vugjvugu kuchaaa/
Wacha tulinge sie twang'alisha
Narukaaa mbaaali pembeniii vinywajii
 
je ikiwa umedondoka tu porini na hujafukiwa ukirudishiwa roho na kuamka vipi ukipiga kelele?? maana porini huzikwi utaoza had kuisha kabisa na kusalia mifupa.

Nadhani hii ni nadharia kifo ni siri nzito sana.
Dah....na vipi wale wanaochoma miili moto?
 
Reactions: PNC
Soud tu hizo.. Yaani anaelezea as if amewahi kupitia hizo hatua. Hii ni siri nzito ambayo mpaka ufe ndo utajua nini kitakutokea. Sasa hamna aliekufa halafu akarudi na kusimulia aliyoyapitia.
Hayo mambo yoooote yameelezwa Kwenye vitabu, usifkiri kama ni maneno yametungwa au kifikiriwa, KUNA HABARI NZITO NDUGU YANGU BAADA YA KUFA, fanya mema, omba msamaha kwa mola wako NDUGU.
 
Stori zingine bwana kwaio hao malaika wanamkalisha kivipi wakati mtu amelazwa chini ya ardhi na kuna udongo...
Vingapi vikubwa mungu kafanya ashindwe jambo hili dogo.!!!!!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…