Suma Lee atoa elimu nzito katika post yake ya msiba wa msanii Jebby

Hayo mambo yoooote yameelezwa Kwenye vitabu, usifkiri kama ni maneno yametungwa au kifikiriwa, KUNA HABARI NZITO NDUGU YANGU BAADA YA KUFA, fanya mema, omba msamaha kwa mola wako NDUGU.
Pia yapaswa kuamini kile ambacho unakiamini, maana imani yako ndio hukuponya.
 
Mungu hashindwi kufanya kitu chochote, JIULIZE ww amekuletaje huku DUNIANI ashindwe kukufufua tena upya na kakuhukumu kulingana na wema au makosa yako???
Kufufuliwa na Mungu ni jambo rahisi sana kwake je ikiwa hujafika kaburibi ugarudishiwa roho labda uko porini tu itakuwaje ukipiga kelele maana utaamka, tumesoma hiv
 
Hata Yesu alivofufuka hakutuambia kifo kiko vipi, Nadhani aliona Haina Haja kutuambia. sasa sijui wanaotuambia wanaonaje hili swala.
 
Hayo mambo yoooote yameelezwa Kwenye vitabu, usifkiri kama ni maneno yametungwa au kifikiriwa, KUNA HABARI NZITO NDUGU YANGU BAADA YA KUFA, fanya mema, omba msamaha kwa mola wako NDUGU.
Kwenye vitabu gani? Mimi kwa imani yangu naamini kuna hukumu baada ya kifo, lakini siamini hizo 'procedures' alizosema hapo.
Ila kama kwenye imani yake wanaamini hivyo basi hamna shida.
 
Naona udini unatawala, nasisitiza Hakuna Dini itakayo mpeleka mtu kwa mwenyezi Mungu, bali matendo.Kuna wapagani wenye matendo mema Kama kusaidia wahitaji, hawanyooshei watu vidole. Hakuna watu wabaya Kama wanaojifanya kuijua dini, 98%unafiki mtupu
 
Matendo bila Imani[emoji18] [emoji18]
 
je ikiwa umedondoka tu porini na hujafukiwa ukirudishiwa roho na kuamka vipi ukipiga kelele?? maana porini huzikwi utaoza had kuisha kabisa na kusalia mifupa.

Nadhani hii ni nadharia kifo ni siri nzito sana.
Mkuu porini ukirudishiwa ROHO na ukapiga kelele omba mungu SIMBA asiwe maeneo ya karibu,akikukuta itakua the END ,ukiona umerudishiwa roho porini we sepa kimya kimya yasije ya kakukuta makubwa zaidi
 
Reactions: PNC
Ujumbe murua sana huu,ukiupenda basi uzingatie na kutimiza uliyoshauriwa,ukiona haukufai basi uache,dini ni imani na matendo mema,halazimishwi mtu,binadamu tumepewa akili ya kutambua na kutafakari mambo.
 
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti, yeye kajuaje..
 
lengo la Sumalee watu watende mema sio kwamba ukifa utahisi unaota mara utapiga kelele
 
Kwahyo maiti ikifufuka kaburini, halafu inakufa tena kwa kukosa hewa na chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…