Sumatra: Hii ni hatua njema ya Maendeleo Utaratibu wa 1947 hauwezi kuwa wa kudumu milele

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ni jambo la kupongezwa kuona kuwa Sumatra wamefahamu ni kero kulaza watu majiani kwa sababu zisizo na msingi. Kung’ang’ania mipangilio kama ilivyokuwa miaka ya 1970 katika zama za leo ni kujiwekea u irrelevance.

Katika jitihada zenu za kuangalia magari yanatembea masaa 24 angalieni pia hili la spidi 80km/h, 50km/h, kusimama kwenye zebra hata kama hakuna mvuka barabara na pia kero zisizo na msingi za askari wa usalama barabarani.

Magari ya leo yameboreshwa mno kulinganishwa na magari yaliyokuwapo miaka ya 1970. Hili ni hivyo pia hata kwa mabarabara ya leo kulinganisha na yaliyokuwapo miaka ya 1970.

Mnapopanga kushirikisha wadau shirikisheni na wa mikoani na hata wilayani. Penye wengi ni wazi kuwa huwa hapaharibiki kitu.

Sumatra kuandaa mkakati kukabili adha ya usafiri

Pongezi kwenu kutambua kuwa mnalo jukumu kuifanya institution yenu kuwa ni relevant.
 
Hili la kusimama kwenye Zebra hata kama hakuna mvukaji kwangu mimi ni kero sana na linasababisha foleni kubwa sana pasipokuwepo na umhimu. Sidhani kama binadamu ni mjinga kiasi cha kutokujua ni nini wajibu wake katika kutumia barabara.

In all my defensive driving sijawahi kuambiwa kwenye Zebra hata kama hakuna mpita njia kusimama ni lazima. Natakiwa kusimama pale tu anapokuwepo mvukaji and I bear high tensions especially kwenye maeneo ya shule... Sasa hii ya Tz daaah na police wengi nao hawataki kabisa hata kutumia common sense....
Ni kama wenye magari tuna ugomvi na hawa watu, na kinachouzi unakuwa kwenye 50km/hr vizuri kabisa ghafla Zebra hiyo hata kama hakuna mtu you must stop why why why?????? Na mbaya zaidi STJ, SU zinatiririka tu bila kukamatwa...very unfair
I wish nauri za ndege zingekuwa fair ningeacha kabisa kusafiri kwa kutumia gari kwenda mikoani.
 
Nazani Mkuu unakosea kuchukua akili zako kuziweka ndani ya madereva wa uchochoroni.

Wao wanaamini mtembea kwa miguu inabidi avuke mpaka magari yote yamalizike kupita.
 
KOSA LA KUTO SIMAMA KWENYE ZEBRA NAOMBA KILA DEREVA ASOME VIZURI SHERIA HII NA UIELEWE NA UINAKILI IKIWEZEKANA ANDIKA KWENYE KARATASI SIKU UKIKAMATWA NA ASKARI MPUMBAVU ASIE IJUA SHERIA MUELIMISHE SHERIA YENYEWE NI HII HAPA CHINI[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
*na*
Daud Lwena Yanga:
*JE NI WAKATI GANI NISIMAME KWENYE ZEBRA CROSSINGS AU JE NI AMRI KUSIAMA KWENYE ZEBRA HATA KAMA HAKUNA MWENDA KWA MIGUU ANAYEVUKA?* Sheria inasemaje?
Sheria ya usalama barabarani kifungu cha 65 kinahusu vivuko vya waenda kwa miguu, yaani pedestrian crossings.
Kifungu cha 65(1) kinamtaka mhandisi mkuu kusimika alama za vivuko vya waenda kwa miguu mahali panapofaa barabarani.
Kifungu cha 65(2) kinatamka kwamba mahali popote ambapo alama itakuwa imewekwa itachukuliwa kuwa imewekwa kihalali na itakuwa halali isipokuwa kama itakanushwa au kuthibitishwa vinginevyo.
Kifungu cha 65(6) kinamtaka kila anayetumia kivuko cha waenda kwa miguu kufanya hivyo kwa tahadhari kubwa na atumia kivuko hicho kuvuka barabara. Aidha kifungu cha 65(7) kinamtaka mtumiaji kivuko huyo kutokanyaga barabara ili avuke *bila kuzingatia umbali na spidi ya magari yanayokuja*
Kifungu cha 65(10) kinasema *itakapotokea mtembea kwa miguu anatumia au anataka kutumia kivuko cha waenda kwa miguu, dereva wa gari atasimama kabla ya kivuko hicho ambacho hakiongozwi na taa za barabarani, ishara za barabarani au askari*. [Hivi vivuko vinavyokuwa vimechorwa barabarani kwa mistari ya pundamilia ambapo mtu anavuka bila usimamizi wa askari au maelekezo ya taa]. Dereva ataendelea tu na safari ikiwa atajiridhisha kuwa hakuna mtembea kwa miguu anayetumia(anayevuka) au anakusudia kuvuka barabara.
HIVYO BASI, JIBU NI KWAMBA sio lazima dereva asimama kwenye kila zebra crossings hata kama hakuna anayevuka, dereva atapunguza mwendo na kuangalia iwapo kuna mtu anavuka au ananuia kuvuka, kama hakuna ataendelea na safari. Kwa hiyo, *dereva asimama kwenye eneo kabla ya zebra crossing pale wakati wote ambapo kuna mtu au watu wanavuka au wanakusudia kuvuka.*
Ni matumaini yangu tumeelewana. Mwelimishe na mwenzio.by Daud Lwena dereva bora tanzania 2016
 
Hapa naanza kupata majubu sasa, mimi nataka nikiwa nadrive niwashe camera za gari kabisa pale nitakapo kuwa napita kwenye hizi Zebra, kwenye watu wenye nia ya kuvuka nitasimama vizuri sana na pasipo kuwepo na watu sisimami na nitapunguza speed nikicupture na some photos including speed odometer ili wakinikamata twende mahakamani nikiamin wataniweka ndani kwanza
 
KOSA LA KUTO SIMAMA KWENYE ZEBRA NAOMBA KILA DEREVA ASOME VIZURI SHERIA HII NA UIELEWE NA UINAKILI IKIWEZEKANA ANDIKA KWENYE KARATASI SIKU UKIKAMATWA NA ASKARI MPUMBAVU ASIE IJUA SHERIA MUELIMISHE SHERIA YENYEWE NI HII HAPA CHINI[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
*na*
Daud Lwena Yanga:
*JE NI WAKATI GANI NISIMAME KWENYE ZEBRA CROSSINGS AU JE NI AMRI KUSIAMA KWENYE ZEBRA HATA KAMA HAKUNA MWENDA KWA MIGUU ANAYEVUKA?* Sheria inasemaje?
Sheria ya usalama barabarani kifungu cha 65 kinahusu vivuko vya waenda kwa miguu, yaani pedestrian crossings.
Kifungu cha 65(1) kinamtaka mhandisi mkuu kusimika alama za vivuko vya waenda kwa miguu mahali panapofaa barabarani.
Kifungu cha 65(2) kinatamka kwamba mahali popote ambapo alama itakuwa imewekwa itachukuliwa kuwa imewekwa kihalali na itakuwa halali isipokuwa kama itakanushwa au kuthibitishwa vinginevyo.
Kifungu cha 65(6) kinamtaka kila anayetumia kivuko cha waenda kwa miguu kufanya hivyo kwa tahadhari kubwa na atumia kivuko hicho kuvuka barabara. Aidha kifungu cha 65(7) kinamtaka mtumiaji kivuko huyo kutokanyaga barabara ili avuke *bila kuzingatia umbali na spidi ya magari yanayokuja*
Kifungu cha 65(10) kinasema *itakapotokea mtembea kwa miguu anatumia au anataka kutumia kivuko cha waenda kwa miguu, dereva wa gari atasimama kabla ya kivuko hicho ambacho hakiongozwi na taa za barabarani, ishara za barabarani au askari*. [Hivi vivuko vinavyokuwa vimechorwa barabarani kwa mistari ya pundamilia ambapo mtu anavuka bila usimamizi wa askari au maelekezo ya taa]. Dereva ataendelea tu na safari ikiwa atajiridhisha kuwa hakuna mtembea kwa miguu anayetumia(anayevuka) au anakusudia kuvuka barabara.
HIVYO BASI, JIBU NI KWAMBA sio lazima dereva asimama kwenye kila zebra crossings hata kama hakuna anayevuka, dereva atapunguza mwendo na kuangalia iwapo kuna mtu anavuka au ananuia kuvuka, kama hakuna ataendelea na safari. Kwa hiyo, *dereva asimama kwenye eneo kabla ya zebra crossing pale wakati wote ambapo kuna mtu au watu wanavuka au wanakusudia kuvuka.*
Ni matumaini yangu tumeelewana. Mwelimishe na mwenzio.by Daud Lwena dereva bora tanzania 2016

Maelezo yako ni darasa tosha. Lakini kuna tatizo kuwa hawa wasimamizi wa sheria suala la logic au common sense ni misamiati ambayo kwao haipo. Ni kwa sababu hizi zimewafanya watu kuamini labda wana commissions kwenye faini hizi au labda wamewekewa malengo.

Kero hii ya kuvuka kwenye zebra ni kero zaidi inaposhinikizwa kuzingatiwa hata kama hakuna mvuka kwa miguu katika barabara kuu za kuunganisha mikoa (yaani highway). Inashangaza ni kipi kinacho jaribu kuwa achieved kama siyo usumbufu wa wazi usiokuwa na tija.
 
Hili la kusimama kwenye Zebra hata kama hakuna mvukaji kwangu mimi ni kero sana na linasababisha foleni kubwa sana pasipokuwepo na umhimu. Sidhani kama binadamu ni mjinga kiasi cha kutokujua ni nini wajibu wake katika kutumia barabara.

In all my defensive driving sijawahi kuambiwa kwenye Zebra hata kama hakuna mpita njia kusimama ni lazima. Natakiwa kusimama pale tu anapokuwepo mvukaji and I bear high tensions especially kwenye maeneo ya shule... Sasa hii ya Tz daaah na police wengi nao hawataki kabisa hata kutumia common sense....
Ni kama wenye magari tuna ugomvi na hawa watu, na kinachouzi unakuwa kwenye 50km/hr vizuri kabisa ghafla Zebra hiyo hata kama hakuna mtu you must stop why why why?????? Na mbaya zaidi STJ, SU zinatiririka tu bila kukamatwa...very unfair
I wish nauri za ndege zingekuwa fair ningeacha kabisa kusafiri kwa kutumia gari kwenda mikoani.

Mkuu mzizi wote wa fitina unaanzia hapa ambapo police wamekuwa kama wenye ugomvi na wenye magari. Hapo ndipo kero zote zinapoanzia kwani kwa mtaji huo na open cheque ya makosa waliyo nayo hawakosi cha kubambika hata kama hapana kosa watalazimisha kosa tu. Pity!

Suala jingine ni hili la ubaguzi. Yaani hapa penye sheria zenye macho. Sheria zinazotambua kuwa lile gari la waziri, serikali, SU, STK, STJ au gari la ikulu. Jamii ya namna gani inayojengwa hapa. Hatuko sawa mbele ya sheria. Ubabaishaji wa namna hii ni muhimu kupigiwa kelele za kutosha.

Gari ni gari kama mwendo wa juu ni 80knm/h na uwe hivyo kwa mabasi na magari yote hata kama ni ya serikali, mawaziri, binafsi. Tukiwa sawa mbele za sheria haki itapatikana. Sheria za kibaguzi zinazoshinikizwa na hawa wasimamizi wa sheria ni za maslahi zaidi kwao wala si kwa wananchi walio wengi na wanalijua hilo vizuri sana.
 
Maelezo yako ni darasa tosha. Lakini kuna tatizo kuwa hawa wasimamizi wa sheria suala la logic au common sense ni misamiati ambayo kwao haipo. Ni kwa sababu hizi zimewafanya watu kuamini labda wana commissions kwenye faini hizi au labda wamewekewa malengo.

Kero hii ya kuvuka kwenye zebra ni kero zaidi inaposhinikizwa kuzingatiwa hata kama hakuna mvuka kwa miguu katika barabara kuu za kuunganisha mikoa (yaani highway). Inashangaza ni kipi kinacho jaribu kuwa achieved kama siyo usumbufu wa wazi usiokuwa na tija.
HAJALISHI NI HIGHWAY AU BARABARA YA KAWAIDA. UKIONA ZEBRA CROSSING PUNGUZA MWENDO ILI UPATE WASAA WA KUHAKIKI KUWA WAVUKAJI WA MIGUU HAWAPO AU HAWANA NIA YA KUVUKA KAMA ILIVYO SHERIA. YAANI DEREVA UNATAKIWA USAIDIE KUWARUHUSU WAVUKE NDIO MAANA YA NENO WENYE NIA YA KUVUKA.SASA USIPOPUNGUZA SPIDI HAYA UTAYAFANYA MUDA GANI ZAIDI YA KUWAGONGA?
 
Mkuu, hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupinga kupunguza mwendo ili kusaidia wavukaji wavuke. Kinacho gomba ni kulazimishwa kusimama (ki robot robot) kwa kila zebra crossing hata kama hakuna mvukaji. Fikiria lazima hii inavyokuwa kero kwenye barabara kuu ambapo ikifika saa nne usiku kwa mabasi ya mikoani yanalazimishwa tena kulala yatakapokuwa yamefikia bila ya kujali ulalaji huo haukuwepo katika ratiba za safari nzima ili wasafiri wachukue tahadhari zikiwamo za kujikinga hata na mbu.
 
Back
Top Bottom