Ni jambo la kupongezwa kuona kuwa Sumatra wamefahamu ni kero kulaza watu majiani kwa sababu zisizo na msingi. Kung’ang’ania mipangilio kama ilivyokuwa miaka ya 1970 katika zama za leo ni kujiwekea u irrelevance.
Katika jitihada zenu za kuangalia magari yanatembea masaa 24 angalieni pia hili la spidi 80km/h, 50km/h, kusimama kwenye zebra hata kama hakuna mvuka barabara na pia kero zisizo na msingi za askari wa usalama barabarani.
Magari ya leo yameboreshwa mno kulinganishwa na magari yaliyokuwapo miaka ya 1970. Hili ni hivyo pia hata kwa mabarabara ya leo kulinganisha na yaliyokuwapo miaka ya 1970.
Mnapopanga kushirikisha wadau shirikisheni na wa mikoani na hata wilayani. Penye wengi ni wazi kuwa huwa hapaharibiki kitu.
Sumatra kuandaa mkakati kukabili adha ya usafiri
Pongezi kwenu kutambua kuwa mnalo jukumu kuifanya institution yenu kuwa ni relevant.